China kuiwajibisha Iran kuhusu mashambulizi ya Wahouthi Red Sea

Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
37,620
46,262
China imeimbia Iran iwajibike kuzuia mashambulizi ya Wahouthi wa Yemen huko katika bahari nyekundu au vinginevyo uhusiano wao wa kibiashara utaharibika.

China ndiye mnunuzi mkubwa wa mafuta ya Iran na imeisaidia sana Iran kuhimili na kuhepa vikwazo vigumu vya uchumi vya Magharibi.
 
Kwa hiyo akina supa pawa wa ulimwengu wameshindwa kuwazuia wauthi mpaka wameanza kuililia Iran ndo iwazuie?

Huo muungano ulio undwa na mashoga una kazi gani?

Alafu china haiwezi kuruhusu kupoteza ushawishi mbele ya nchi kama Iran kwa sababu nyepesi kama hiyo.
 
Hao Wahouthi si ndio walisema hawata gusa meli za macho madogo
 
ule muungano wa mataifa mia sita yaloundwa kupambana na wahouthi umekufa kifo cha mende
Halafu acha kuwaletea watu habari za uongo waletee habari kamili
Waambie tu ukweli kwamba blinken kaiomba China iongee na iran ili iran waongee na houthi ili houthi waache suala la kuzitwanga meli za Israhell pale red sea pamoja na za Americant na Uingereza
Ila baada ya kusikia Americant kasema hivyo leo houthi wametoa tamko rasmi wamesema kwamba wataendelea kuzipapasa meli za Israhell hawataacha mpaka magaidi wa kizayuni waondoke ghaza
 
Mizigo ya hao "macho madogo" huwa inabebwa hata katika meli ambazo sio zao pia. Halafu wanashambulia meli zinazomilikiwa na Wa Israel au zilizosajiliwa Israel? Kwa sababu wapi "mazayuni" na wazungu wanaosajili meli zao China na kupeperusha bendera ya China.
 
Huwa hakuna kuombana katika mahusiano ya mataifa makubwa, kuna makubaliano na deals zenye maslahi kwa pande zote.
Sasa kama kuna deals vita na mapigano hua ya nini?
Houthi washasema wataendelea kuwatwanga wazayuni mpaka kieleweke yaaani
Ule muungano umeshindwa dhidi ya houthi ama?
 
Mizigo ya hao "macho madogo" huwa inabebwa hata katika meli ambazo sio zao pia. Halafu wanashambulia meli zinazomilikiwa na Wa Israel au zilizosajiliwa Israel? Kwa sababu wapi "mazayuni" na wazungu wanaosajili meli zao China na kupeperusha bendera ya China.
Acha tuone sijui wata react vipi
 
Kwa hiyo akina supa pawa wa ulimwengu wameshindwa kuwazuia wauthi mpaka wameanza kuililia Iran ndo iwazuie?

Huo muungano ulio undwa na mashoga una kazi gani?

Alafu china haiwezi kuruhusu kupoteza ushawishi mbele ya nchi kama Iran kwa sababu nyepesi kama hiyo.
America hawezi kuwashinda wa Yemen hata afanye vipi, wale wameshiba imani ya kislam.

America atawachezea warabu walio kuwa wako nje ya uislam, kama unamsimamo wa kislam hakuna atakaye kushinda.

Super power ni Mungu peke yake.
 
Teh teh teh.
Labda tuwaulize hawa mashoga wawili waliomo humu MK254 na mkemwenza wake Mlaleo je inakuwaje makafiri wenye nguvu za silaha kubwa waombe msaada kwa Gaidi Irani?
Vipi wanajeshi hatari wa msalaba wakaombe msaada kwa watu wa madrasa wavaa kobazi?

Tusubiri mipasho yao hapa .
 
Kuna Wapiganaji wenye Imani Kali ya Kiislamu kama Alkaeda Akina Osama bin Laden ? Wako wapi Leo sembuse hao wa houthi
 
China imeimbia Iran iwajibike kuzuia mashambulizi ya Wahouthi wa Yemen huko katika bahari nyekundu au vinginevyo uhusiano wao wa kibiashara utaharibika.

China ndiye mnunuzi mkubwa wa mafuta ya Iran na imeisaidia sana Iran kuhimili na kuhepa vikwazo vigumu vya uchumi vya Magharibi.
Hawa wote kitu kimoja .China ni mnafiki namba Moja wa dunia

🔹 Sehemu alipo Mrusi yupo china ,Irani na vibaraka wengine wa kiarabu isipokuwa Saud Arabia na Iraq

🔹 Waote hao wanapambana na marekani na washirika wake kwa wazi au kwa Siri lakini Kila mmoja akiwa na lengo lake ( common enemy but different grievances)

♦️ Mrusi anapigana ili nguvu ya marekani iishe ili yeye awe superpower wa kivita duniani

♦️ Machina anapambana na marekani ili awe superpower wa uchumi duniani

♦️ Mwarabu anapambana na marekani ili lengo lake la kuisimamisha dola ya kiislamu duniani na kuwa na mfumo wa uongozi wa sharia kwa kitabu kimoja tuu Quran na dini Moja Islam yeye Hana muda wa uchumi wa la nguvu za kivita yeye ni dini yake tuu. Kikwazo kikubwa ni nchi ya marekani hivyo ujishikiza na nchi yoyote inayopigana na marekani wakifanikiwa kumdhoofisha tuu, wao wanaibukia na majambia Yao ni shingo yako au kutamka shahada. Si hakuna wa kumzuia?

Kadhalika hapa bongo ukiwaona akina ponda kwenye mikutano ya Kisiasa lengo sio siasa Wala hawataki kujua katiba ya hivyo vyama walikojishikiza zinasemaje Bali ni kushirikiana kupambana na mfumo imara ambao wameushindwa na hawatauweza lakini Kila mmoja akiwa na lengo tofauti
 
Kuna Wapiganaji wenye Imani Kali ya Kiislamu kama Alkaeda Akina Osama bin Laden ? Wako wapi Leo sembuse hao wa houthi
😄 Bin laden alitumiwa na America kupigana na Soviet Union pale Afghanstan imani yake iko wapi hapo?

Mwenye iman hashirikiani na makafiri hata kama wanapigana wenyewe kwa wenyewewe.

Afu Bin Laden ni Mtu na wafuasi wake labda 200 uje compared na nchi au Al houth ambao wanajeshi wewe lazima uwe hauko sawa kichwani kwako 😄

Vipi America kule Afghanstan unasemaje? Aliondoka bila kuaga
 
ule muungano wa mataifa mia sita yaloundwa kupambana na wahouthi umekufa kifo cha mende
Halafu acha kuwaletea watu habari za uongo waletee habari kamili
Waambie tu ukweli kwamba blinken kaiomba China iongee na iran ili iran waongee na houthi ili houthi waache suala la kuzitwanga meli za Israhell pale red sea pamoja na za Americant na Uingereza
Ila baada ya kusikia Americant kasema hivyo leo houthi wametoa tamko rasmi wamesema kwamba wataendelea kuzipapasa meli za Israhell hawataacha mpaka magaidi wa kizayuni waondoke ghaza
Shida mzigo WA silaha unachelewa kufika kwa magay WA tel aviv
 
Teh teh teh.
Labda tuwaulize hawa mashoga wawili waliomo humu MK254 na mkemwenza wake Mlaleo je inakuwaje makafiri wenye nguvu za silaha kubwa waombe msaada kwa Gaidi Irani?
Vipi wanajeshi hatari wa msalaba wakaombe msaada kwa watu wa madrasa wavaa kobazi?

Tusubiri mipasho yao hapa .
Ndo ushangae
 
Back
Top Bottom