International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Hii ingesemwa uzunguni, mngesikia makelele hadi kuzimu...hawa waarabu ni makatili sana na mnavyopenda kuwaabudu huku mkivaa mikanzu na kuotesha mindevu mfanane nao... Kuwait MP calls for foreign...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Tume ya mazungumzo ya kitaifa nchini Senegal inapendekeza uchaguzi mkuu wa urais kufanyika tarehe 2 ya mwezi Juni mwaka huu hatua inayokuja baada ya tarehe ya awali kucheleweshwa. Ndiawar Paye...
1 Reactions
1 Replies
569 Views
Mungu wa Israel ana nguvu kuzidi hao wengine, sio mara ya kwanza amedhihirisha ukuu wake, kila ambaye hujaribu kuwafuta hufutwa yeye, hili tumelishuhudia juzi, magaidi walioingiwa mzuka wa...
5 Reactions
27 Replies
2K Views
Muhimu hii iwafikie wafia dini wa JF ambao hupenda sana kuabudu watu wa Iran na Uarabuni.... kuvaa kwako kanzu na kuotesha ndevu ili ufanane na wale haitoshi, ukiingia kwenye anga zao wanakuua...
4 Reactions
56 Replies
4K Views
BREAKING: Huge fire broken out in Israeli factory This is the largest Israeli factory in Hebron (Royal Industrial Company) and major attempts were made to control it to no avail. Hezbollah...
4 Reactions
11 Replies
2K Views
Kwa Mara ya kwanza mabomu ya nuclear yalitumika mwaka 1945 pale Hiroshima na Nagasaki Athali zake zilikuwa kubwa sana. Watu walikufa, miundombinu iliharibika. Lakini cha ajabu, pamoja na...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Jeshi linaloongoza Serikali ya Guinea limemteua Mamadou Oury Bah aliyekuwa kiongozi Mkuu wa Upinzani kuwa Waziri Mkuu siku chache baada ya Watu wawili kuuawa (Februari 26, 2024) baada ya Polisi...
0 Reactions
0 Replies
914 Views
Askari wa Jeshi la wanahewa la Marekani ambaye alijichoma moto siku ya Jumapili nje ya Ubalozi wa Israeli huko Washington kupinga operesheni ya kijeshi ya serikali ya Kiyahudi huko Gaza amekufa...
6 Reactions
11 Replies
2K Views
Katika hali ya kufurahisha na kufufua matumaini, hivi karibuni balozi wa China nchini Zambia Bw. Du Xiaohui alimwambia waziri wa uchukuzi wa Zambia Bw. Frank Tayali, kuwa serikali ya China...
0 Reactions
0 Replies
614 Views
Katika siku za hivi karibuni mkutano wa Baraza la Uchumi wa Dunia kwa mwaka 2024 ulifanyika huko Davis, Uswisi. Waziri mkuu wa China Li Qiang aliiwakilisha China kwenye mkutano huo, na kutoa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Serikali ya China imetangaza kuwa uchumi wa China kwa mwaka 2023 ulikuwa na ongezeko la asilimia 5.2. Habari ambayo wachambuzi wa maswala ya kiuchumi duniani wanaiona kuwa ni habari inayoleta...
0 Reactions
1 Replies
452 Views
Hivi karibuni serikali ya Tanzania iliishukuru serikali ya China kwa kutuma timu za madaktari wa kwenda kusaidia kutoa huduma za afya kwa watu wa nchi hiyo. Imekuwa ni desturi ya serikali ya China...
0 Reactions
1 Replies
530 Views
Magaidi ya kidini yanaendelea kupigwa huku yaking'aka kwamba yatalipa kisasi...... The US military early Saturday struck another Houthi-controlled site in Yemen that it had determined was putting...
5 Reactions
19 Replies
2K Views
Hivi, viongozi hawa hupata zaidi ya mabikira 72?? The IDF said Salami was the commander of a regional unit in Hezbollah and oversaw attacks on IDF troops and Israeli communities in northern...
4 Reactions
8 Replies
1K Views
Katika msimu uliopita wa ununuzi wa Krismasi na mwaka mpya, Kilimall imekuwa jukwaa la biashara la mtandaoni linalopendedwa zaidi na wateja wengi nchini Kenya, kutokana na bidhaa zake bora na...
2 Reactions
2 Replies
526 Views
The El Nino weather pattern has created ideal conditions for mosquitos to breed and transmit dengue fever. The viral infection can cause fever, nausea, vomiting, fatigue and body aches. Peru...
0 Reactions
0 Replies
495 Views
Tarehe 27, Februari, mwaka 2014, rais Xi Jinping wa China alitoa dira ya "kujenga nchi kuwa na nguvu katika sekta ya mtandao wa internet". Katika muongo mmoja uliopita, China imejizatiti katika...
1 Reactions
1 Replies
728 Views
Jeshi la Wanamaji la Marekani limeripoti kwamba limekamata silaha zilizotumwa na Iran kuwapa waasi wa Houthi wa Yemen wiki iliyopita. Jeshi la Marekani (CENTCOM) lilitangaza katika taarifa siku...
3 Reactions
30 Replies
2K Views
Zaidi ya Watu wameuawa kwa kupigwa risasi wakiwa msikitini katika Mji wa Natiaboani siku ambayo pia iliripotiwa Watu 15 kuuawa kwa kushambuliwa wakiwa Kanisani (Mji wa Essakane) ikiwa ni...
0 Reactions
2 Replies
957 Views
Taifa hilo la Afrika Magharibi linakabiliwa na mzozo mbaya wa kisiasa katika kipindi cha miongo kadhaa baada ya Sall kuahirisha gafla uchaguzi wa rais wa Februari 25 saa chache kabla ya kampeni ya...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…