USA wapiga Houthi mabomu mengine tena na tena, magaidi yaanambulia kusema yatalipa kisasi

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,663
48,439
Magaidi ya kidini yanaendelea kupigwa huku yaking'aka kwamba yatalipa kisasi......

The US military early Saturday struck another Houthi-controlled site in Yemen that it had determined was putting commercial vessels in the Red Sea at risk, a day after the US and Britain launched multiple airstrikes targeting Houthi rebels.

Associated Press journalists in Sanaa, Yemen’s capital, heard one loud explosion.

US Central Command said the “follow-on action” early Saturday local time against a Houthi radar site was conducted by the Navy destroyer USS Carney using Tomahawk land attack missiles.
The first day of strikes Friday hit 28 locations and struck more than 60 targets. US President Joe Biden had warned Friday that the Houthis could face further strikes.

The latest strike came after the US Navy on Friday warned American-flagged vessels to steer clear of areas around Yemen in the Red Sea and the Gulf of Aden for the next 72 hours after the initial airstrikes. The warning came as Yemen’s Houthis vowed fierce retaliation, further raising the prospect of a wider conflict in a region already beset by Israel’s war against Hamas in Gaza.
 
Safi sana
 
Teh teh teh kahtaan njoo usome uharo wa Miss Uharo MK254
 
View: https://x.com/WarMonitors/status/1746202784708374761?s=20
 
We punga hao machoko wenzio hayo mashambulizi yao ya angani wanaishia kupiga majabali na mapipa ya maji labda juzi tu kidogo ndo lilileta athari,, kama kweli huyo muamerika mwanaume apeleke jeshi chini kama hajatangaza anapigana na majini kama walivyotangaza mapunga ya kizayuni kule gaza baada ya kuyakakanyaga kwa wanaume wa shoka wa Hamas,, lkn kwa kutumia tu angani hatofanikiwa chochote,,
Houthi wao wanashikilia pale pale kama kawaida yao, yani hakuna mtumbwi, ngalawa, wala dau linalokatisha red sea kwenda Israel...
 
Bila ufafanuzi kwa uzi wako huu:

Video: Mateka 250 waokolewa, HAMAS 60 wauawa na 26 kukamatwa

Posts zako zote ni ushuzi mtupu.

Zombi la dini hebu tudhihirishie uwepo wa huyo 'mungu' wako ambaye husababisha mchinje watu...

Umuue binadamu mwenzako kwa mawe kisa dini, halafu uje kugundua huyo 'Mungu' wako hayuko!

Unamzika mtu akiwa hai, tena kwa ukatili, yote hii kisa sheria za kidini, halafu ukifa uje kushangaa huyo ambaye umekuwa ukimuabudu na kusababisha ufanye ukatili mengi kumbe siye. Mimi japo ni muumini wa uwepo wa Mungu, lakini haya masuala ya kiimani ni ya mtu binafsi na wala sina uwezo wa...
www.jamiiforums.com

www.jamiiforums.com
fukia-jpg.2865966
 
1. Kumbe MK254 haya wayazalishe?

Wanajeshi wawili wa Marekani wamepotea baada ya kushambuliwa Houth

2. Kumbe ni mazombi ya nani?

Zombi la dini hebu tudhihirishie uwepo wa huyo 'mungu' wako ambaye husababisha mchinje watu...

Umuue binadamu mwenzako kwa mawe kisa dini, halafu uje kugundua huyo 'Mungu' wako hayuko!

Unamzika mtu akiwa hai, tena kwa ukatili, yote hii kisa sheria za kidini, halafu ukifa uje kushangaa huyo ambaye umekuwa ukimuabudu na kusababisha ufanye ukatili mengi kumbe siye. Mimi japo ni muumini wa uwepo wa Mungu, lakini haya masuala ya kiimani ni ya mtu binafsi na wala sina uwezo wa...
www.jamiiforums.com

www.jamiiforums.com
fukia-jpg.2865966
 
Na bado utachanganyikiwa sana.
Huyu mtoa mada ni kichaa dunia nzima pamoja na huyo America wameisha gundua Yemen huwa ukianza naye vita haishi.

America atarudi na atarudi kupiga target tupu pale Yemen silaha zao huwa wanaziweka chini ya Majabali, huoni America anachezewa sa kama mtoto.
Yemen anajua wazi America huwa anatuma drone zake kuchunguza target mchana afu usiku anashambulia 😄

Kwa hio ikifika usiku anaziondoa silaha zake kuzipeleka kwenye majabali, anawekewa mapipa ya oil chafu akisha piga America akifatilia zile footage anakuta kapiga ujinga mtupu, hata Saud Arabia alichezrwa hivyo hivyo.

Yemen kisha ifahamu tack tick ya America kutokana na kushiriki America vita ya Saud Arabia na Yemen, alikuwa ndio anawambia Saud Arabia target zipo wapi 😄 Kumbe walishia kupoteza silaha zao za mabillion bure.

Huyu mtoa mada anadhani vita ni siku mbili au week, amulize Israel sialijidai nayeye Gaza week ataimaliza, kaishia vunja majumba tu na kuwauwa civilian haswa watoto na wanawake sa anaface kesi ya Genocide
 
Magaidi ya kidini yanaendelea kupigwa huku yaking'aka kwamba yatalipa kisasi......

The US military early Saturday struck another Houthi-controlled site in Yemen that it had determined was putting commercial vessels in the Red Sea at risk, a day after the US and Britain launched multiple airstrikes targeting Houthi rebels.

Associated Press journalists in Sanaa, Yemen’s capital, heard one loud explosion.

US Central Command said the “follow-on action” early Saturday local time against a Houthi radar site was conducted by the Navy destroyer USS Carney using Tomahawk land attack missiles.
The first day of strikes Friday hit 28 locations and struck more than 60 targets. US President Joe Biden had warned Friday that the Houthis could face further strikes.

The latest strike came after the US Navy on Friday warned American-flagged vessels to steer clear of areas around Yemen in the Red Sea and the Gulf of Aden for the next 72 hours after the initial airstrikes. The warning came as Yemen’s Houthis vowed fierce retaliation, further raising the prospect of a wider conflict in a region already beset by Israel’s war against Hamas in Gaza.
Mzee leo meli kubwa ya uingereza as we speak inamalizikia kuzama red sea, pale wazungu wamechemka kelele zote zile bado hapapitiki
 
Attachments

  • Screenshot_20240227-211035_Instagram.jpg
    Screenshot_20240227-211035_Instagram.jpg
    363.4 KB · Views: 2
Back
Top Bottom