Kiwanda kikubwa Israeli kimepigwa Makombora

green rajab

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
11,307
35,852
BREAKING:

Huge fire broken out in Israeli factory

This is the largest Israeli factory in Hebron (Royal Industrial Company) and major attempts were made to control it to no avail.

Hezbollah fired more than 20 missiles toward Israel. Air raid sirens are sounding in Israel.
IMG_20240227_192411.jpg


Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Mayor wa Hebron atoa mlio

Mayor of Hebron, Tayseer Abu Sneineh:
“All the municipal capabilities, including firefighters, water tanks, and bulldozers, were mobilized to extinguish the fire in the Royal Factory warehouse. The fire is larger than the existing capabilities in the country, and requires capabilities that are only available at the disposal of the occupation.”
 
umeshindwa kuweka hata picha za kudaunilodi za kiwanda kina ungua ?
️ | BREAKING:

A large missile salvo launched from southern Lebanon towards the occupied territories of northern Palestine

Enemy's media:
At least 50 missiles were launched from southern Lebanon
IMG_20240227_195120.jpg


Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Occupied territory.
Au hujui kama Hebron ilikua ndani ya mipaka ya Palestine kabla ya Occupation??
Eneo lote la palestina ni occupied territory sema kuna maeneo mengine yna kautawala wa ndan wa palestina na mengine ya utawala wa ndan lakin kuna masetller wa kiyahud. Lakin kwa mfano hapo Hebron wapalestina ndio wengi na hata hicho kiwanda unakuta wafanyakaz ni wapalestina.
 
Eneo lote la palestina ni occupied territory sema kuna maeneo mengine yna kautawala wa ndan wa palestina na mengine ya utawala wa ndan lakin kuna masetller wa kiyahud. Lakin kwa mfano hapo Hebron wapalestina ndio wengi na hata hicho kiwanda unakuta wafanyakaz ni wapalestina.
Hebron iko na authority toka Tel aviv.
Hebron haitawaliwi ama kuongozwa na Ramallah .
 
Kazi ya dini hiyo , wenye akili wanakua mazuzu, dhaifu anakua jasiri, kipofu anaona.
Kiwanda cha waisrael hicho ww idf wanashambulia mpk makanisa na hospital hiko kiwanda kingekuwa kipo chini ya wapalestine mpk leo kisingekuwepo muwe mnatumia akili mkiambiwa msile nguruwe minyoo yake inaathili ubongo mnabisha mnaendelea kula.
 
Back
Top Bottom