Tathmini mpya za wataalamu wa masuala ya ulinzi wa Center for Strategic and International studies (CSIS) zinaonyesha kuwa Marekani imetumia zaidi ya asilimia 65 ya makombora yake ya Patriot...
Concerns have resurfaced over allegations that some poultry farmers are misusing antiretroviral (ARV) drugs by mixing them into chicken feed to speed up growth.
The practice, which has been...
Kamanda mkuu wa jeshi la Marekani nchini Ulaya, Jenerali Alexus Grynkewich, ameionya Pentagon kwamba Jeshi la Wanamaji la Marekani linaweza hivi karibuni kushindwa kuendelea kuilinda Israel dhidi...
Mgogoro kati ya Iran na Israel umechukua sura mpya ya hatari mwezi huu wa Juni 2025, ukibeba historia ya chuki ya muda mrefu, mashambulizi ya maneno, na sasa mashambulizi ya moja kwa moja.
Chanzo...
Wana jamvi hamjamboni?
Kunazo tarifa lukuki zikitokea Iran ya Madale kuwa, Tayari huko vita vya Beberu mkuu na Iran ya wairan wanaouumia ukiachana na wairan wa Miswe, eti viko mwishoni mwishoni...
Kwa miaka mingi Marekani imewekeza trilioni za dola kwenye satelaiti, ndege za upelelezi, drones, rada na mashirika ya kijasusi ili kupata taarifa za adui. Lakini inaonekana Iran imegundua njia...
Generali wa marekani Alexus Grynkewich amesema kwasasa hana silaha za kuilinda Israel hivyo ni bora silaha zilizopo ziisadie kwenye ardhi ya marekani badala ya kuilinda Israel.
Serikali ya Ghana imekubali pendekezo la kuongeza muda wa muhula wa urais kutoka miaka minne hadi mitano, Taarifa iliyotolewa na Waziri wa Sheria wa nchi hiyo Dr. Dominic Akuritinga Ayine
Rais...
22 September 2023
UN HQ, New York
Hotuba mbele ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa UNGA : Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu 2023.
https://m.youtube.com/watch?v=kNH85jgzJ0Y
Asante Mheshimiwa...
Watu wa Iran, hasa viongozi wa serikali na wanadiplomasia, wanavaa suti bila tai kwa sababu tai inachukuliwa kama ishara ya utamaduni wa Magharibi na ubeberu. Baada ya Mapinduzi ya Kiislamu ya...
Mashambulizi yaliyolengwa na Israeli yaliendelea kote Gaza jumamos usiku licha ya kutangazwa kwa makubaliano ya kupokonya silaha ambayo Hamas inasema yanajumuisha kusitishwa kwa mashambulizi...
Vijana 20 wa timu ya mpira kutoka Ethiopia wametoweka nchini Sweden siku ya fainali ya mashindano ya Gothia Cup. Polisi wanashuku kuwa huenda waliondoka kwa hiari wakitaka kubaki Sweden kinyume...
Dunia inatazama kwa mshangao: 👉Iran inaandamwa na vikwazo vya kila aina, wanasayansi wake wanauwawa kwa siri, na kuta za nyuklia zinalipuliwa na majasusi. Lakini upande wa pili, Kim Jong-un...
Angalia ramani
Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza makubaliano ya awamu ya kwanza ya kusitisha mapigano kati ya Israeli na Hamas, yanayojumuisha kubadilishana mateka na Israeli kurudisha...
Kwa mujibu wa makadirio ya maafisa, ndani ya saa 24 zilizopita Takribani wahamiaji 49,000 kutoka Morocco wameingia katika eneo la Ceuta, mji wa Hispania uliopo mpakani kaskazini mwa Afrika...
Kundi la Hamas limetangaza kuvunja serikali yake ya utawala wa Gaza ili kupisha kamati ya wataalamu wa Kipalestina itakayosimamia shughuli za kiraia katika Ukanda wa Gaza. Hatua hiyo ni sehemu ya...
Aiseee huu mtambo sio poa!! Dude linajulikana kama Khorramshahr-5 hili dude ni hatari lina mlipuko mkubwa kuliko hata yale madude ya Bunker buster ya US
Iran is preparing to test the heavy...
Kwa kifupi ni kwamba huko Ulaya kwa sasa karibia kila nchi kuna Left vs Right
Vyama vya left vinapenda kuacha mipaka wazi, mfano spain, Ufaransa, Uingereza, wanaongozwa ni left wenye madaraka...
Katika taarifa, Hamas ilithibitisha kuwa inakubaliana na Awamu ya 2 ya mfumo wa kusitisha mapigano, lakini inasisitiza kuwa itaacha tu silaha zake nzito - ikimaanisha roketi, ATGM n.k. - baada ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.