Hamas yakubali kuweka silaha chini Gaza; Trump kutangaza mpango wa Bodi ya Amani
.Chanzo cha picha, Reuters
Afisa mwandamizi wa Hamas ameliambia shirika la habari la BBC kwamba kundi hilo...
Video inayosambaa mtandaoni, ikionesha mabomu ya HIMARS yakirushwa toka Kuwait kuelekea kusini mwa Iran kwa mashambulizi yaliyofanyika jana usiku.
Kabla ya hapo, waziri wa Kuwait alisisitiza...
Wanaukumbi.
Msemaji wa Vikosi vya Jeshi la Iran alisema:
"Rais wa Marekani anakusudia kuhamisha mali zilizozuiliwa za Iran kwa makampuni na nchi zinazodai kupata hasara wakati wa vita."
Msemaji...
Maneno ya mwisho ya mwanajeshi mdogo wa Marekani, Angel Rampesard, kabla ya kifo chake... 💔🕊️
Kwa mujibu wa mama yake, Angel alimwambia kwamba mashambulizi ya adui kutoka Iran hayakuwa yamewahi...
Waziri wa Ulinzi wa Israeli Israel Katz: "Niliwaagiza IDF wajiandae kwa Operesheni 'Bluu na Nyeupe' nchini Iran, IDF inasubiri tu."
Hii ina maana kwamba Israeli inapanga chaguo la kufanya kazi...
kweli hii dunia ina wenyewe, duh, sikiliza mwenye jibu lake ...
==
Sean Hannity: "...me in this sense for you. Um, you travel internationally?"
Benjamin Netanyahu: "Yeah."
Sean Hannity: "God...
Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu alitoa onyo la moja kwa moja kwa Iran, akisema Israeli iko tayari kwa hali yoyote na kuahidi majibu yenye nguvu zaidi ikiwa Tehran itashambulia tena.
Akizungumza...
Kuna wajinga wengi wanauliza kwanini Iran haipigi Israel anapiga Gulf states na nchi kama Jordan na Syria pamoja na Iraq.
Ukweli Iran target yake ni kuitwanga Israel lakini kumbukeni hizo nchi...
Waziri wa Ulinzi wa Israeli, Israel Katz, mwishoni mwa tathmini ya hali kuhusu Iran:
Israeli imejiandaa upya kwa ajili ya vita dhidi ya Iran. Jeshi la IDF limejiandaa katika ulinzi na...
Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir, amemfuta kazi Gavana wa Benki Kuu ya nchi hiyo, Johnny Ohisa, katika hatua ya karibuni ya mabadiliko makubwa yanayoendelea kufanywa ndani ya serikali yake.
Kiir...
Katikati ya mwezi Julai, kituo cha utafiti cha Pew cha Marekani (pew Research Centre) kilitoa matokeo ya utafiti uliofanyika katika nchi 36 duniani, yakionyesha kuwa kati ya nchi hizo, nchi 25...
Waziri wa Ulinzi wa Israeli Israel Katz katika ujumbe kwa Katibu Mkuu wa Hezbollah Naim Qassem:
Utalipa gharama kubwa kwa kufyatua risasi kuelekea Israeli usiku wa kuamkia sikukuu.
Hutaishi ili...
Waziri wa Ulinzi wa Israeli, Israel Katz:
Kila kitu kinachohitajika kitafanywa. Hakuna vikwazo ndani ya Lebanon.
Mlinganyo uko wazi: hakuna mashambulizi ya masharti huko Beirut. Hakuna kusitisha...
Ukifuatilia maneno ya Trump akiwa pekee usiku wa manane na yale anayotoa hadharani hakuna shaka yoyote kuwa vita vimemshinda.
Sasa ushindi mwengine wa wazi unakuja kwa kupigwa kwa Israel na wale...
Hakuna #muarabu wala #muislamu duniani anaweza kupambana na israel 🇮🇱 pale mashariki ya kati kwa sasa na hali zetu hizi 💦📚
Fuatana nami mpaka mwisho; 🤝
Kwanza #israel🇮🇱🫴 yuko pale kama kivuli...
Jeshi la Yemen linaloungwa mkono na Iran, Houthis wako mbioni kutoza ada kwa kila meli inayopita bahari nyekundu kwenye mlango bahari wa al-Mandab
Hayo yamesemwa na waziri wa Yemen (inayoungwa...
5 Days Marangu Route Kilimanjaro Climbing Tour | Classic Hut Route Tanzania 2026/2027
AbOut.... 5 Days Marangu Route Kilimanjaro Climb | Classic Hut Route with Local Guides Tanzania
Join the...
jioneeni wenyewe "beach boys" wa USA wanavyofanya mambo makubwa ku-save life vs tanzagiza vijana wote wanapoteza ujana wao wakishinda kwenye boda boda mpaka wanazeeka, boda boda ni lost...
Swali hilo limekua likulizwa na baadhi ya watu,hususan pro Marekani.
Kwamba Iran ni dhaifu,kama sio dhaifu kwa Nini haipigi ndani ya Marekani moja kwa moja kama vile Marekani Inavyopiga ndani ya...
Aliyekuwa Rais wa Korea Kusini, Yoon Suk Yeol, amepatikana na hatia ya kudanganya wakati wa kampeni zake za urais. Hukumu hii mpya imekuja baada ya kuondolewa madarakani mwaka 2025 kutokana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.