International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Mahakama ya Korea Kusini imemuamuru bilionea wa teknolojia na Mwenyekiti wa SK Group, Chey Tae-won, kumlipa aliyekuwa mkewe, Roh So-yeong, won bilioni 944, sawa na takribani dola milioni 640...
0 Reactions
6 Replies
174 Views
YONI NETANYAHU ALIHESHIMIWA ENTEBBE—MIAKA 50 BAADAE Sanamu ya shaba ya Luteni Kanali Yoni Netanyahu sasa imesimama katika kituo cha zamani cha Uwanja wa Ndege wa Entebbe, ikizinduliwa katika...
3 Reactions
32 Replies
501 Views
Ndo ile ukisikia adui yako kawa rafiki yako ndio hii sasa, Baghdad, Iraq Ni wanajeshi 12 miongoni mwa askari 551 amboa walijulikana kama "Super twelve' walipewa jukumu la kumlinda raisi Saddam...
5 Reactions
8 Replies
286 Views
Nadhani Washauri wa Trump hawakufanya Tathmini ya kutosha kuingia vitani na Iran. Vita vilipochanganya na Marekani alipoanza kupoteza akaenda Kumuomba RAIS wa china asimuizie silaha Iran,Xi...
7 Reactions
52 Replies
1K Views
Mgogoro wa Iran Kikosi cha uokoaji cha Marekani kiliacha ndege mbili aina ya MC-130J na helikopta nne aina ya MH-6 Little Bird ndani ya Iran baada ya usafiri huo kuzama kwenye mchanga laini wa...
4 Reactions
27 Replies
497 Views
Zimbabweans seeking to travel to the United States will now have to apply for visas in South Africa after the U.S. Department of State moved routine visa processing from Harare to regional visa...
0 Reactions
0 Replies
62 Views
Zimbabwe’s long history of street protests faced another test on 31 July, when activists called for nationwide demonstrations against Constitution Amendment Act No. 3 — a controversial law that...
0 Reactions
0 Replies
62 Views
Iran imewanyonga raia wake wawili, baada ya kutuhumiwa kwa kutuma taarifa nyeti za kijeshi pamoja na location za maeneo ya kiusalama kwenda Israel. Inadaiwa kuwa taarifa hizo zilitumwa wakati wa...
1 Reactions
5 Replies
228 Views
Kila taifa lina wakati mmoja ambao linaamua kuwekeza kwenye kesho badala ya kuendelea kuboresha jana. Rwanda inaonekana kufikia hatua hiyo. Uamuzi wa kuzima mtandao wa 3G ifikapo 2027 hauhusu...
2 Reactions
7 Replies
134 Views
Marekani na Israel zilianzisha mashambulizi dhidi ya Iran siku ya Jumamosi, huku shambulio la kwanza likiripotiwa kutokea karibu na ofisi za Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei. Vyombo...
29 Reactions
14K Replies
257K Views
Tathmini mpya za wataalamu wa masuala ya ulinzi wa Center for Strategic and International studies (CSIS) zinaonyesha kuwa Marekani imetumia zaidi ya asilimia 65 ya makombora yake ya Patriot...
21 Reactions
87 Replies
2K Views
Iran safari hii lazima watatema ndoano!!!
3 Reactions
32 Replies
611 Views
My Take Niliwahi sikia vijiweni kwamba hii kitu ni dili sana kumbe Iko live Duniani kwamba inatumika kama tiba za magonjwa mbalimbali ikiwemo kupunguza uzee. Mamlaka nchini Pakistan zinachunguza...
2 Reactions
4 Replies
179 Views
Concerns have resurfaced over allegations that some poultry farmers are misusing antiretroviral (ARV) drugs by mixing them into chicken feed to speed up growth. The practice, which has been...
0 Reactions
1 Replies
72 Views
Kamanda mkuu wa jeshi la Marekani nchini Ulaya, Jenerali Alexus Grynkewich, ameionya Pentagon kwamba Jeshi la Wanamaji la Marekani linaweza hivi karibuni kushindwa kuendelea kuilinda Israel dhidi...
5 Reactions
53 Replies
906 Views
Mgogoro kati ya Iran na Israel umechukua sura mpya ya hatari mwezi huu wa Juni 2025, ukibeba historia ya chuki ya muda mrefu, mashambulizi ya maneno, na sasa mashambulizi ya moja kwa moja. Chanzo...
36 Reactions
12K Replies
471K Views
Wana jamvi hamjamboni? Kunazo tarifa lukuki zikitokea Iran ya Madale kuwa, Tayari huko vita vya Beberu mkuu na Iran ya wairan wanaouumia ukiachana na wairan wa Miswe, eti viko mwishoni mwishoni...
3 Reactions
42 Replies
746 Views
Kwa miaka mingi Marekani imewekeza trilioni za dola kwenye satelaiti, ndege za upelelezi, drones, rada na mashirika ya kijasusi ili kupata taarifa za adui. Lakini inaonekana Iran imegundua njia...
13 Reactions
20 Replies
640 Views
Generali wa marekani Alexus Grynkewich amesema kwasasa hana silaha za kuilinda Israel hivyo ni bora silaha zilizopo ziisadie kwenye ardhi ya marekani badala ya kuilinda Israel.
6 Reactions
12 Replies
286 Views
  • Featured
Serikali ya Ghana imekubali pendekezo la kuongeza muda wa muhula wa urais kutoka miaka minne hadi mitano, Taarifa iliyotolewa na Waziri wa Sheria wa nchi hiyo Dr. Dominic Akuritinga Ayine Rais...
1 Reactions
3 Replies
484 Views
Back
Top Bottom