Ikiwa iran itashupaza shingo "Operesheni Sledgehammer" itafuatia!!!!

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,438
Reaction score
7,853
Jeshi la Marekani linaripotiwa kuzingatia kubadilisha jina la mgogoro na Iran kuwa "Operesheni Sledgehammer" ikiwa usitishaji mapigano utavunjika na Rais Donald Trump aamuru hatua mpya za kijeshi.

Kulingana na NBC, maafisa wa Pentagon wanajadili kubadilisha jina "Operesheni Epic Fury," hatua ambayo inaweza pia kusaidia kuweka upya ratiba ya kisheria inayohusiana na idhini ya bunge kwa vita. Maafisa wa Marekani waliambia mtandao huo kwamba majadiliano yanaashiria kwamba utawala wa Trump unajiandaa kwa umakini kwa uwezekano wa kurudi kupigana na Iran.

IMG_20260513_201853_332.jpg
 
View attachment 3588294
Hayo majina wanayobadilisha yana athar gan kiutendaj???
 
Hiyo title ya hiyo operationi ingependeza kuwa title ya movie la action kabisa, si mnajua tena Prezzo wa US alivyokuwa affiliated na entertainment pia. GO USA! GO the Goat.
 
Hayo majina wanayobadilisha yana athar gan kiutendaj???
Inasaisia kuficha siri. Pia inasaidia utendaji hasa unit.

Kila Operation inaonggozwa na mtu tofauti na mipango tofauti. Mara nyingi jina jipya linakuwa na ufanisi. Kuweka kumbukumbu sawa.. Kwa mfano Sadam aliuawa kwenye operation, fulani, Iran ilipigwa kwenye operation fulani.

So mwisho wa siku wanajua ni Operation gani ipo vizuri. Mwisho wa siku wanaitumia kwenye mafunzo kwa vizazi vijavyo. Mfano operesheni Absolute Resolve ilotumika Venezuela.. Inadaiwa mbinu zake ndo zilitumika kumuokoa Ruban we ndege za Marekani Iran
 
US hana hamu ya kurudi Tehran akikumbuka jinsi ilivyo shughuli kuipata ceasefire na muajemi, kuanza vyepesi ila kupata ceasefire ndio kesi ilipo hawezi kurudi yule akirudi tena safari hii hakuna balaa lake halina mfano kuna drone na makombora mapya yatazinduliwa yanasubiria mtanange
 
Wacha weee!
Mchambuzi wa masuala ya kimataifa kutoka Nzega vijijini.
 
Inasaisia kuficha siri. Pia inasaidia utendaji hasa unit.

Kila Operation inaonggozwa na mtu tofauti na mipango tofauti. Mara nyingi jina jipya linakuwa na ufanisi. Kuweka kumbukumbu sawa.. Kwa mfano Sadam aliuawa kwenye operation, fulani, Iran ilipigwa kwenye operation fulani.

So mwisho wa siku wanajua ni Operation gani ipo vizuri. Mwisho wa siku wanaitumia kwenye mafunzo kwa vizazi vijavyo. Mfano operesheni Absolute Resolve ilotumika Venezuela.. Inadaiwa mbinu zake ndo zilitumika kumuokoa Ruban we ndege za Marekani Iran
Hakuna rubani aliyeokolewa Iran wala hakuna rubani alianguka hai ndania ya iran, na ile operation haikuwa ya kumuokoa rubani operation ilikua ya kuiba uranium iliyorutubishwa katika mgodi wa nyuklia na haikufanikiwa na walipoteza ndege nne na helkopta 6
 
US hana hamu ya kurudi Tehran akikumbuka jinsi ilivyo shughuli kuipata ceasefire na muajemi, kuanza vyepesi ila kupata ceasefire ndio kesi ilipo hawezi kurudi yule akirudi tena safari hii hakuna balaa lake halina mfano kuna drone na makombora mapya yatazinduliwa yanasubiria mtanange
Hata mwanzo mlisema US hawezi shambulia Iran na aliposhambuliwa sasa tena mmekuja kivingine!!! Waarabu-koko mna matatizo nengi sana!!
 
Jeshi la Marekani linaripotiwa kuzingatia kubadilisha jina la mgogoro na Iran kuwa "Operesheni Sledgehammer" ikiwa usitishaji mapigano utavunjika na Rais Donald Trump aamuru hatua mpya za kijeshi.

Kulingana na NBC, maafisa wa Pentagon wanajadili kubadilisha jina "Operesheni Epic Fury," hatua ambayo inaweza pia kusaidia kuweka upya ratiba ya kisheria inayohusiana na idhini ya bunge kwa vita. Maafisa wa Marekani waliambia mtandao huo kwamba majadiliano yanaashiria kwamba utawala wa Trump unajiandaa kwa umakini kwa uwezekano wa kurudi kupigana na Iran.

View attachment 3588294
Trump na vilaza wake wanapiga chenga kwenda Congress kujieleza ili wapate uhalali wa kisheria kwa hiyo vita yao dhidi ya Iran. Wanajidai kumuiga Putin eti "operation". Siku 60 za dharura zinazoruhusiwa zimeisha wanajidai kuanzisha operation mpya "sledgehammer" ambayo ni muendelezo wa "epic fury". Hakuna kipya na kesi ya kufanya vita kinyume cha katiba inawasubiri. Btw, sledgehammer itakuwa na maana tu pale Trump atakpoingiza wapiganaji ndani ya Iran na si vinginevyo.

Iran inazidi kuwathibitishia kuwa enzi za vita za merikebu na jetfighters zimepitwa na wakati. Hizi ni enzi za akili kubwa, Drones na teknologia ya AI. Hiyo mizinga ya USD 4.0M kupambana na drones za 20-40K ni hesabu mbovu sana. Wameshanza kuishiwa. Drones zinafyatuliwa viwandani kwa maelfu kila siku wakati hayo mabomu yanachukua miaka kikamilika. Hakuna cha iron dome kule Israel. Drones na misiles zinapenya tu. Urusi kwenyewe mambo yamebadilika. Jet fighters zao na combat helicopters hazithubutu kuruka juu ya anga la Ukraine. zinadondoshwa na manpads (stingers). Wanategemea Zaidi drones toka Iran ambazo Ukraine wameshapata dawa ya kuzizuia kwa drones za gharama ndogo zaidi ya 2-4K!

Hizi vita zimeleta mapinduzi makubwa katika medani ya vita. Yale mavyombo makubwa ya enzi za WW2 yameshapitwa na wakati. Imagine Marekani na Iraeli na aircraft carriers, missiles, jetfighters, destroyers wanashindwa kumtuliza Iran. Putin naye ameanza kuiogopa Ukraine hadi kuondoa show ya silaha kubwa kwenye parade ya kukumbuka the great patriotic war (WW2)!
 
Back
Top Bottom