Wanted: Dead or Alive!!!

Wanted: Dead or Alive!!!

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
8,082
Reaction score
6,971
Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani inatoa hadi dola milioni 15 kwa taarifa kuhusu watu binafsi na mitandao ya kifedha inayohusiana na shughuli za uzalishaji wa ndege zisizo na rubani za Iran, ikitambua watu kadhaa wanaohusiana na KIPAS - tawi la uzalishaji wa ndege zisizo na rubani la Kikosi cha Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu cha Quds kinachohusika katika shughuli za uundaji na usambazaji wa ndege zisizo na rubani.

IMG_20260515_080713_158.jpg
 
View attachment 3588945
Died ❌
Dead ✅
 
Zee la uharo.

Yahudi la kuchovya kutoka kimanzichana.

Mabwana zako si wamesema wameharibu uwezo wa kijeshi wa Iran na wamewarudisha zama za mawe.
 
Ila marekani wamejua kjiidhalilisha kwenye hii vita. Kwa hiyo hawana tena uwezo wa kintelejinsia wala kivita kuziangamiza au kumaliza uzalishaji wa hizo drones. Na mbona walijitapa wameangamiza uwezo wa kijeshi wa Iran?
So wanachofanya sasa ni kuprint midolali na kuomba kudra za waja wawachome magaidi wenzao.

Hii ni hatua ya mwisho ya kushindwa katika medani za kivita.
 
Back
Top Bottom