"History doesn't repeat itself but it often ryhmes" Mark Twain
Kabla ya mwaka 1914, Ujerumani na Austro-Hungary walikuwa ni mataifa ambayo hayawezi kutenganishwa kwa lolote lile. Mkubwa alikuwa...
Trump alijua vita ya Iran itamuongezea points na MAGA wenzake kuelekea uchaguzi wa wabunge na magavana mwezi Novemba. Kilichotokea ni amepoteza points nyingi.
Sasa juzi serikali yake imemfungulia...
Ethiopian Airlines, Africa’s largest airline, says it has lost $137 million in just one week because of the ongoing conflict involving the U.S., Israel, and Iran.
The airline has suspended...
Mashambulizi ya pamoja kati ya majeshi ya Nigeria na United States yameua wapiganaji 175 wa kundi la Islamic State, kwa mujibu wa taarifa ya majeshi ya nchi hizo iliyotolewa Jumanne.
Mashambulizi...
Watu watatu wamefariki baada kushukiwa kuambukizwa virusi vya hantavirus katika meli moja ya kubeba abiria iliyokuwa ikisafiri katika bahari ya Atlantiki, hii ni kulingana na taarifa iliyotolewa...
Heshima sana wanajamvi,
General Muhoozi Kainerugaba CDF wa Uganda Army Forces na ndiye Rais wa mtarajiwa wa Uganda baada ya Baba yake kuitawala Uganda kwa zaidi ya miaka 40.
General Muhoozi...
Nisiongee sana
Sababu ni kwamba Waziri Mkuu Netanyahu kapata kisingizio kwamba bila china wangeweza kumaliza vita Iran
Wanamshutumu kwamba China wanatoa msaada wa picha za satelite kuonyesha...
Al Jazeera English imeripoti kuwa shambulio la risasi lililotokea Mei 18, 2026 katika Islamic Center of San Diego lilisababisha vifo vya watu watatu, akiwemo mlinzi wa usalama, baada ya vijana...
Wanakumbi.
🚨Kutoka kwa Rais Trump…
“Nimeombwa na Emir wa Qatar, Tamim bin Hamad Al Thani, Mkuu wa Taji la Saudi Arabia, Mohammed bin Salman Al Saud, na Rais wa Falme za Kiarabu, Mohamed bin...
Shirika la Utafiti la Pew la Marekani hivi karibuni limetoa ripoti ikionesha kwamba, ikilinganishwa na mwaka 2023, Wamarekani wenye maoni chanya kuhusu China wameongezeka maradufu, na kufikia...
Mamlaka ya Viwango ya Ghana (GSA), ikiongozwa na Clement Kwolaga Kubati, imevamia kituo cha manunuzi cha China Mall huko Ashaiman na kukamata bidhaa za 'Buds Light' zinazodaiwa kuwa haramu, ambazo...
Iran is threatening undersea cables. The world’s ‘digital chokepoints’ have never been more vulnerable
Ngoma inogile waache wajichanganye tena safari hii hata pesa kwenye ATM hawatatoa .
Hizi...
Étienne Davignon, aliyekuwa mtuhumiwa pekee aliyesalia katika kesi iliyofunguliwa mwaka 2011 na watoto wa Lumumba dhidi ya maafisa kumi wa Ubelgiji kufuatia mauaji ya Patrice Lumumba mwaka 1961...
THE EMOTIONAL SONG QUIETLY TAKING OVER NIGERIA'S INTERNET
In a music industry constantly chasing noise, controversy and trends, fast-rising Nigerian artist Jubet is building momentum differently...
TRUMP, CHINA NA VITA VYA MADINI: TANZANIA IMO KATIKATI YA “COLD WAR” MPYA YA KARNE YA 21?
Kadi za Trump dhidi ya China na Kadi za China dhidi ya Trump -
Wakati dunia inaangalia picha za mkutano...
Wakili mkuu na nguli wa sheria za kodi nchini Uingereza alikwepa kulipa kodi ya karibu pauni milioni 2 (sawa na dola milioni 2.7) alizokuwa anadaiwa kutokana na mapato ya kazi yake ya uwakili kwa...
Togo imekuwa nchi ya sita barani Afrika kuruhusu raia wote wenye pasipoti za nchi za Afrika kuingia nchini humo bila visa, kuanzia Mei 18, 2026.
Kwa hatua hii, Togo inaungana na nchi nyingine...
Baltasar Ebang Engonga, aliyekuwa mkuu wa zamani wa kitengo cha kupambana na uhalifu wa kifedha Equatorial Guinea na mpwa wa Rais Teodoro Obiang Nguema, alijikuta katikati ya kashfa nzito mnamo...
Kuna msemo unaosema:
"A strong port means a strong global trading power.”
Nguvu ya uchumi wa China imejengwa kwenye bandari zake kubwa zinazoiunganisha China na dunia
"China inahusika na zaidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.