In fact,
miezi kadhaa iliyopita Xi alikuwepo Marekani kwa mualiko wa Mzee Trump, na makubaliano yalikua na Mzee Trump aizuru China nadhani February au March mwaka huu 2026, lakini iliahirishwa kwa muda isiyojulikana, nadhani kwasababu za mambo yale ya Venezuela na Irani.
Ila ughafla wa Mzee Trump kuomba kuiziru China ndio umeibua hisia mseto na maswali mengi sana, kubwa zaidi linalozungumzwa ni kwamba, ziara ya Mzee Trump China ina msukumo wa uzito na ugumu wa vita vya Irani.
Mzee Trump ni kama vile kaenda kumshika mkono na kumuomba sana Xi, asiisaidie wala kuiuzia Irani chochote.
Kwa maelezo hayo,
ni wazi Mzee Trump ndie aliemuomba Xi mkutano, na sababu kubwa ikiwa ni Irani isiyotabirika 🐒