MakinikiA
JF-Expert Member
- Jun 7, 2017
- 5,698
- 7,883
Nisiongee sana
Sababu ni kwamba Waziri Mkuu Netanyahu kapata kisingizio kwamba bila china wangeweza kumaliza vita Iran
Wanamshutumu kwamba China wanatoa msaada wa picha za satelite kuonyesha maeneo ya kupiga
Wanashutumu kwamba China wanawapa Iran makombora ya hypersonic missile
Stay tuned