International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Rais Denis Sassou Nguesso amesema kuwa uamuzi huo wa kufuta hitaji la visa kwa nchi yake utaanza rasmi 2027, ikiwa ni sehemu ya msisitizo na dhamira yake ya dhati kuelekea misingi ya Uafrika...
2 Reactions
0 Replies
94 Views
Baada ya mashambulizi ya mwishoni mwa juma lilopita, Russia leo imetoa onyo kwa mabalozi na raia wa kigeni walioko mjini Kyiv kuondoka katika mji huo kupisha mashambulizi ya makombora yanolenga...
4 Reactions
11 Replies
303 Views
Rais wa Senegal, Bassirou Diomaye Faye, amemteua Ahmadou Al Aminou Lo kuwa Waziri Mkuu mpya wa nchi hiyo. Ahmadou Lo, ambaye aliwahi kuwa kiongozi mkuu katika Benki Kuu ya Mataifa ya Afrika...
0 Reactions
4 Replies
155 Views
Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu ameomba kuahirisha kutoa ushahidi katika kesi yake ya ufisadi ya muda mrefu ambayo ilipangwa kuendelea wiki ijayo, akitoa sababu ya hali ya usalama inayoendelea...
3 Reactions
2 Replies
227 Views
Wameanza kulia kulia na kuweka vikao kujadili silaha iliyotumika used a powerful hypersonic Oreshnik ballistic missile in an overnight missile and drone attack on Kyiv, Ukrainian President...
2 Reactions
8 Replies
346 Views
Watu watano wamefariki dunia katika shambulio dhidi ya msikiti mmoja huko San Diego nchini Marekani, baada ya washukiwa wawili kuvamia eneo hilo kabla ya kujitoa uhai kwa kujipiga risasi. Waumini...
16 Reactions
84 Replies
2K Views
🇮🇱🇮🇷➡️ The IAF has eliminated someone important in the heart of Tehran. Rumours say it was Mohammad Bagher Ghalibaf, the president of the Iranian parliament. We will find out soon enough but...
2 Reactions
26 Replies
806 Views
Msemaji wa wizara ya Mambo ya Nje wa Iran, Esmaeil Baghaei: Ukweli kwamba tumefikia hitimisho kuhusu sehemu kubwa ya mada zinazojadiliwa ni sahihi. Hata hivyo, kusema kwamba hii ina maana kwamba...
0 Reactions
7 Replies
171 Views
Urusi pia ilirusha makombora mawili ya masafa ya kati ya Oreshnik yenye risasi za MIRV kuelekea eneo la Kiev, huku picha zikionyesha athari nyingi za kuingizwa tena karibu na Bila Tserkva...
1 Reactions
17 Replies
441 Views
Spika wa bunge la Senegal ametangaza kujiuzulu nafasi yake, siku mbili tu baada ya mshirika wake wa karibu kufutwa kazi kama Waziri Mkuu, hatua inayozidisha mzozo wa kisiasa nchini humo. Uamuzi...
0 Reactions
2 Replies
214 Views
Aliyekuwa Waziri wa Uhusiano wa Kimataifa na Ushirikiano wa Afrika Kusini, Naledi Pandor, pamoja na familia yake, walivamiwa na kushikiliwa kwa mitutu ya bunduki na majambazi wenye silaha nyumbani...
1 Reactions
4 Replies
152 Views
Kituo cha Rwampara kilichomwa moto na vijana wenye hasira wakati wakijaribu kuchukua mwili wa rafiki yao aliyedhaniwa kufa kwa Ebola, kwa mujibu wa ushahidi wa mtu mmoja aliyezungumza na shirika...
1 Reactions
8 Replies
242 Views
Siku ya jumatano, waislamu waliokuwa kwenye ibada, walishambuliwa kwa bomu na watu wasio julikana hapo NIGERIA kwanini katika mAPIGAno na BOKO HARAM tunaweka wakristo mbele huku waislamu...
6 Reactions
74 Replies
1K Views
Magaidi wa Hezbollah bado wanapata kipondo ki Takatifu kutoka majeshi hodari ya Israel!!!
0 Reactions
4 Replies
124 Views
Ripoti mpya ya Axios inasema makubaliano yanayoibuka kati ya utawala wa Trump na Iran yanaweza kujumuisha Tehran kutoa akiba yake ya urani iliyoruyubishwa, kusimamisha urutubishaji wa urani kwa...
0 Reactions
9 Replies
219 Views
Baada ya Ukraine kuwashambulia URUSI kwa drones na kwenda kupiga kwenye Shule ya Watoto wa Primary usiku wa kuamkia Jana, leo Rais Putin kaidhinisha vikosi vyote vya Nyuklia kuanza mazoezi na...
5 Reactions
15 Replies
416 Views
The impending expiration of the current nuclear arms agreement between the United States and Russia on February 5, 2026, also called New START, would leave the countries without any cap on the...
0 Reactions
4 Replies
168 Views
Jana, tarehe 22 Mei 2026, ulimwengu wa siasa za Afrika Magharibi umeshuhudia mtikisiko mzito baada ya Rais wa Senegal, Bassirou Diomaye Faye, kumfuta kazi Waziri Mkuu wake, Ousmane Sonko, na...
6 Reactions
42 Replies
975 Views
Ijumaa ilopita Iran wamezungumza na shirikisho la kandanda Duniani FIFA kuomba kuhamisha timu yake ta taifa ya kandanda na maofisa wote wanoandamana na timu hiyo nchini Mexico, baada ya kukikiri...
2 Reactions
0 Replies
215 Views
Wakati Mkurugenzi wa CIA John Ratcliffe alipotembelea Havana wiki iliyopita kwa mkutano wa nadra na maafisa waandamizi wa Cuba, aliambatana na mmoja wa opereta waliohusika katika operesheni ya...
3 Reactions
3 Replies
244 Views
Back
Top Bottom