Jana, tarehe 22 Mei 2026, ulimwengu wa siasa za Afrika Magharibi umeshuhudia mtikisiko mzito baada ya Rais wa Senegal, Bassirou Diomaye Faye, kumfuta kazi Waziri Mkuu wake, Ousmane Sonko, na...
Ijumaa ilopita Iran wamezungumza na shirikisho la kandanda Duniani FIFA kuomba kuhamisha timu yake ta taifa ya kandanda na maofisa wote wanoandamana na timu hiyo nchini Mexico, baada ya kukikiri...
Wakati Mkurugenzi wa CIA John Ratcliffe alipotembelea Havana wiki iliyopita kwa mkutano wa nadra na maafisa waandamizi wa Cuba, aliambatana na mmoja wa opereta waliohusika katika operesheni ya...
Israel imeeleza kuwa kumekuwa na video inayozunguka Duniani ikimwonesha askari wa IDF akivunja msalaba wenye sanamu ya Yesu Kristo nchini Lebanon. Serikali ya Israel imeekeza kuwa kitendo hicho ni...
Ndege zisizo na rubani za Ukraine za masafa marefu zilishambulia kiwanda cha Metafrax Chemicals katika eneo la Perm nchini Urusi, takriban kilomita 1,700 kutoka mpaka wa Ukraine, katika mojawapo...
Hezbollah inageuza makanisa na maeneo ya raia nchini Lebanon kuwa ngome za ugaidi, na kuwaweka Wakristo wasio na hatia katika hatari moja kwa moja.
Wiki hii, gaidi wa Hezbollah alifyatua risasi...
The top 5 largest banks world largest banks by assets:
1. Industrial and Commercial Bank of China (ICBC) | China
Assets: $7.30 trillion
2. Agricultural Bank of China | China
Assets: $6.80...
My Take
Naunga mkono hoja,watu ndio Nguvu ya Taifa kiuchumi,kijeshi na kiteknolojia.
============
Kiongozi mkuu mpya wa Iran, Mojtaba Khamenei, ameibua mjadala mkubwa kimataifa baada ya kusisitiza...
Miezi 6 baada ya Rais wa Senegal Basirou Diomaye wa Senegal na Waziri wake Mkuu Ousmane Sonko wameanza kuleta visingizio Kwa Kushindwa Kutimiza Baadhi ya ahadi zao walizodai watazitatua ndani ya...
Asalam waleku
Wandugu waJF hapa nataka nijulishe kwamba kule china mambo yameenda ndivyo sivyo.
Kwa maana mapatano ya ajenda zote yapo PENDING
Kwa hali ilikuwa kwamba ni mbinu za kimkakati...
“Unajua jinsi Rais wa sasa alivyoingia madarakani? Aliitwa tu ofisini, na mtu huyo akadhani anafanya makubaliano mazuri, akakabidhi mamlaka. Na kulikuwa na mashahidi, marais wa nchi mbalimbali...
Mapambazuko yanapoanza, mamia ya wanaume hukusanyika katika uwanja wenye vumbi huko Chaghcharan, mji mkuu wa jimbo la Ghor nchini Afghanistan.
Wanasimama kando ya barabara wakitumaini kupata...
Serikali ya Uingereza imeondoa baadhi ya vikwazo dhidi ya mafuta ya Urusi,huku bei ya mafuta ikipanda nchini humo.
Agizo hilo limeanza kutekelezwa hii leo, na inaashiria hofu inayoongezeka kuhusu...
Katika hii ziara ambapo Putin ameenda China naona mambo hayakuwa kiofisi tu kama Trump alivyo karibishwa, Xi na Putin wameonekana wakipika pamoja vyakula vya asili vya China, wakinywa pombe , na...
Itamar Ben Gvir alisababisha malalamiko ya kimataifa baada ya kuchapisha video inayoonyesha akiwadhihaki wanaharakati wa meli za Gaza zilizokuwa zimefungwa katika bandari ya Ashdod.
Katika...
ALLEGED “CAMEROON AYRA STARR” JOLI REACTS, CLAIMS NIGERIANS ARE “NOT GOOD PEOPLE” AFTER VIRAL COMPARISON DEBATE
Cameroonian singer Joli has finally reacted to the viral online conversation that...
Picha za satellite zilizotolewa na Sentinel 2 satellite imeonyesha uharibifu mkubwa kwenye kambi 4 za kijeshi nchini Israel.Picha hizo zimeonyesha kambi za Ramat David,Nevatim,Unit 8200base na...
Iran imemnyonga mwanaume mmoja aliyekuwa akituhumiwa kufanya ujasusi kwa niaba ya Israel, kwa mujibu wa shirika la habari la Mizan, ambalo lilimtaja kwa jina la Kurosh Keyvani.
Mwanamume huyo...
Wanaukumbi.
VIDEO | Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Abbas Araghchi alisema Tehran itafanya kazi yoyote inayohitajika, "iwe ni mazungumzo au vita," akisisitiza kwamba Iran iko tayari kupigana...
A close associate of Nollywood actress Ijeoma Richards has recounted the terrifying incident that led to the explosion of the actress’ vehicle somewhere in Lagos, describing it as a miraculous...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.