Mhalifu mwenye umri wa miaka 21 aliyetambuliwa kama Nasire Best alipigwa risasi na kuuawa na maafisa wa Secret Service baada ya kufyatua risasi karibu na Ikulu ya White House Jumapili jioni, na...
Drone strikes residential building in Romania (VIDEO)
Romania’s Defense Ministry claimed that the UAV which injured two people in the city of Galati came from Russia
A residential building...
Israel imehusika kwa kiwango kikubwa katika teknolojia ya chips (ubongo wa simu) nyingi zilizotumika kwenye iPhone kwa miaka mingi, hasa kupitia vituo vya utafiti vya Apple Inc. nchini Israel...
Ni drug dealer maarufu Kwa jina la Wap-wap, nchini Thailand
Nahisi alikuwa na mbinu zake za kuwakimbia polisi.kulikuwa na dancing festival
Police Wakatumia mbinu ya kuvaa magauni na mask kama...
Hivi karibuni China imeandika historia mpya ya teknolojia duniani.
Kwa miaka mingi Marekani, South Korea na Taiwan zilikuwa The Big 3 Cartel walitawala GPU na memory chips. Wakiamua supply...
Niaje waungwana
Habari ndio hiyo, baada ya muda mchache wa kutangaza makubaliano mapya na Iran, ghafla milio ya risasi ilisikika nje ya white house na kusababisha hatihati katika eneo zima la...
Mashambulizi ya Iran dhidi ya kambi za jeshi la marekani mashariki ya kati yameharibu vifaa na miundo mbinu 228 kwa mujibu wa picha za satellite zilizoachiwa.Idadi ya uharibifu ni mkubwa mno...
Nchini Afghanistan chini ya utawala wa Taliban, sheria mpya imeifanya iwe karibu haiwezekani kwa wanawake kupata talaka, katika taifa ambalo takriban asilimia 70 ya wasichana wako kwenye ndoa za...
Rais wa Senegal ametoa msamaha kwa mwandishi wa habari, Rene Capain Bassene, aliyekuwa amehukumiwa kifungo cha maisha jela kuhusiana na mauaji ya watu 14 yaliyotokea mwaka 2018 katika mkoa wa...
Wanakumbi.
⚡️EXCLUSIVE: We have obtained a complete version of the current “Memorandum of Understanding” between Iran and the United States
Details of the current Peace Deal, per an Iranian MP...
Ghana inatarajia kuanzisha mfumo mpya wa viza kwa njia ya mtandao (e-visa), ambao utakuwa bure kabisa kwa raia wote wa nchi za Afrika.
Taifa hili linatarajia kwamba hatua hii ya kutoa viza bila...
Gabon’s High Authority for Communication (HAC), the country’s media and telecommunications regulator, announced an open-ended suspension of dominant social media platforms to curb what it termed...
Jeshi la Marekani usiku huu wa tarehe 26/05/2026 limefanya mashambulizi ya kijeshi kwenye sites za kurushia makombora za Iran na boti ambazo wamedai zilikuwa zinajaribu kusimika mabomu baharini...
Wanaukumbi.
Rais wa Marekani Donald Trump amekataa pendekezo lililoripotiwa ambapo Oman na Iran walikuwa wakijadili mpango wa kutoza ushuru meli zinazopita kwenye Mlango wa bahari wa Hormuz...
Lithiamu inajulikana kama “mafuta meupe” katika zama ya nishati safi ya karne ya 21. Hivi karibuni shehena ya kwanza ya bidhaa za lithiamu sulfate zilizosindikwa kutoka Afrika ilisafirishwa kutoka...
China imeongeza sana uzalishaji wa umeme wake tangu mwaka 2014.
Katika kipindi cha miaka 10, uzalishaji wa umeme umeongezeka kwa karibu 74%, jambo ambalo ni ongezeko kubwa sana.
Mwaka 2014...
Tanker ya kwanza kati ya sita za ndege za mafuta za KC-46A Pegasus zilizoagizwa na Israeli, zilizopewa jina la Gideon na Jeshi la Anga la Israeli na zinazotarajiwa kuchukua nafasi ya Tanker zake...
Baada ya Israeli kujiondoa huko Lebanon-Kusini Hezbollah iliendelea kupanua miundombinu yake ya ugaidi karibu na maeneo ya raia kote Lebanon.
Kwa miaka mingi, ilijenga silaha kubwa za roketi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.