International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Wakuu wa tawi la kijeshi la Hamas waliokaa kwa miaka ming na siku chache!!! Orodha hii aione Bumunda zitto junior 1. Salah Shehadeh, mwanzilishi wa tawi la kijeshi la Hamas na kamanda wake wa...
1 Reactions
0 Replies
107 Views
Rais wa zamani wa Iran, Mahmoud Ahmadinejad, ameuawa kufuatia mashambulizi yaliyofanywa na vikosi vya ushirika kati Marekani na Israel. Profesa Ahmadinejad alikuwa Rais wa Iran kuanzia mwaka 2005...
18 Reactions
94 Replies
3K Views
Karibu mahujaji milioni 2 wa Kiislamu walikusanyika jana kwenye uwanda wa Mina nchini Saudi Arabia kabla ya kupanda Mlima Arafat, kuashiria kilele cha hija ya kila mwaka ya Hajj na mwanzo wa Eid...
6 Reactions
21 Replies
359 Views
Wakomunists na Wasoshalists wamekuwa wakiwachukia Wayahudi na Taifa la Israel. Kwa ufupi wana Itikadi hii kwa ujumla hupiga vita dini hasa dini za kikiristo kwa kisingizio kuwa Zinajinasbisha na...
1 Reactions
10 Replies
258 Views
Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu katika ufunguzi wa Baraza la Mawaziri la Usalama leo: Tunaimarisha shughuli zetu nchini Lebanon. Jeshi la IDF linafanya kazi na vikosi vikubwa ardhini na...
1 Reactions
2 Replies
122 Views
Bunge la Senegal limemchagua Waziri Mkuu wa zamani, Ousmane Sonko, kuwa Spika mpya. Hatua hii inaweza kumpa jukwaa lenye nguvu kubwa la kutoa upinzani kwa Rais Bassirou Diomaye Faye. Spika wa...
7 Reactions
27 Replies
774 Views
Wanaukumbi. Pakistan yakataa shinikizo la Trump la Makubaliano ya Abraham, yasema kuhalalisha na Israeli 'hakukubaliki' —— Waziri wa Ulinzi wa Pakistani Khawaja Asif alikataa wito wa Rais wa...
3 Reactions
13 Replies
278 Views
Jeshi la IDF limeshambulia na kuangamiza katika shambulio lililolengwa huko Gaza - Mohammed Odeh - kiongozi mpya wa tawi la kijeshi la shirika la kigaidi la Hamas na mmoja wa wasanifu wa mauaji ya...
1 Reactions
14 Replies
219 Views
Viwanda vya ulinzi vya Israeli vinajitahidi kuzuia ndege mpya zisizo na rubani za Hezbollah zenye hatari - na baadhi ya suluhisho zinasikika kama hadithi za kisayansi. Miongoni mwa teknolojia...
6 Reactions
69 Replies
980 Views
Marekani imewafahamisha washirika wa Ulaya kwamba inapanga kupunguza kwa kiasi kikubwa michango yake ya kijeshi kwa NATO, ikiwasihi wachukue hatua haraka ili kuziba pengo hilo, kulingana na chombo...
1 Reactions
2 Replies
135 Views
Marekani imefanya mashambulizi dhidi ya maeneo ya makombora ya Iran na meli karibu na Mlango-Bahari wa Hormuz baada ya vikosi vya Iran kuripotiwa kutishia wanajeshi wa Marekani na kujaribu kuweka...
0 Reactions
1 Replies
171 Views
Kwa Mujibu wa Taarifa iliyochapishwa katika tovuti ya Al Jazeera Aprili 6, 2026, Rais Donald Trump alisema kuwa Marekani ilijaribu kuwapelekea silaha kwa siri waandamanaji wa Iran kupitia...
2 Reactions
1 Replies
213 Views
Supapawa wa Dunia akishirikiana na supapawa wa Middle East Israel wakipigana na nchi iliyowekewa vikwazo na kutengwa na Dunia kwa miaka zaidi ya 40 Iran. Sasa tuangalie bajeti zao za ulinzi kwa...
2 Reactions
9 Replies
260 Views
Polisi wa Basque (Ertzaintza) huko Bilbao, Uhispania walipambana na wanaharakati wa Kiislamu wa meli za kivita waliokuwa wakirejea katika Uwanja wa Ndege wa Bilbao leo. Baada ya kukamatwa katika...
0 Reactions
8 Replies
222 Views
  • Redirect
Ousmane Sonko amechaguliwa kuwa Spika wa Bunge la Senegal, siku chache baada ya Rais kutengua uteuzi wake kama waziri mkuu. Leo wabunge walipiga kura kumrejesha bungeni, kisha kumchagua kuongoza...
0 Reactions
Replies
Views
Baada ya Trump kutangaza kuwa wako karibu kufikia Muafaka na Magaidi ya Serikali ya Mapinduzi ya Iran, Israel kuna uwezekano mkubwa wakashindwa kukubaliana na makubaliano dhaifu yanayokwenda...
1 Reactions
26 Replies
481 Views
Wanaukumbi. 🇮🇷 Iran Yakataa Masharti ya Marekani Kuhusu Fidia: 🇮🇷 Iran yasema Marekani haiwezi kuamua fidia ya kifedha kwa upande mmoja katika makubaliano yoyote ya amani. Tehran inadai...
5 Reactions
39 Replies
610 Views
Wanaukumbi. Qatar — imetatua tatizo la mwisho: $12 bilioni katika mali za Iran zilizogandishwa. Mkataba huo unahamia kwa sababu ya Doha. 🇮🇷 Iran — inapata mabilioni ya pesa zilizogandishwa...
0 Reactions
7 Replies
256 Views
Rais Denis Sassou Nguesso amesema kuwa uamuzi huo wa kufuta hitaji la visa kwa nchi yake utaanza rasmi 2027, ikiwa ni sehemu ya msisitizo na dhamira yake ya dhati kuelekea misingi ya Uafrika...
2 Reactions
0 Replies
94 Views
Baada ya mashambulizi ya mwishoni mwa juma lilopita, Russia leo imetoa onyo kwa mabalozi na raia wa kigeni walioko mjini Kyiv kuondoka katika mji huo kupisha mashambulizi ya makombora yanolenga...
4 Reactions
11 Replies
303 Views
Back
Top Bottom