Idadi ya vifo inaongezeka kwa kasi Mapacha wawili wa matetemeko ya ardhi nchini Venezuela yamesababisha vifo vya angalau watu 920 na wengine zaidi ya 3,000 kujeruhiwa. Nchi hiyo tayari ilikuwa...
A Ghanaian witch doctor has claimed that he has “released” England captain Harry Kane from a spell after the striker failed to score in England’s goalless World Cup draw against Ghana. The unusual...
Hivi Trump ni wa kuikosoa Israel waziwazi bila kupepesa macho!?
Trump ni mtu wa kufanya makubaliano ya amani na Iran bila kuihusisha Israel?
Kwanini Trump amebadilika hivi?
Eti jamani!???
Hivi...
Waingereza wamemtimua kazi Waziri Mkuu wao lakini sasa wanabishana walichomfukuzia kazi Keir Starmer ni kipi hata wenyewe hawaelewi!
Haieleweki kwa nini amelazimishwa kujiuzulu na chama chake...
Mfanyabiashara Afrika Kusini, Vusimuzi "Cat" Matlala, amekiri mashtaka yote saba yanayomkabili kwenye kashfa ya ufisadi wa zabuni ya polisi (SAPS) yenye thamani ya Randi milioni 228, inayohusisha...
Nimepitia mijadala kadhaa ya vijana mbali mbali nimeona Tatizo ama lipo katika syllabus tunayotumia kuwafundishia masuala ya kidipomasia ya mataifa mbali mbali ,vijana wengi sana hawana ufahamu...
Swali.
Ilikuaje Kiongozi Aliyejinadibisha kuipinga America/Israel harafu mtoto wake akawa anaishi na kufanya kazi USA?https://www.instagram.com/p/DWAlA28Ct05/?igsh=ejFsZW1zeGR0NW82
Wamarekani Wagalatia Wahafidhina ambao dini ya Ugalatia ni kila kitu kwao na muongozo mkuu wa maisha wamemjia juu Meya wao wa New York Zohran Mamdani kwa sababu ya mtindo mpya aliouleta wa...
Marius Borg Høiby, mtoto wa kwanza wa Binti Mfalme Mteule wa Norway, Mette-Marit, amehukumiwa kifungo cha miaka minne jela baada ya kupatikana na hatia ya ubakaji, kushambulia, na unyanyasaji...
Rais wa Marekani, Donald Trump, ametangaza kuachiliwa kwa sehemu ya kwanza ya mali za Iran zilizokuwa zimezuiwa, akisema kuwa Iran itatumia fedha hizo kununua chakula kutoka kwa wakulima wa...
Mfanyabiashara wa Afrika Kusini, Vusimusi "Cat" Matlala, amekiri makosa ya rushwa, udanganyifu na utakatishaji wa fedha katika kesi kubwa inayohusu ufisadi ndani ya Jeshi la Polisi.
Matlala...
Ayatollah Khomeini alikuwa kiongozi mwenye kiburi na Jeuri sana
Pamoja na kufanya mauaji ya raia wake aliwaaminisha uwongo kwamba mungu wake angewasaidia
Kila watu na Miungu iliyojiinua kinyume...
A Spanish judge has ordered Begoña Gómez, the wife of Pedro Sánchez, to stand trial on corruption-related charges after a two-year investigation that has become one of the biggest political...
Rais wa mpito wa Venezuela, Delcy Rodríguez, alithibitisha siku ya Alhamisi idadi ya awali ya vifo 32 na zaidi ya watu 700 kujeruhiwa kutokana na matetemeko mawili makubwa ya ardhi yaliyofuatana...
Trump amesaini makubaliano ya awali ya amani kati ya USA na Iran.
Ajabu sana, Trump alikuwa kiburi kwelikweli wakati anaanzisha vita dhidi ya Iran.
Leo tukumbushane ngebe na kejeri za Trump...
Vikosi vya Ukraine vimeongeza mashambulizi dhidi ya miundombinu ya nishati ya Urusi, vikitekeleza shambulio lingine la ndege zisizo na rubani kwenye kiwanda cha kusafisha mafuta huko Tuapse, cha...
Katika mahojiano ya Mtangazaji wa Sky News, Yalda Hakim pamoja na mchambuzi wa mambo ya kisiasa wa mrengo wa kulia nchini Marekani, Tucker Carlson, kujadili athari za kisiasa na kijiografia za...
Waziri Mkuu wa Italia, Giorgio Meloni amepokelewa Roma kwa shangwe kwa kukataa kupiga selfie na Rais Trump
Pia soma: Waziri mkuu wa Italia akanusha madai ya Trump kuwa alimuomba apiginae picha na...
Waziri Mkuu wa Uingereza, Keir Starmer, ametangaza kujiuzulu nafasi yake Jumatatu hii baada ya kukabiliwa na shinikizo la miezi kadhaa, hatua inayofungua njia kwa nchi hiyo kupata Waziri Mkuu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.