Russia anaendelea kupata kichapo kutoka Ukraine

Russia anaendelea kupata kichapo kutoka Ukraine

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,489
Reaction score
7,888
Vikosi vya Ukraine vimeongeza mashambulizi dhidi ya miundombinu ya nishati ya Urusi, vikitekeleza shambulio lingine la ndege zisizo na rubani kwenye kiwanda cha kusafisha mafuta huko Tuapse, cha nne katika wiki mbili, kikilenga kituo pekee cha kusafisha mafuta cha pwani ya Bahari Nyeusi nchini humo chenye uwezo wa kuzalisha takriban tani milioni 12 kwa mwaka.

Shambulizi hilo liliripua mchanganyiko wa mafuta ya mafuta kwenye matangi ya kuhifadhia mafuta na kutuma safu nene za moshi mweusi juu ya kituo hicho na kuonyesha udhaifu wa mali muhimu zinazohusishwa na usafirishaji nje.

Wakati huo huo, ndege zisizo na rubani za Ukraine zililenga kiwanda cha kusafisha mafuta huko Perm kwa mara ya tatu ndani ya siku moja, huku Wafanyakazi Wakuu wa Vikosi vya Jeshi la Ukraine wakithibitisha uharibifu wa kitengo cha kusafisha mafuta cha AVT-4 na moto katika eneo hilo, ikisisitiza juhudi endelevu za kuvuruga uwezo wa kusafisha mafuta wa Urusi na vifaa vya mafuta tofauti na mstari wa mbele ambako askari wa Russia wanapukutika kama nzige!!

IMG_20260501_173054_952.jpg
IMG_20260501_173054_247.jpg
 
Attachments

  • VID_20260501_173054_407.mp4
    2.2 MB
Vikosi vya Ukraine vimeongeza mashambulizi dhidi ya miundombinu ya nishati ya Urusi, vikitekeleza shambulio lingine la ndege zisizo na rubani kwenye kiwanda cha kusafisha mafuta huko Tuapse, cha nne katika wiki mbili, kikilenga kituo pekee cha kusafisha mafuta cha pwani ya Bahari Nyeusi nchini humo chenye uwezo wa kuzalisha takriban tani milioni 12 kwa mwaka.

Shambulizi hilo liliripua mchanganyiko wa mafuta ya mafuta kwenye matangi ya kuhifadhia mafuta na kutuma safu nene za moshi mweusi juu ya kituo hicho na kuonyesha udhaifu wa mali muhimu zinazohusishwa na usafirishaji nje. Wakati huo huo, ndege zisizo na rubani za Ukraine zililenga kiwanda cha kusafisha mafuta huko Perm kwa mara ya tatu ndani ya siku moja, huku Wafanyakazi Wakuu wa Vikosi vya Jeshi la Ukraine wakithibitisha uharibifu wa kitengo cha kusafisha mafuta cha AVT-4 na moto katika eneo hilo, ikisisitiza juhudi endelevu za kuvuruga uwezo wa kusafisha mafuta wa Urusi na vifaa vya mafuta tofauti na mstari wa mbele ambako askari wa Russia wanapukutika kama nzige!!
Kama ni kweli basi Russia anavuna alichopanda.

Anaremba sana muandiko.
 
Ukraine imechukua maeneo gani ya Urusi tangia vita imeanza
Ngoja nikupe somo;

Ukraine 🇺🇦 si wavamizi kama walivyo warusi kwa hiyo ni ujinga tu inakusumbua kutegemea Ukraine kuteka eneo la Urusi.

Ukraine inapigana kujilinda (Defensive) na hiyo ndiyo tofauti ya Ukraine na Urusi ambaye anapigana kuvamia maeneo ya Watu wengine!!

Vita hivi Urusi vimemshinda hawezi kushinda Putin anachokifanya ni kufa na Tai shingoni tu.

Tujuavyo Urusi ni Supapawa inamchukuaje miaka 5 kuhangaika na nchi moja tu Ukraine?

Siku anavamia Feb 24,2022 alituaminisha baada ya masaa 72 atakuwa ameteka Ukraine yote tunashangaa sasa ni mwaka wa 5 Anahangaika tu na Ukraine na askari wake wanapukutishwa kama nzige kila siku huko Ukraine!!
 
Mpuuzi kweli wewe. Lengo la urusi limetimia Kwa aslimia 80.

Lengo kuu likiiuwa ni kuizuia ukrain isijiunge na NATO Kwa kujua kwamba kuruhusu hili ni sawa na kumfungulia mlango chatu aingia chumbani kwako. Leo hii umesikia hata harufu ya NATO pale ukrain?

Pia urusi alikuwa anataka majimbo ya kimkakati yaliyokuwa ukrain na ameweza kuyadhibiti na anayamiliki ili kuongeza WiGo mkubwa wa kujilinda ardhini. Amefanikiwa.

Kilichomshinda Putin mpaka sasa ni regime change dhidi ya zelensky ili aweke kibaraka wake, hata hivyo sio kitu anachokipa uzito Kwa sasa.

So, anamwacha zelensky aangaike tuu na hivi anajua hata wale mabasha zake wamemwacha?

Focus ya urusi Kwa sasa ni kumpa backup Iran, na inabidi uelewe kwamba hiko kibiri Cha Iran Kwa sasa kinamchango mkubwa wa urusi Kwa ukaribu na china Kwa mbali.
 
Mimi kweli ni shabiki wa Urusi ila Vita hii imeidhalilisha sana Urusi kama Marekani walivyodhalilika kule iRAN...Naamini huu utakua mwanzo wa mwisho wa Putin..KItendo cha Moscow kushambuliwa majuzi kulitoa picha sahihi kwamba hawa Warusi wako hoi taabani na hawana cha kufanya kazi hii vita kipya... Mashambulizi kwao ni mengi sana siku hizi na wanapigiwa maeneo nyeti ....

Awali Putin alisema siku bomu likipigwa ndani ya Urusi atapiga kwa wanaotoa bomu hili la sasa kila siku tunasikia raia wa Urus wanakufa na hafanyi kitu....akabadili kauli akasema Meli zenye bendera ya Urusi Zikivamiwa atashambulia huko huko walikotoka wavamizi nako holaaa....

Washirika wake karibu wote wameangushwa akiangalia kwa macho!! Assad, Ghadafi, Maduro. Ally Khamenei sasa huyu sio mtu wa kutegemea ni mchovu sana kabisa na kibaya zaidi wao wenyewe wanapambana na Ukraine wameshindwa kumuua hata yule ZELE ili kuondoa huyo kibaraka wa NATO...

Kwa maoni yangu Siku za Putin zinahesabika watamuua au watampiga vizuri atalazimika kutumia Nuke mana hana tena uwezo...
 
Back
Top Bottom