Hivi akili yako iko sawa , Hao mayahudi unaowashabikia wanamfumua Mungu wako kwa nyundo na mama yake kuvutishwa bangi wewe unaowapigia debe?
View: https://www.instagram.com/reel/DYPz6c-u-M2/?igsh=bzdxcmw0bm1sZDV2
Baada ya Iran kuishambulia Israel na Israel kujibu vikali uchokozi huo sasa Iran kabwaga many anga!!
Wakristo waafrika mnatimuana , Ilianza South Africa Sasa imefika Ghana
View: https://www.instagram.com/reel/DZSn1lvsLrj/?igsh=MWY0cW5ybDlvdXlqYQ==
Yeye mwenyewe kapewa Huo uwaziri na mtanganyika kwa wizi wa kura . Hivi mnakaa mnawasikiliza na tamthilia zao Hao wezi?Na sisi watanganyika tumefukuzwa zanzibar kuanzua leo 9 mwezi wa 6 mwaka2026 baada ya waziri wa utalii kusema tufukuzwe.Kwa sasa tubaelekea Tanganyika
Waisrael wameshaamua vipi huko ileje una mpya gani?Baada ya Iran kuishambulia Israel na Israel kujibu vikali uchokozi huo sasa Iran kabwaga manyanga!!
Mnajitekenya wenyewe harafu mnacheka wenyewe huo ni ujinga uliopita kimo!!Waisrael wameshaamua vipi huko ileje una mpya gani?
Labda lugha inakusumbua ? Kweli ni ngumu kumshauri mlokole ,sada unabishana hadi na wazayuni wenyewe? Go to schoolMnajitekenya wenyewe harafu mnacheka wenyewe huo ni ujinga uliopita kimo!!
Iran imepoteza viongozi waandamizi wa Kijeshi zaidi ya 600 na viongozi wengi wa kiraia akiwemo Gaidi Ayatollah Ali Khamenei harafu unakuja Bumunda Kama wewe na vikaratasi vyako Uchwara unadai Eti Iran kushinda labda kushinda Njaa!!!