Vikosi vya Ukraine vimeongeza mashambulizi dhidi ya miundombinu ya nishati ya Urusi, vikitekeleza shambulio lingine la ndege zisizo na rubani kwenye kiwanda cha kusafisha mafuta huko Tuapse, cha...
Katika mahojiano ya Mtangazaji wa Sky News, Yalda Hakim pamoja na mchambuzi wa mambo ya kisiasa wa mrengo wa kulia nchini Marekani, Tucker Carlson, kujadili athari za kisiasa na kijiografia za...
Waziri Mkuu wa Italia, Giorgio Meloni amepokelewa Roma kwa shangwe kwa kukataa kupiga selfie na Rais Trump
Pia soma: Waziri mkuu wa Italia akanusha madai ya Trump kuwa alimuomba apiginae picha na...
Waziri Mkuu wa Uingereza, Keir Starmer, ametangaza kujiuzulu nafasi yake Jumatatu hii baada ya kukabiliwa na shinikizo la miezi kadhaa, hatua inayofungua njia kwa nchi hiyo kupata Waziri Mkuu wa...
Wizara ya Afya Ufaransa imeripoti kisa cha kwanza cha Ebola kutoka kwa daktari aliyerejea nchini humo akitokea Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo DRC.
Taarifa ya Wizara imeeleza kuwa daktari huyo...
Wanaukumbi.
1. Marekani na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na washirika wao katika vita vya sasa, kwa kusaini MoU hii, wanatangaza kukomesha mara moja na kwa kudumu kwa shughuli za kijeshi katika...
Siku hizi Wachina wanaoishi sehemu mbalimbali duniani wamefanya mashindano ya Mashua ya Dragoni ili kusherehekea Tamasha la kijadi la Mashua za Dragoni. Katika miaka ya hivi karibuni, mashindano...
Persians Hao jamaa wanahistoria ya muda mrefu wa kuwa watetezi wakubwa wa jamii za mashariki YA Kati toka kuanzianzishwa kwa ustaarabu wa kiajemi...
Hawa jamaa waliwaokoa waisrael wa kale...
Muda huwa ni mwalimu mzuri sana.
Nakumbuka mabazazi na madunya wa humu ndani mnamo tarehe 24 February 2022 siku ambayo Urusi alivamia Ukraine walinitafuta na kunisimanga sana. Wengine walidiriki...
Ndugu zangu, mara nyingi tumekuwa tukilaumu uongozi kwa matatizo mengi yanayoikabili nchi yetu. Ni kweli, kuna changamoto kubwa za kiuongozi. Lakini kadri ninavyoangalia kwa undani, nimegundua...
Tuendelee kujifunza na kushudia namna sheria ya 'Rule of Law na No one above the law' inavyofanya kazi kwenye nchi za wenzetu.
Kwetu ni Wapinzani tu ndo wahaini :COFFEE:
------------
Aliyekuwa...
Mkuu wa Ushirikiano wa Amahoro Coalition, Tito Mbathi.
Jukwaa la sekta binafsi la Amahoro Coalition imezindua ripoti mpya yenye kichwa cha habari “Hiding in Plain Sight: Africa's $27B...
Makampuni ya Israeli Rafael Advanced Defense Systems na mtaalamu wa ndege zisizo na rubani SpearUAV wamezindua Iron Wasp, mfumo mpya wa kukabiliana na ndege zisizo na rubani unaowekwa kwenye gari...
Niaje waungwana
Aisee kuna mambo mengine yanachekesha, na kushangaza sana. Hebu ngoja nikupe mfano halisi hapo chini 👇
Mfano mtu anatoka kwake huko katika wilaya nyingine na kuja kwako straight...
South Sudan is once again facing a political crisis as government forces have arrested key allies of First Vice President Riek Machar and surrounded his residence in the capital, Juba. The latest...
Rais Donald Trump amesaini nakala ya makubaliano kati ya Marekani na Iran katika Jumba la Kifalme la Versailles nchini Ufaransa, na kuhitimisha ziara yake ya G7. Kwa mujibu wa afisa mmoja wa...
Hii inatupa picha gani??
Wapambe wa iran wanaamini israel ilipigwa vibaya sana katika ile vita?
Lakini kama ni hivo mbona bado hawataki vita isimame wala iishe??
Nadhani kina zungu kuna kitu...
Rais wa Marekani Donald Trump amesema kuwa nchi hiyo ilitoa dola milioni 375 kwa ajili ya juhudi za kupambana na Ebola barani Afrika, huku pia akikosoa kile alichokitaja kama ushiriki mdogo wa...
Mkataba wa makubaliano wa pointi 14 kati ya Iran na Marekani:
1. Iran na Marekani, pamoja na washirika wao katika vita vya sasa, wanatangaza baada ya kusaini mkataba huu wa makubaliano mwisho wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.