International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Nimefanya utafiti wa kina nimegundua Iran, Wafuasi wa Iran, Palestine na wote wenye mrengo huo Wanamuogopa Sana Netanyahu. Mbona namuona mtu wa kawaida sana? Hiyo hofu yenu na kumuogopa inatokea...
4 Reactions
69 Replies
569 Views
Picha inayoeleza ukweli wa "ushindi" wa Majeshi ya Israel kwa kuua mamia ya magaidi wa Hezbollah angalia hapo- malori yaliyobeba Mizoga ya magaidi wa Hezbollah kwenda kuizika. Hii ni kazi nzuri...
0 Reactions
1 Replies
137 Views
Wakuu, Mwanaharakati wa utamaduni na muigizaji wa Afrika Kusini, Phakel’umthakathi amesema kuwa Afrika Kusini ina utajiri wa kutosha kiasi kwamba inaweza kulipa kila raia wake rand milioni 1 kila...
5 Reactions
11 Replies
266 Views
Bunge la Kitaifa la Senegal limepitisha mabadiliko ya katiba yanayopunguza madaraka ya rais na kuongeza nguvu za bunge. Marekebisho haya yaliyopendekezwa na chama tawala cha PASTEF, yamepitishwa...
3 Reactions
22 Replies
500 Views
Katika ukanda wa Africa mashariki yawezekana kwa sasa the best president ni hyu Paul kagame Jamaa ametulia na anajua anachokifanya hapayupayuki hovyo Sera zake zimejikita katika Rwanda kwanza na...
3 Reactions
36 Replies
493 Views
Wamesahau kuwa waafrika wengine ndio waliowaunga mkono katika mapambano yao dhidi ya ubaguzi wa rangi! Leo waafrika toka nchi zingine ndio wanaowindwa na kufurumishwa bila heshima yoyote! Kwa...
5 Reactions
34 Replies
663 Views
Mahakama ya rufaa nchini Afrika Kusini ilisema Jumanne kwamba familia ya Rais wa zamani wa Zambia Edgar Lungu ndiye yenyen maamuzi ya wapi atakapozikwa kiongozi huyo wa zamani, na kubatilisha amri...
1 Reactions
10 Replies
264 Views
Waziri Mkuu Netanyahu aliwatembelea wanajeshi wa IDF kusini mwa Lebanon. Alisema: "Hezbollah hapo awali ilikuwa nguzo imara zaidi ya mhimili wa kikanda wa Iran, ikiwa na takriban makombora na...
2 Reactions
1 Replies
112 Views
Kwa miaka mingi Iran chini ya kiongozi wao aliyeuwawa kikatili na marekani ayatollah khamenei ilijizuia na kutangaza wazi kuwa licha ya kuwa na virutubisho vya uraniamu ya kutosha kuunda Bomu la...
4 Reactions
34 Replies
1K Views
Given contradicting reviews between regulating bodies on the use of Aspartame it is wise not to use soft drinks. 07/21/2023 ADVERTISEMENT The World Health Organization(WHO) and the Joint...
2 Reactions
3 Replies
691 Views
Hadi sasa kumuona kiongozi wa Iran, Mojtaba Khamenei, Imekuwa ni ngumu sana, yupo mafichoni. Baada ya baba yake kuuawa kwenye mashambulizi ya Marekani na Israel, Amekuwa kama ninja wa gizani...
7 Reactions
35 Replies
612 Views
Wakuu, ni wazi kabisa kwamba mchakato wa kusuka Katiba Mpya barani Afrika sio lelemama hata kidogo. Tukio la jana, Juni 29, 2026, kwenye Bunge la Senegal limebainisha wazi kuwa safari hii sio...
6 Reactions
9 Replies
256 Views
Waziri wa Ulinzi wa Israel, Israel Katz, ametangaza kwamba moja ya malengo makuu ya kijeshi ya nchi hiyo ni kufikia ukubwa wa kimaandazi katika ulinzi na mashambulizi ya anga za juu, ikiwa ni...
9 Reactions
86 Replies
1K Views
Breaking News: 269 More Nigerians Return from South Africa as Federal Government Intensifies Evacuation Efforts The Federal Government has successfully evacuated an additional 269 Nigerians from...
0 Reactions
1 Replies
88 Views
Warusi wanakabiliwa na foleni ndefu na uhaba wa mafuta katika vituo vya mafuta huko Moscow na maeneo mengine baada ya wimbi la mashambulizi ya ndege zisizo na rubani za Ukraine kulenga viwanda...
6 Reactions
35 Replies
834 Views
Wanaukumbi. Kiongozi wa upinzani nchini Israel na waziri mkuu wa zamani, Yair Lapid, amemkosoa vikali Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu kufuatia taarifa za kutiwa saini kwa hati ya maelewano kati ya...
3 Reactions
6 Replies
268 Views
Wanaukumbi. BREAKING: IRAN FM ARAGHCHI YADOKEZA KUFUNGA TENA NJIA YA HORMUZ IKIENDELEA KUONGEZEKA: "Ikiwa ongezeko la hivi karibuni la hali litaendelea, itakuwa vigumu kuweka NJIA YA HORMUZ Wazi...
2 Reactions
57 Replies
777 Views
Kwa muda mrefu Marekani pamoja na Washirika wake wa Ulaya magharibi ndiyo walikua viranja wa dunia.Yapo mengi mazuri walifanya katika nyanja za demokrasia na utetezi wa haki za binadamu, na mengi...
8 Reactions
63 Replies
805 Views
Bara la Ulaya hivi karibuni limekumbwa na mawimbi ya joto kali. Inakadiriwa kuwa halijoto ya juu imesababisha vifo vya takriban watu 15,000, wengi wao wakiwa wazee wanaoishi katika nyumba zisizo...
2 Reactions
5 Replies
347 Views
Jeshi la IDF na Shin Bet wamwemwangamiza Talal Jaber Mohammad Abd al-Aal, gaidi mkuu wa Palestina Islamic Jihad, katika shambulio la ndege isiyo na rubani katika eneo la Mawasi la Khan Younis...
1 Reactions
1 Replies
124 Views
Back
Top Bottom