1 hour ago
Iran says the three nuclear sites attacked by US had been evacuated
"The Islamic Republic had evacuated the three nuclear sites some time ago," Iran's state TV reported after the US...
Bomu hili linaweza kupenya hadi futi 200 (sawa na mita 61) ndani ya ardhi, siyo ndani ya mlima, au futi 60 za saruji (karibu mita 18). Unapaswa kufahamu kuwa mlima ni tofauti na saruji.
Kituo cha...
1. Kuendelea Kuishi = Ushindi
Katika vita vinavyolenga kubadilisha utawala, kuendelea kuwepo madarakani ni ushindi.
Licha ya kushambuliwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran bado ipo madarakani...
Naunga mkono Iran kuwa na silaha za nyuklia.
Naunga mkono hata Tanzania kuwa nazo.
Namna pekee ya kuheshimiana hapa duniani ni kila nchi ikiwa na silaha za maangamizi makubwa.
Iran ingekuwa...
WaIran wazalendo wanaoiona video hii hasa walio nje ya nchi wenye access ya Internet wanasema wao huongea Kifarsi, hawaitambui lugha inayotumika.
wamorocco nao hawataki vivutio vyao kutumika...
Matisho ya Putin wa Urusi kwamba akiguswa na West atafungulia milango ya kuzimu ni kama haya matisho ya MaAyatollah wa Iran tu. Mifumo ya ulinzi wa anga ya Iran iliyokwanguliwa yote na Israel...
Hili ni tukio lilitokea katika mashambulizi ya mabomu katika mji mkuu wa Tel Aviv yanayofanywa na Iran.
Mkuu wa shirika la kijasusi la Israel "Mossad" David Barnea akiwa katika hospital Moja...
Naomba niwahabarishe kidogo tulichoamua na wenzetu tangu juzi ili kufikia makubaliano yatakayookoa pande zote.
Mimi nikiwa kiungo wa kati niliweza kushiriki na wenzangu kwenye kikao cha siri...
Habari za Asubuhi team!!
kabla ya kuanza uzi wangu naomba kuweka sawa mambo yafuatayo;-
1. Sishambulii wala kudogosha au kudhalilisha dini ya KIKIRISTO kwa sababu uzi huu unahusu purely Christian...
K
Katika mfululizo wa mashambulizi ya Makombora ya Iran huko Israel duru zinaeleza kuuawa kwa maofisa wawili wakubwa wa kijeshi Wa Jeshi la Morocco waliokuwa katika mafunzo ya pamoja na IDF huko...
Hii ndo habari yenyewe
Iran inajiandaa kwa shambulizi kubwa mno la kuzipiga kambi za kijeshi za Marekani kwenye eneo la Mashariki ya kati
Hii vita inazidi kukua tu.
Ujumbe huo tuliwambia USA ataenda adhirika hata Israel kakiri USA hakufanikiwa kuidestroyed Fawder Nuckear Plant kapiga badhi tu ya sehemu. Ujumbe nikwamba Fawder Nuclear Plant ni kiboko yao...
Tupo Salama!
Wanasema ukipigana na adui mwenye nguvu usimshambulie kwa harakaharaka.
Usiende kwa Kasi Sana.
Kadiri unavyomshambulia kwa haraka adui mwenye nguvu kukuzidi ndivyo unavyojimaliza...
Huyu mzee amesababisha Iran imerudishwa nyuma miaka mingi sana kwa muda mfupi....na bado kichapo kinaendelea.
Iranian officials are considering removing Ayatollah Ali Khamenei as the Supreme...
Hawa watu siwaelewi, wapo kwenye vita halafu wanajikusanywa makao makuu, wamepigwa
Hundreds of Islamic Revolutionary Guard Corps (IRGC) members were killed by Israeli strikes across Tehran on...
Trump alisema jana kuwa Wameizika Fordow
Sasa Mbona Israel imeenda tena kuipiga Fordow iliyozikwa?
Hii Dunia maigizo ni kila kona siyo hapa bongo pekee 😂😂😂
Kwa tuliojaliwa kuwa na jicho la 3 la kutazama tunaona hatari kubwa katika nchi ya irani na tunaona anacheza mchezo hatari unaohatarisha uwepo wake duniani. Naona Irani ikilia kilio Cha kwikwi...
Waziri wa nchi za kigeni wa Iran ameashiria nia ya kusitisha mashambulizi ya makombora dhidi ya Israel, akisema wanashambulia tu kwa ajili ya kujilinda.Kulingana na shirika la habari la kitaifa la...
Uongo uongo kila siku. Ooooh mossad oooh IDF. Mliambiwa hawa Israel hawana nguvu mnayoihubili kila siku hapa jukwaani. Kitendo cha US kuishambulia Iran kinamaanisha wanaunganisha nguvu kupigana na...
Analojia rahisi kwenye hili ni kufananisha Strait ya Hormuz kama mto mdogo wa kijijini ambao 30% ya maji tunapata hapo. Maji haya ndio kiungo muhimu katika shughuri za kila siku za kijiji chetu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.