International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Aman iwe nanyi watumishi wa MUNGU Hapa ndo utauona umaana wa Iran sema tu Iran hana msaada lakini ni mtetezi wa watu wa Palestine Bahati mbaya naye kapigwa kama mtoto mdogo, mda huu anaugulia...
0 Reactions
3 Replies
354 Views
Mali na Urusi zimetia saini mikataba inayolenga kupanua ushirikiano wa biashara ya pande zote mbili na kuimarisha uhusiano wa kiuchumi. Makubaliano hayo ni pamoja na ahadi ya ushirikiano kuhusu...
2 Reactions
1 Replies
248 Views
Marekani bado hajafikia lengo hata kidogo wanachohitaji ni Kuondoa Legency ya Ayatollah na kupandikiza Muisrael kwa mgongo wa Demokrasia. Bado Viongozi wa Iran wataendelea kuwindwa kwa namna...
2 Reactions
5 Replies
542 Views
Hatua ya "usitishaji mapigano sasa imeanza kutekelezwa. Tafadhali isikiukwe," aliandika Rais wa Marekani Donald Trump katika ujumbe uliochapishwa Jumanne kwenye jukwaa la mitandao yake ya kijamii...
1 Reactions
3 Replies
493 Views
Huyu naona ceasefire ingemnyima fursa ya mabikira, ashukiru... ========== Vyombo vya habari vya Iran vimeripoti kuwa shambulio la Israel lililotokea siku moja kabla lilimuua kamanda mwandamizi wa...
2 Reactions
3 Replies
658 Views
President Kagame is in good health: Government dispels online rumors, following a wave of false claims circulating on social media suggesting otherwise.
0 Reactions
0 Replies
313 Views
Jamaa wanasakwa popote =========== Mwanasayansi mashuhuri wa nyuklia kutoka Iran ameuawa katika shambulio la anga la Israel, kwa mujibu wa televisheni ya taifa ya Iran, na hivyo kumfanya kuwa...
4 Reactions
8 Replies
888 Views
Nililia niliposoma hotuba hii kutoka kwa Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu, lakini mwishoni nilisema, "Utukufu kwa Mungu wa Israeli" Hebu tusome pamoja: Bw. Netanyahu alisema: Miaka 70...
1 Reactions
0 Replies
222 Views
Wanasiasa huwa wanatoka mbali sana Aiseee Namsoma hapa Trump Kumbe alikuwa Chawa wa Michael Jackson akiwa mtu mzima kabisa kama Mwijaku Inashangaza sana 🐼
0 Reactions
3 Replies
284 Views
Chama cha National Resistance Movement (NRM) cha Uganda, kimesema Rais wa nchi hiyo, Yoweri Museveni atachukua fomu za kutetea nafasi yake kwa muhula mwingine wa miaka mitano katika uchaguzi...
1 Reactions
12 Replies
810 Views
"Rais Donald Trump alionyesha hasira kali leo wakati usitishaji mapigano aliouanzisha kati ya Israel na Iran ulipoonekana kuwa dhaifu zaidi. Rais huyo alieleza kutoridhishwa kwake hasa na Israel...
0 Reactions
0 Replies
326 Views
Nusu ya waisrael wanazungumza kirusi[emoji298][emoji298]pia inakadiliwa kuwa Kuna warusi zaidi ya million 2 wanaoishi Israel.....hivyo inasemekana Israel ni Russian state Kwa wale walikuwa...
0 Reactions
5 Replies
517 Views
Kwanza nataka nikiri kuwa wazungu ni wajanja. Wao huwa wanaact kwa mtindo wa good cop vs bad cop. Safari hii Marekani na Israel walikuwa bad cops huku Uingereza, Ufaransa na Ujerumani zikijifanya...
15 Reactions
17 Replies
1K Views
Wasalaam Hawa watu wanaotoka Persia Iraq na Iran wana akili kubwa...Israel asili yao alipotoka na kuzaliwa babu yao Abraham ni Ur leo Iraq ...Baba yake Abraham alifariki Turkey zamani...
0 Reactions
2 Replies
400 Views
Trump anaishukuru Iran kwa kutoa notisi ya mapema ya Marekani, anasema sasa ni wakati wa amani "Iran imeitikia rasmi Ufutaji wetu wa Vifaa vyao vya Nyuklia kwa jibu dhaifu sana, ambalo...
5 Reactions
14 Replies
1K Views
Je Nini kinaendelea, why Israel ije na madai ya uzushi kuwa imeshambuliwa wakati siyo kweli, je Ina Nia kusitisha mapigano kweli , Breaking Iranian state media has responded to Israel’s...
0 Reactions
6 Replies
661 Views
Hakukuwa na athari kwa kambi ya anga ya Marekani ya Al Udeid nchini Qatar, Reuters iliripoti ikimnukuu afisa wa kijeshi wa Marekani. Afisa huyo alinukuliwa akisema hakuna shambulio la Iran...
1 Reactions
1 Replies
483 Views
Kijana wa Miaka 28 https://www.youtube.com/watch?v=mdybNvneYRw 50 Years Ago! Young Netanyahu Predicted The Middle East of Today!
4 Reactions
20 Replies
1K Views
Ni kuwakumbusha tu Israel anapambana na kikundi kidogo sana cha watu wasiojiweza kabisa , si jambo la kushangiria shangilieni pale tu atapojichanganya kwa taifa kama Syria , Lebanon alafu hakuna...
9 Reactions
121 Replies
7K Views
Back
Top Bottom