International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Marekani, uingereza na nchi mojawapo ya ulaya ambayo haijatajwa zinatarajia kufanya operation kubwa ya kijeshi nchini yemen dhidi ya kundi la kigaidi houthi. Operation hiyo itahusisha mamia ya...
4 Reactions
105 Replies
8K Views
Wanaoifanya israel iendelee kuwepo kwenye ardhi ya palestina ni tawala za siri za kizayuni zinazoshikilia madaraka Saudi Arabia, Jordan, Egypt, UAE, Kuwait, Bahrain, Qatar na Oman. Bila ya tawala...
24 Reactions
247 Replies
7K Views
Walitaka tu kuharibu mifumo na vinu vya Nyuklia vya Iran. Ndiyo mambo ambayo kwao yalikuwa agenda kuu sana miaka yote. Wamefanikiwa kwa asilimia 90 plus. Na pia walitaka kuitia Kilema Irani...
1 Reactions
10 Replies
571 Views
Iran kupitia kwa wizara yake ya mambo ya nje imesema Marekani imefanya kosa kubwa sana la kimkakati kwa kushambulia maeneo ya Iraq na Syria. Kwa upande wa Iraq imesema haitaki nchi yake iwe ni...
5 Reactions
48 Replies
4K Views
Wanaukumbi. "Kulipiza kisasi kwa damu ya Ismail Haniyeh ni jukumu letu kwa sababu mauaji yalitokea katika ardhi yetu" - Ayatollah Khamenei, Kiongozi Mkuu wa Iran. Iran ilipandisha bendera...
19 Reactions
342 Replies
12K Views
"Utawala mbovu wa Israel utaadhibiwa kwa mikono ya watu wetu mashujaa," alihitimisha. Kiongozi Muadhamu wa Iran Ayatollah Seyed Ali Khamenei: “Utawala mbovu utaadhibiwa na mikono ya watu wetu...
20 Reactions
141 Replies
8K Views
Wanakumbi. MPYA: 🇮🇷🇮🇱 Iran katika Umoja wa Mataifa: "Iwapo Israel itaivamia Lebanon, mashirika yote ya Kiislamu ya Mashariki ya Kati yatakwenda Lebanon na kujiunga na Hezbollah" Iran imesema...
10 Reactions
99 Replies
5K Views
Nimeona nije na uzi maalum wa kupeana updates wa vita mpya inayotarajiwa kulipuka kati ya Iran na Israel muda wowote kuanzia sasa Inaonekana inayokuja mashariki ya kati itakua sio ya mchezo...
20 Reactions
2K Replies
166K Views
Niaje waungwana Baada ya Israel, Marekani, Uingereza na washirika wao wengine kujipanga kwa zaidi ya mwezi mmoja na kitu ili kufanya shambulizi la kuiangamiza Iran kushindwa. Sasa tumeona wenyewe...
32 Reactions
161 Replies
7K Views
Wanakumbi. Kila kitu kiko tayari kwa vita dhidi ya Iran - Benjamin Netanyahu Netanyahu alipokea shangwe (moja ya WENGI) wakati wa hotuba yake kwa Congress: "Dunia yetu iko katika hali ya...
12 Reactions
117 Replies
6K Views
Israeli retaliation against Iran will be ‘lethal, precise and surprising’: Minister Reuters Published: 09 October ,2024: 09:40 PM GSTUpdated: 09 October ,2024: 09:43 PM GS Israeli Defense Minister...
12 Reactions
60 Replies
3K Views
Wakuu marekani imeinyesha ni namna gani ikiamua jambo lake hakuna kima anaweza tia mguu. Iran nehi nehi. Iran ameonyeshwa ni namna gani yeye ni mchumba tu kwenye masuala ya vita, wanaume...
24 Reactions
186 Replies
9K Views
. Israeli official: ‘Iran broke the ceasefire, and it will pay’ By Lazar Berman Follow Today, 11:22 am Israel will respond to Iran’s missile attack, an Israeli official says, shortly after...
0 Reactions
0 Replies
452 Views
Naona gaidi iran anatapa tapa, sasa ni dhahiri anajichimbia kaburi mwenyewe. ======= Iran imetekeleza mashambulizi ya kombora dhidi ya kambi za kijeshi za Marekani zilizoko nchini Qatar na Iraq...
20 Reactions
241 Replies
12K Views
Huko mashariki ya kati nchi zote zipo kimya zimetulia kabisa wakati kuna mtu anafundishwa adabu.
12 Reactions
73 Replies
4K Views
Rais wa Urusi Vladimir Putin ameahidi kuiunga mkono Iran, kufuatia mashambulizi dhidi ya taifa hilo yanayofanywa na Marekani na Israel. Itakumbukwa kuwa, Iran imekuwa ikiipa silaha Moscow katika...
8 Reactions
34 Replies
2K Views
Marekani inakadiria kuwa Iran huenda ikatekeleza mashambulizi ya kulipiza kisasi dhidi ya majeshi ya Marekani yaliyoko Mashariki ya Kati hivi karibuni, shirika la habari la Reuters limeripoti...
3 Reactions
33 Replies
2K Views
Sijui kwanini Israel wanaficha madhara makubwa ya vifo na majeruhi Maafisa wa ngazi za juu wa Morocco waliokua mafunzoni Israel ni miongoni mwa wanajeshi waliangamizwa na Makombora ya Iran Mamia...
0 Reactions
2 Replies
522 Views
Ayatollah ana miaka 86,kwa umri huo sijui kama ana uwezo wa kujua nini kinatokea.Ahhh ni khamenei sio khamei,kumradhi
6 Reactions
12 Replies
703 Views
Back
Top Bottom