International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Taarifa ambazo zimepatikana ni kwamba Ukraine anakaribia kumaliza kuhuisha silaha za nyuklia zilizokuwa decommissioned. Ikumbukwe kwamba mwaka 1994 Ukraine aliondoa silaha za nyuklia zilizokuwa...
9 Reactions
85 Replies
5K Views
Minister of defence of Ukrainian forces has noted on Friday the strengthening its military with nuclear arsenal to counter attack its neighbours like Russian invasion in Crimea. He added that...
0 Reactions
2 Replies
756 Views
Watu trakibani wanane wamefariki dunia kutokana na ajali ya tufe la hewa (hot air balloon) katika eneo la kusini mwa Brazil, kwa mujibu wa Gavana wa jimbo la Santa Catarina, Jorginho Mello...
0 Reactions
2 Replies
621 Views
Shirika la habari la Associated Press (AP) limesema kuwa Jeshi la Israel limetoa taarifa kuwa limepata miili mitatu ya mateka wa Tukio la Oktaba 7 huko Gaza. Miili hiyo ambayo mmojawapo ni wa...
1 Reactions
13 Replies
788 Views
Hivi hivi vikao vya UN vina faida gani? Naonaga wakiitisha vikao vya dharura au nchi ikienda kushitaki hapo Lakini sijawahi kuona faida ya hizo mikutano yao zaidi wanapotezaga mda tu. Ni...
2 Reactions
1 Replies
210 Views
Iran: ▪️ Adui ana ndoto ya kwamba ameharibu mitambo yetu ya nyuklia lakini tulikuwa tayari tumeshagundua njama zake tangu mwezi Machi! ▪️ Tulihamisha kwa wakati nyenzo zote muhimu na kuziweka...
35 Reactions
84 Replies
4K Views
23 June 2025 historia kwenda kujirudia . Mwanazuoni rabbi afafanua https://m.youtube.com/watch?v=tCx0oNy1DnI Rabbi anaingia kwa kina kuangalia historia hii katika kitabu kitakatifu : Katika...
4 Reactions
36 Replies
2K Views
Tangu shambulizi la Hamas kule Israel October 7, 2023. Israel imepigana vita na takribani nchi tatu zenye jumla ya watu 103,855,658. Nchi ni: 1. Palestine yenye jumla ya watu 5,589,623 2. Lebanon...
16 Reactions
82 Replies
2K Views
Kumshinda marekani kupitia nguvu za kijeshi haitoshi pekee. Maadui zake marekani wanapaswa kujiza titi kupitia nguvu za kiuchumi na kiteknolojia ili kumshinda marekani na washirika wake...
4 Reactions
7 Replies
587 Views
Marekani yakiri kuhusu nguvu ya Iran ya ndege zake zisizo na rubani (droni) Apr 22, 2021 02:52 UTC PAKUA Jenerali Kenneth McKenzie, Kamanda wa Kamandi Kuu ya askari wa kigaidi wa Marekani...
0 Reactions
31 Replies
5K Views
Fordow ni kituo cha nyuklia kilicho nchini Iran, karibu na mji wa Qom, na ni mojawapo ya vituo vya nyuklia vilivyojulikana zaidi duniani kutokana na mvutano wa kisiasa unaohusiana na mpango wa...
5 Reactions
18 Replies
1K Views
Siku tatu zilizopita ilionekana kwamba US angeingia vitani, ila kwa hali ilivo sasa hiyo option inaenda ikipotea. Atachofanya US kuipa silaha Israel lakini sio direct involvement. Kuna jambo...
12 Reactions
53 Replies
3K Views
Hawa wazungu na teknolojia zao, tuwaache bana, sisi tuendelee kuchoma na kuuza mkaa vijijini, na kufuatilia siasa za humu kwetu Afrika.... Sioni na sitegemei kama ipo siku tutanusia huu uwezo wao...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakati wa apartheid wazungu wa ak walikuwa na nuclear bomb, waafrika walivyoingia moja ya masharti walipewa ni kubomoa nuclear weapons kabla ya apartheid kuisha, nelson mandela akakubali akapewa...
2 Reactions
3 Replies
456 Views
Ukishakua upande wa Marekani unaweza fanya lolite na hakuna kitakutokea, Na Israel hataki kuzunguukwa na nchi zilizo imara. 1. Walisema Israel ikiingia gaza ni ww3, nothing happen 2. Walisema...
2 Reactions
20 Replies
1K Views
Kadili siku zinavyosonga mbele idadi ya makombora yanayorushwa inazidi kupungua, kutoka makombora na drone 1000 kwa siku Sasa IRAN anarusha 30 tu Ndani ya muda mfupi ataanza kujaribu kutumia...
1 Reactions
6 Replies
734 Views
Unaambiwa hivi hili bomu lina uzito wa kilo 13K sawa na zaidi ya tani 13, na linabebwa na mdege wa kivita wa marekani B-2 Stealth Bomber na ndo Israel anasubiri apokee mzigo kisha amnyeee...
13 Reactions
63 Replies
3K Views
Iran si ya kutishwa kama walivyo dhani, leo Trump kisha anza kufyata mkia anasema umvunilivu wa Iran hata USA hauwezi. Mmefahamu au bado, anakusudia siwezi ingia direct vita na Iran sababu...
8 Reactions
38 Replies
2K Views
Salamu wakuu, Huu ni mshangao wangu na watu wengi kuona Irani inapigwa alafu Urusi yupo kimya hajasema lolote mpaka sasa. Kwangu mimi nilitegemea mashambuluzi ya marwkani itakuwa ndo sababu ya...
0 Reactions
10 Replies
631 Views
B-52 Stratofortress ni ndege kubwa za kijeshi za Marekani, zilizotengenezwa na kampuni ya Boeing. Hizi ndege zenye nguvu zina historia ndefu na zinajulikana kwa uwezo wao wa kubeba silaha kubwa na...
2 Reactions
1 Replies
366 Views
Back
Top Bottom