kimsboy JF-Expert Member Joined Oct 17, 2016 Posts 11,185 Reaction score 24,564 Jun 23, 2025 #1 Hii ndo habari yenyewe Iran inajiandaa kwa shambulizi kubwa mno la kuzipiga kambi za kijeshi za Marekani kwenye eneo la Mashariki ya kati Hii vita inazidi kukua tu.
Hii ndo habari yenyewe Iran inajiandaa kwa shambulizi kubwa mno la kuzipiga kambi za kijeshi za Marekani kwenye eneo la Mashariki ya kati Hii vita inazidi kukua tu.
C CHIEFMANGU JF-Expert Member Joined Dec 19, 2016 Posts 685 Reaction score 1,148 Jun 23, 2025 #2 Akifanya hivyo atakuwa amejiweka kwenye Kona ambayo hatokaa aisahau... Yasije kujirudia ya Japan
MR MAJANGA JF-Expert Member Joined Oct 4, 2014 Posts 3,526 Reaction score 10,820 Jun 23, 2025 #3 CHIEFMANGU said: Akifanya hivyo atakuwa amejiweka kwenye Kona ambayo hatokaa aisahau... Yasije kujirudia ya Japan Click to expand... Sidhani maana naona Iran inapigika bila hata ya nuke
CHIEFMANGU said: Akifanya hivyo atakuwa amejiweka kwenye Kona ambayo hatokaa aisahau... Yasije kujirudia ya Japan Click to expand... Sidhani maana naona Iran inapigika bila hata ya nuke