Paul Kagame au unaweza kumuita Paulo Kagame, huyu ni kijana wa Nyerere aliyepikwa kijeshi na kuiva vyema hapa nchini Tanzania, aisee mwamba anajiamini sana unajua kwa nini!! Twende kazi!!
Ni rais...
Kumbuka, kabla North Korea hajapata nuke yoyote alidharaulika hivi hivi kama Iran anavyodharaulika na kuletewa mizengwe.
Sasa hivi North Korea inaheshimika na hata yule kichaa wa west kaacha...
Muda wote ndugu zoo wakiuliwa Gaza na Palestina kwa ujumla waarabu wamekaa kimya.Hatimae wiki hii ndio wameanza kujutia ukimya wao baada ya kuona madhara ya nyuklia yakiwanyemelea.
Mpaka sasa...
Chama cha Rais Alassane Ouattara wa Ivory Coast cha RHDP kimemteua kiongozi huyo kuwania kiti cha urais kwa mara nyingine tena katika uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu.
Hatua hii...
Ujumbe uliofikishwa kwa Iran ni wazi: haijalishi mtajenga au kuhamishia viwanda vyenu wapi, hakuna mahali pa kuficha; vitafikiwa na kushambuliwa bila shaka.
Iran walitumia muda mrefu na gharama...
Swali hili linagusa historia ya kisiasa, kijeshi, na kimaadili ya karne ya 20 hadi sasa. Hakuna mtu mmoja tu wa kulaumiwa, bali kuna mataifa na matukio kadhaa yaliyochangia kusambaa kwa teknolojia...
Mashambulizi kwenye maeneo ya Israel yameshika kasi tangu jana wakati Marekani iliposhambulia vinu vya nyuklia vya Iran.Maafa ndani ya Israel yameongezeka sana na katika kila eneo la ardhi hiyo...
Iran ilikuwa inafanya kusudi kuruhusu ndege za israel zinazoendeshwa na mademu ziingie kuua viongozi wake na kulipua maeneo ya silaha. Ilikuwa ni makusudi ili Marekani waingie mtegoni.
Israel...
Wanaukumbi
JUST IN:
Iranian suicide drones have entered Jordanian airspace and are heading toward Israel.
UK, US and Israel, with support from Arab nations are working to intercept them...
Niaje waungwana
Ukiangalia vita anazopigana Muisrael pale Mashariki ya kati, utakubaliana na mimi kwamba anazopigana zina mkono mkubwa wa Marekani.
Kuanzia silaha, bajeti ya jeshi, madawa ya...
Tetesi zinazoelekea kuwa ushahidi kuwa Marekani haijafanikiwa kuleta madhara makubwa yaliyokusudiwa kwa vinu vya nyuklia vya Iran,kunaweza kukaitia hasira sana nchi hiyo na kuamua kuipiga Iran...
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Marco Rubio, ameionya Iran dhidi ya kulipiza kisasi kufuatia mashambulizi ya Marekani kwenye maeneo ya nyuklia ya Iran, akisema kuwa hatua hiyo itakuwa "kosa...
Haya maneno yangu yanaweza onekana kama yasiyo na mashiko.
Ilichokitaka Israel na USA ni raia kuprotest against utawala wa AYATOLAH kitu ambacho tayari kinatokea.
Marekana anaingia vitani sasa...
Mwaka 1950's alichaguliwa waziri mkuu wa iran aliyeitwa Mohammad Mosaddegh wakati wa kampeni aliahidi kurudisha umiliki wa visima vya mafuta mikononi mwa iran alivyoshinda alianza kutekeleza ahadi...
Kwa kutumia ndege za kivita za mwisho katika hazina yake za Doomsday,Marekani ilitarajia kuvunja vinu vya nyuklia vya Iran ambavyo Israel ilishindwa wiki moja nyuma.
Kwa mujibu wa wataalamu wa...
The United States says China should pressure Iran not to close the Strait of Hormuz.
WASHINGTON, June 22 (Reuters) - U.S. Secretary of State Marco Rubio on Sunday called on China to encourage...
Saa 1 iliyopita Vita vinavyogharimu Israeli hadi dola milioni 400 kila siku - WSJ Kampeni ya Israel dhidi ya Iran inaigharimu mamia ya mamilioni ya dola kwa siku, gazeti la Wall Street Journal...
Katika hotuba yake aliyoitoa Ikulu - White House, mara baada ya mashambulizi ya Marekani dhidi ya vinu vya nyuklia vya Iran, Rais Donald Trump amehitimisha hotuba hiyo kwa maneno ya kugusa sana...
Below are the best airlines in Africa in 2025:
Rank
Airline
1
Ethiopian Airlines
2
Air Mauritius
3
RwandAir
4
South African Airways
5
Egyptair
6
Royal Air Maroc
7
Kenya Airways
8...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.