Rais wa Marekani Donald Trump ameionya Israel kupitia mtandao wake wa kijamii wa Truth Social kutoendelea na mashambulizi yake dhidi ya Iran.
Ujumbe wa Rais Trump ulisomeka: "ISRAEL. MSIDONDOSHE...
Huyu mzee sio mpenda Vita huo ndo ukweli!! Marekani ingekua huru kwenye nafasi ya Urais au Rais yuko huru na tungefahamu ukweli
It seems kuna wahuni ndani ya US ndo huwa wanapush Agenda ya Vita...
Hakuna namna ya kuwashinda Hawa Mabeberu maana sio tuu wanaongoza Kwa teknolonia Bali hata Kwa utajiri wa Mali pia.
https://www.instagram.com/p/DLR01aNtcA0/?igsh=MXc5YjB5OG8zY3U1cA==
==========...
Angekuwa mtu mweusi Kila maistream media ingeweka hii video.
Ni Yale Yale mtu mwingine akiua watu kwa bunduki utaskia terrorist ila ngozi nyepe ataitwa a gunman who is mentally distorted...
Sio kwa ushabiki!
Angalau Hamas walitoa upinzani wa Kweli. Ingawaje ni kakikundi kadogo kalikokosa Nguvu ya kifedha, miundombinu na vifaa vya kutosha lakini angalau wao tuliwaona wakifurukuta...
Hawa watu wana shida mahali sio bure hasira za kupigwa na Iran wamehamishia kwa watoto
A Belarusian-Israeli traveler at Moscow Airport allegedly assaulted an Iranian child whose family had fled...
NEW: Secretary General of NATO Mark Rutte refers to President Trump as ‘Daddy’ while Trump was talking about Israel & Iran’s peace deal.
Trump: They had a big fight. Like two kids in a...
President Zoellick Appoints Dr. Ngozi Okonjo-Iweala as Managing Director, World Bank
Washington, October 4th, 2007 World Bank President, Robert B. Zoellick, today announced the appointment of...
Hakuna ubishi Marekani wana uwezo Kivita kulinganisha na Uwezo wa Iran Kivita. Takwimu zinaonyesha Marekani Hatakiwi hata Kepeleka Full Kikosi ili Kuichapa Irani, yaani kuichapa Iran Marekani...
Maafisa wa Marekani na Iran watafanya mazungumzo wiki ijayo wakati mpango wa usitishaji vita ukiendelea, asema Trump.
Rais Donald Trump siku ya Jumatano alisisitiza kwamba mashambulizi ya...
Kipigo kikubwa ambacho hakikutarajiwa ndani ya miji ya Israel kimemrusha akili waziri mkuu wa Israel ambapo sasa ameomba msaada kwa wananchi wa Iran akiwaelekeza waandamane kuungusha utawala wa...
My Take
Hii ni aibu ilioje Kwa kubwa la Mabeberu 😂😂
Haya Waebrania wa Chato mnaitwa huku 👇👇
===
Rais wa Marekani Donald Trump amekosoa kile alichokitaja kuwa upotoshaji wa habari kuhusu taarifa...
Ni Habari za Uongo' - Rwanda yazungumzia uvumi kuhusu afya ya Rais Kagame.
Chanzo Taarifa: BBC Swahili
Punguzeni kama siyo acheni CHUKI, WIVU na ROHO MBAYA kwa akina GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE...
Hivi tunavyoongea kijana wa miaka 33 mzaliwa wa Kampala Uganda Zohran Mamdani anaongoza mbio za umeya kwenye jiji kubwa duniani la New york ,akipambana na mpinzani wake meya aliyeshika kiti hicho...
Mamlaka ya Chakula na Dawa ya Marekani (FDA) imeidhinisha dawa mpya iitwayo Lenacapavir ya kuzuia maambukizi ya Virusi vya UKIMWI, ambayo imeelezwa kupunguza hatari ya maambukizi kwa asilimia...
wametekwa tu na uislamu, lkn ni very intelligent people na siyo warabu, na wangekuwa mbali sana kiuchumi, wairani wamechangia mengi na makubwa sana kwenye human civilization kwa sababu walichukuwa...
Iran arrested 700 people accused of wartime ties with Israel, state-affiliated media says
By Reuters and ToI Staff
Today, 7:30 am
Share
1
Iran has arrested 700 people accused of ties with Israel...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.