Kijakazi
Platinum Member
- Jun 26, 2007
- 10,433
- 17,765
wametekwa tu na uislamu, lkn ni very intelligent people na siyo warabu, na wangekuwa mbali sana kiuchumi, wairani wamechangia mengi na makubwa sana kwenye human civilization kwa sababu walichukuwa uislamu kama dini tu na kukataa uarabu, hiyo ndiyo tofauti na zanzibar, tanzagiza, somalia, libya, maurtania, chad, mali, sudani, pakistani, nk.
nchi zote za warabu zilianguka mara moja baada ya shambulizi la USA angalia libya, irak, siria, somalia na wengineo, hiyo ndiyo tofauti wairani siyo warabu ingawaje ni waislamu …
nchi zote za warabu zilianguka mara moja baada ya shambulizi la USA angalia libya, irak, siria, somalia na wengineo, hiyo ndiyo tofauti wairani siyo warabu ingawaje ni waislamu …