NEW WORLD BANK MANAGING DIRECTOR Okonjo-Iweala IS A NIGERIAN | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

NEW WORLD BANK MANAGING DIRECTOR Okonjo-Iweala IS A NIGERIAN

Discussion in 'International Forum' started by Game Theory, Oct 7, 2007.

 1. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #1
  Oct 7, 2007
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  Controversy

  http://web.worldbank.org/WBSITE/EXTERNAL/NEWS/0,,contentMDK:21499083~pagePK:64257043~piPK:437376~theSitePK:4607,00.html

  FROM THE FT:


  Zoellick revamps top management


  http://www.ft.com/cms/s/0/f683b690-72b1-11dc-b7ff-0000779fd2ac.html


  And according to Forbes she is among the most powerful women in the world

  http://www.forbes.com/lists/2006/11/06women_Ngozi--Okonjo-Iweala_H2RN.html
   
 2. M

  Masatu JF-Expert Member

  #2
  Oct 7, 2007
  Joined: Jan 29, 2007
  Messages: 3,285
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  This is the another good news for Africa. Congratulations Dr Ngozi u made us proud.
   
 3. Kasheshe

  Kasheshe JF-Expert Member

  #3
  Oct 7, 2007
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 4,690
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Yeap good stuff, Huree to Dr. Ngozi, Nondo always zinalipa!!!
   
 4. Masanja

  Masanja JF-Expert Member

  #4
  Oct 7, 2007
  Joined: Aug 1, 2007
  Messages: 3,595
  Likes Received: 3,761
  Trophy Points: 280
  Infact ni kwamba huyu mama ndo alikuwa anapewa nafasi kubwa ya kuwa Deputy wa Ban K moon pale Turtle bay. Lakini she fell out of favour na Gen. Obasanjo and He totaly refused to recommend her to the Incoming Secretary, ingawa Nigeria iliombwa rasmi. Infact by the time she left Nigeria politics her relationship with Obasanjo was all time low and she went to US where she was doing her private consultancy with Fed Reserve na WB.

  Ofcourse, yeye kukosa nafasi ya DSG ndo mama yetu Migiro akapewa and Iam certain kama Nigeria ingekuwa resolute kumsupport our own daughter Migiro wouldnt have made the cut. Ngozi is an accomplished personality on all fronts and Zoellick knows her very well because even then she has been a senior consultant for Fed Reserve Chairman Alain Greenspan and Benanke then after for many years.

  I can only wish her all the best, if Obasanjo dumped her for political reasons, then smart people saw her potential and I applaud their decision. Thats where politics and economies part their way.

  Good job Dr. Ngozi
   
 5. K

  Kasana JF-Expert Member

  #5
  Oct 7, 2007
  Joined: Apr 3, 2007
  Messages: 413
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  mkuu migiro alipewa au aliteuliwa?

  hongera Dr. Ngozi
   
 6. Masanja

  Masanja JF-Expert Member

  #6
  Oct 7, 2007
  Joined: Aug 1, 2007
  Messages: 3,595
  Likes Received: 3,761
  Trophy Points: 280
  Mkuu anayekuteua si anakuwa amekupa? Anyway kiswahili changu ni cha "C" sikupata A au B..kwa hiyo niwie radhi kwa lolote ambalo halikueleweka mkuu!
   
 7. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #7
  Oct 7, 2007
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
 8. M

  Mtu JF-Expert Member

  #8
  Oct 7, 2007
  Joined: Feb 10, 2007
  Messages: 472
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mama Daktari Ngozi ni moto wa kuotea mbali.Nimeshuhudia debate zake kuna moja ya Doha Debate na nyingine kama sijakosea alikua na Anko Ben.
  Anajiamini ile mbaya ana amwaga fakti na mara zote ninapomuona huwa hana karatasi za "Kudesa" kama Sumaye!

  Kwa kweli anastahili nafasi hii.Tumpe muda ana mengi ya kuifanyia Afrika.
  Nakupa shavu DR Ngozi kazi njema
   
 9. Mwawado

  Mwawado JF-Expert Member

  #9
  Oct 7, 2007
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 998
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 35
  Mmoja kati ya Wanasiasa,wasomi,Wachumi na wanaharakati wa kujivunia Afrika ni Dr Ngozi Okonjo-Iweala,Mama huyu Mnigeria ni Hazina kubwa Afrika ktk Ushiriki wa siasa za kumkomboa Muafrika ktk Uchumi huu kandamizi dhidi ya Mataifa yanayoendelea.

  Dr Ngozi Ameteuliwa na Rais wa Benki kuu ya Dunia (Robert zoellick) kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa chombo hicho kikubwa cha Fedha Duniani,wadhifa ambao atauanza November'1.2007.Dr Ngozi Mzoefu wa Taasisi hiyo kubwa ya Fedha Duniani ambayo ameitumikia kwa jumla ya miaka 21 ameukubali Wadhifa huo.Kipindi cha nyuma Dr Ngozi aliwahi kuwa Vice President wa WB.

  Dr.Iweala ambaye anaelezwa kuwa ni Mchumi Mahiri Duniani na Mwanasiasa mwenye ushawishi mkubwa amewahi kuwa mwanamke wa kwanza Waziri wa Fedha nchini Nigeria,na kwa ushawishi wake alifanikiwa kufuta madeni yote ya nje ya Nchi ya Nigeria na kwa kipindi cha miaka minne kuinua pato la Mnigeria wa kawaida kwa 6%

  Dr.Ngozi aliondolewa kwenye Uongozi wa kisiasa Nchini Nigeria baada ya kutokuelewana na Rais wa Zamani wa Nchi hiyo Olusegun Obasanjo,kwa kipindi cha miaka ya hivi karibu Mama huyo amekuwa anaishi Nchini Marekani kwa kutoa Mihadhara mbalimbali kwenye Universities na kushiriki kazi za Clinton Global Initiative.Mama huyo ni Member kwenye MO-Ibrahim Foundation na US Federal Reserve.
   
 10. m

  mTz JF-Expert Member

  #10
  Oct 7, 2007
  Joined: Aug 20, 2006
  Messages: 283
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
 11. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #11
  Oct 7, 2007
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,869
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  All that said nimependa vazi lake la heshma kama mwanamke wa Kiafrika!
   
 12. Dua

  Dua JF-Expert Member

  #12
  Oct 8, 2007
  Joined: Nov 14, 2006
  Messages: 2,481
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Nigeria walilipa madeni yao au walifutiwa madeni yao?
   
 13. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #13
  Oct 8, 2007
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
 14. Dua

  Dua JF-Expert Member

  #14
  Oct 8, 2007
  Joined: Nov 14, 2006
  Messages: 2,481
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Game Theory

  Sasa mbona hujajibu swali? :confused:
   
 15. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #15
  Oct 8, 2007
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  Ahhh basi tuu.Unajua saa zingine nashangaa sana humu JF lakini ndio hivyo tena.

  Mheshimiwa nimekupa link ambayo itakupa tos of data kuhusu hayo madeni ya Nigeria na country outlook.

  sasa sijui unataka nijibu nini tena?

  Ndio maana saa zingine huwa na take back seat kisha nikasoma hizo threads za CCM v/s Zitto zilizojaa episodes za kila namna

  Huwezi kuamini kuna mtu alipost video ya Mkapa Davos ambayo Sharon Stone alipewa $100 million lakini utashangaa jinsi ambavyo ile thread ilivyokuwa twisted na kinachoendelea mle ni Zitto na wala hakuna aliyejadili contents za maneno ya Mkapa


  Lakini that's JF for you. That said kama unaspecific question ambalo utalidirect kwangu wewe lete kisha mimi nitakumwagia majibu yatakayo ambatana na data ili kuback up arguments zangu
   
 16. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #16
  Oct 8, 2007
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  Ombi kwa Admin naomba uirudishe original heading kwani heading mliobadilisha hapo juu haieleweki.

  Original thread heading:

  -main point hapa ni kuonyesha jinsi gani wanawake wa Africa wanavyo fly high kwenye career zao lakini nashangaa mmeamua kuibadilisha thread heading vipi?


  Moderators heading after editing:


   
 17. Dua

  Dua JF-Expert Member

  #17
  Oct 8, 2007
  Joined: Nov 14, 2006
  Messages: 2,481
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Game Theory

  Naona unajichanganya bila sababu yoyote angalia hapa:

  Wewe ndio bingwa wa kutoa kila lawama hapa sasa angalia swali lililoulizwa halafu unipe jibu.
   
 18. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #18
  Oct 8, 2007
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0  Hebu nionyeshe ni wapi nimelalama mpaka ukanipa huo ubingwa. Vile nithibitishie kama ukizipata basi hebu nionyeshe kama hizo lawama zangu haziko un founded

  Hayo aliyoyaandika Mwawado nadhani unaweza kufanya couple of reserach kwenye hiyo world bank website niliyokupa na utapata majibu lakini mimi naweza kukusaidia pale ambako utashindwa kuinterpret hizo DATA za world bank ndio maana nikasema kama utakuwa na specific question basi lete lakini nishakupa source ya kuanzia ambayo ni world bank

  Hii yote nataka tukae katika mada na kwenda kwa hoja pamoja na evidence za kusupport hizo hoja
   
 19. Dua

  Dua JF-Expert Member

  #19
  Oct 8, 2007
  Joined: Nov 14, 2006
  Messages: 2,481
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Sina haja ya kukuonyesha popote wewe mwenyewe unafahamu unafiki wako. Hapo juu unasema
  Na yapo mengi tu kazi yako kushangaa shangaa tu kama hutaki kuwa Jambo Forum nani kakung'ang'aniza.
  Back to the mada swali ni rahisi sana member ameandika kwamba
  Sasa kauli hiyo inaukweli? wewe una paste link ambayo haijibu hilo swali what a joker? umeshindwa nini kusema kauli hiyo ni sahihi au la? Mbona una kigugumizi kwa swala dogo kama hili. Kama hujui kwa nini umelivamia wakati hujui.
   
 20. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #20
  Oct 8, 2007
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0


  Mheshimiwa,

  I give up. Umeshinda.
   
Loading...