Trump sio mpenda Vita huo ndo ukweli!!

Trump sio mpenda Vita huo ndo ukweli!!

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
11,189
Reaction score
24,613
Huyu mzee sio mpenda Vita huo ndo ukweli!! Marekani ingekua huru kwenye nafasi ya Urais au Rais yuko huru na tungefahamu ukweli

It seems kuna wahuni ndani ya US ndo huwa wanapush Agenda ya Vita yaani Rais analazimishwa tu

Kisaikolojia hata ukimuona Trump sio mpenda vita, bali ni mtu anayesukumwa au kuwa Blackmailed na kikundi cha Zionists afanye vita

Ndo maana anatweet hivi mara abadilishe msimamo atweet vile hii inaonyesha kuwa kuna watu wanampush wapo juu yake kwenye mifumo ya serikali ndo wana ajenda zao ndo maana sazingine apost hataki vita mara apost anataka mara anataka mazungumzo na Iran mara Tunakaribia kusaini dili mara ghafla abadilike.

Kingine Waisrael hawana shukrani kabisa hata wafanyiwe nini pamoja na Trump kurisk kushambulia Iran, kujitoa JCPOA, pamoja na yote US waliofanya favor kwa Israel kwa siku hizi za vita lakini jamaa leo wameonyesha chuki ya wazi kwa Trump huku hadi wanasiasa wa mrengo mkali wa Israel wakimu-unfollow trump marabi wa kizayuni wameenda mbali zaidi wakitaka Kumuua Trump au kumuondoa madarakani
20250624_192652.jpeg
20250624_185118.jpeg
 
Huyu mzee sio mpenda Vita huo ndo ukweli!! Marekani ingekua huru kwenye nafasi ya Urais au Rais yuko huru na tungefahamu ukweli

It seems kuna wahuni ndani ya US ndo huwa wanapush Agenda ya Vita yaani Rais analazimishwa tu

Kisaikolojia hata ukimuona Trump sio mpenda vita, bali ni mtu anayesukumwa au kuwa Blackmailed na kikundi cha Zionists afanye vita

Ndo maana anatweet hivi mara abadilishe msimamo atweet vile hii inaonyesha kuwa kuna watu wanampush wapo juu yake kwenye mifumo ya serikali ndo wana ajenda zao ndo maana sazingine apost hataki vita mara apost anataka mara anataka mazungumzo na Iran mara Tunakaribia kusaini dili mara ghafla abadilike.

Kingine Waisrael hawana shukrani kabisa hata wafanyiwe nini pamoja na Trump kurisk kushambulia Iran, kujitoa JCPOA, pamoja na yote US waliofanya favor kwa Israel kwa siku hizi za vita lakini jamaa leo wameonyesha chuki ya wazi kwa Trump huku hadi wanasiasa wa mrengo mkali wa Israel wakimu-unfollow trump marabi wa kizayuni wameenda mbali zaidi wakitaka Kumuua Trump au kumuondoa madarakaniView attachment 3381740View attachment 3381741
Kama Mungu hawakuridhika Kwa aliyowafanyia jangwani na kuwatoa Kwa Firauni iweje Trump? Dunia Leo hii tunamtihani mkubwa Sana kuwa na wazayuni ni fitna kubwa mno.
 
Huyu mzee sio mpenda Vita huo ndo ukweli!! Marekani ingekua huru kwenye nafasi ya Urais au Rais yuko huru na tungefahamu ukweli

It seems kuna wahuni ndani ya US ndo huwa wanapush Agenda ya Vita yaani Rais analazimishwa tu

Kisaikolojia hata ukimuona Trump sio mpenda vita, bali ni mtu anayesukumwa au kuwa Blackmailed na kikundi cha Zionists afanye vita
Kwa hiyo Trump ni dodoki?.
 
Kwan Trump mwenyeweee anasemajee mkuu wa kaziii..
 
Hapo mchawi China.
US anajua mchina anamvizia ajikwae akae juu kiuchumi.

US kakaza hapiti kwenye njia yenye mawe magumu kama Urusi,Iran na N.Korea.
 
Hii ni kweli, lakini mbona kwa wapalestna huko Gaza haonyeshi hata huruma ya kuigiza kama utawala wa Biden ulivokuwa unafanya!?
 
Kama Mungu hawakuridhika Kwa aliyowafanyia jangwani na kuwatoa Kwa Firauni iweje Trump? Dunia Leo hii tunamtihani mkubwa Sana kuwa na wazayuni ni fitna kubwa mno.
So tunakubaliana kwamba kumbe wale kina Netanyahu ni WAYAHUDI na sio Wazungu kama ambavyo mmekua mkidai hapa kwa muda mrefu?
 
Wayahudi ndio wapo hao kina Netanyau ni mazayuni
Unanichanganya mkuu; shida yangu moja kwako ni hi, huwezi kua na consistent kwenye HOJA zako; halafu always huaga uko hivo. Huaga napenda kujadiri na wewe but kwa weakness hi unaniboa sana
 
Back
Top Bottom