Wanajeshi 7 wa Israel wameuliwa huko Gaza na idadi inatarajiwa kuongezeka
https://x.com/bokeralmog/status/1937717787574616096?t=8spsB8CTR8p-qoJhfxoZ6A&s=19
Niaje waungwana
Nafikiri mashambulizi ya mwaka jana kati ya Iran na Israel, yalimpofusha sana Netanyahu kwa kuamini kwamba Iran ilikuwa na silaha chache, na dhaifu kwa kuweza kufanya maangamizi...
Israel imefanikiwa kuuwa viongozi wa kijeshi wa iran sio wote ila wengi imewaua kuwapata watu wenye uzoefu kama hawa itachukua mda sana
Israel imefanikiwa kuwauwa baadhi ya wataalamu wa nyuklia...
Rais wa Marekani Donald Trump amekosoa kile alichokitaja kuwa upotoshaji wa habari kuhusu taarifa za intelijensia zilizovujishwa na kwanza kuripotiwa na baadhi ya vyombo vya habari vya Marekani...
Wakati huo SADDAM HUSSEIN akiwa kama KOBAZI mkuu Middle East alianza kuunda siraha za NUKES na zingine za sumu.
Hile project iliishushwa ikawa vifusi na SADDAM HUSSEIN akarusha SCUD missles...
Kwa kule Gaza walizunguka zunguka tangu kurudisha mateka mpaka kuwahamisha wapalestina na kuifuta Hamas,Katika malengo yote hayo hakuna kilichofanikiwa imebaki kuua raia tu wanaowategeshea...
Taarifa ya vyombo vya Intelijensia vya Marekani imesema kuwa Shambulio la Marekani huko Fordow limerudisha mpango wa Iran wa Nyukilia miezi michache nyuma.
Imesema kuwa yale mabomu hayakupenya...
Wakuu niketafakari kidogo namna hawa wenzetu wanaosema America haja fanikiwa mission yake pale Iran. Naona niwakumbushe tu kuwa America ndiye aliifunua Hiroshima na Nagasaki juu chini au tuseme...
Hali ya kiusalama huko mashariki ya kati imeendelea kuwa tete.
Na hii ni kutokana na vita inayoendelea baina ya Israel na Iran. Mataifa hayo yenye nguvu kubwa za kijeshi ktk ukanda huo yameingia...
Ofisi ya waziri mkuu wa Israel imetangaza kuwa waziri mkuu Benjamin Netanyahu amekubali kusitisha mapigano na kwamba eti Israel imekamilisha malengo yote muhimu ya vita
Hii kauli imekuja baada ya...
“All imperialists are nothing but paper tigers.”
- Mao Zedong
Dunia itakumbuka jinsi siku ya Ijumaa 4, April, 2025 Trump alivyopandwa na wazimu.
Na kuongeza ushuru kwa kila taifa duniani hadi...
28m ago
Israel claims intercepting drones ‘apparently from Iran’
Live Update From the Liveblog of Tuesday, June 24, 2025
IDF downs 2 drones likely launched from Iran before ceasefire
By Emanuel...
Baada ya Mapinduzi dhidi ya SHAH 1979, wengi vijana ambao walikuwa na hadhi ya militants ambao wengi baada ya 1990s walikuwa na vyeo vya juu katika Jeshi la kimapinduzi ya IRAN.
Kizazi hicho...
Kwanza kabla Marekani hajashambulia Iran walitoa taarifa mapema na Iran ikahamisha vifaa vyote
Kabla ya shambulizi taarifa zilivuja hadi ndege zikianza kuruka at the Same time Iran walifahamu...
Henry Kissinger, aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Mshauri wa Usalama wa Kitaifa wa Marekani ambaye alikimbia Ujerumani ya Kinazi akiwa kijana na baadaye kuwa mmojawapo wa watu wenye ushawishi...
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, alikutana jana (Ijumaa, Juni 20) huko Geneva na mawaziri wa mambo ya nje kutoka nchi mbalimbali za Ulaya kujadili maendeleo ya kisiasa katika eneo...
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Seyed Abbas Araghchi, ameweka ujumbe hivi karibuni kwenye mtandao wa X akisema kwamba ikiwa Israel itaacha "uchokozi usio halali" Iran "haina nia ya kuendelea...
Swali hili linajitokeza mara kwa mara, hasa kwa kuzingatia ukweli kwamba Iran ina uhusiano wa karibu wa kisiasa na mataifa kama Urusi na Korea Kaskazini, ambayo yenyewe ni mataifa yenye silaha za...
Serikali ya Israel inasema imekubali pendekezo la Donald Trump la kusitisha mapigano.
Katika taarifa, Israel inasema: "itajibu kwa nguvu kwa ukiukaji wowote wa usitishaji mapigano."
Serikali ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.