Hawa jamaa wana shida mahali kama sio kichwani basi huenda sio binadamu wenye roho na utu, walipanga shambulizi la kigaidi ndani ya Marekani ili waisingizie Iran ili kuleta mtafaruku zaidi kati ya...
Mwenza wa Waziri Mkuu wa Israel Sara Netanyahu ameutumia ukurasa wake wa Instagram kuwasilisha ujumbe wa upendo na amani kwa raia wa Iran kufuatia mgogoro unao endelea baina ya nchi hizo mbili...
Marekani imenyanyua tena "upanga wake wa viza", safari hii ukielekea kwa nguvu zaidi Afrika. Kwa mujibu wa vyombo vya habari vya Marekani vinavyoanika nyaraka za serikali, Rais Donald Trump...
KUWINDA MCHAWI kama huyo, kwa mtu ambaye ametoa mengi, siwezi kufikiria kwangu, "alisema Trump, akirejea usemi wa Netanyahu kuhusu kesi hiyo na yake kuhusu kesi za uhalifu na changamoto za...
Wanaukumbi.
⚡️🇮🇷JUST IN: Infographic of Iran’s strikes and targets during the 12 day war with Israel:
Strategic assets Iran targeted:
• Al-Jalil Base; Military base in the north
• Haifa Port
•...
Niaje waungwana
Hapo chini naorodhesha nchi ambazo si Marekani wala Israel itaweza kuthubutu kuingiza pua yake kuzivamia kijeshi kwa namna yoyote ile. Hii ni kutokana na uwezo mkubwa wa kijeshi...
Kwa kusitishwa kwa mapigano, Wairani wanashangaa kuendelea kutokuwepo kwa Khamenei Leo, 7:30 asubuhi 1 A Juni 14, 2025. (Picha na ATTA KENARE / AFP) Gazeti la New York Times linaripoti kuhusu hali...
Swali la Neuer lilirejelea hatima ya takriban wakimbizi wa Kiyahudi 850,000 waliokimbia au kufukuzwa kutoka nchi za Kiarabu na Iran kati ya miaka ya 1940 na 1970.
Akionyesha kwamba mataifa haya...
Waziri Mkuu wa Uhispania Sanchez wa Uhispania mapema leo amesema Gaza iko katika kile amekitaja kuwa "hali mbaya ya mauaji ya halaiki" na ameutaka Umoja wa Ulaya kusitisha mara moja mpango wake wa...
Vita iliyo anzishwa na Netanyau kwa lengo la kumuangusha Ayatollah imekuwa kinyume chake na inaenda kumnufaisha kisiasa.
Nadhani ulimwengu wa kimagharibi utakuwa umeshangazwa,kufadhaishwa...
Naweza nikathibitisha ya kwamba jeshi la ufaransa lilizuia drones 10 zilizorushwa na jeshi la Iran katika operesheni yao ya kushambulia Israel siku kadhaa zilizopita kupitia mifumo yetu ya ulinzi...
Iran’s Supreme Leader Khamenei to speak in video message soon
By Reuters
Today, 12:56 pm
Iran’s Supreme Leader Ayatollah Ali Khamenei will speak within the next few minutes in a video message...
Kwamba Iran ikae kwa kutulia Sasa, iache hayo mawazo maana imesambaratishwa kwa moto...
US President Donald Trump says he will strike Iran again if it tries to restart its nuclear enrichment...
Ex-President of Iran (2005-2013) Mahmoud Ahmadinejad , peacefully herding sheep after he resigned as president.
The ex-president renounced his presidential pension, returned to teach at the...
Kwa kule Gaza walizunguka zunguka tangu kurudisha mateka mpaka kuwahamisha wapalestina na kuifuta Hamas,Katika malengo yote hayo hakuna kilichofanikiwa imebaki kuua raia tu wanaowategeshea...
Wanaukumbi.
Bunge la Iran limepitisha muswada wa kusimamisha ushirikiano na Shirika la Kimataifa la Kudhibiti Nguvu za Atomiki, IAEA. hatua iliyochukuliwa kufuatia vita kati ya Israel na Jamhuri...
Kwa wanaofuatilia siasa za Mozambique, hali ni mbaya kwa chama tawala cha Frelimo pamoja na serikali iliyoko madarakani. Baada ya uchaguzi kuisha na serikali kujitangaza kushinda kwa wastani wa...
80% ya nchi ya Jordan ni sehemu ya iliyokuwa BRITISH MANDATE OF PALESTINE kabla ya wayahudi kurudi kwao. Kwanini leo hamas ahangaiki kuikomboa Jordan?
Ndio hapo utakapogundua itikadi ndio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.