Now THAT's how to deal with scroungers: Putin installs TAX on unemployed who REFUSE work
RUSSIA is planning a 'parasite tax' which will fine unemployed people who refuse work.
G
Jobless...
AN UNMANNED space plane has been orbiting the Earth for almost a year and the public still has not been told exactly what it is doing up there.
Theories about what the US military’s X-37B is...
Wakuu, ninatarajia kuhamia Lebanon(Beiruti) hivi kalibuni. Nilitaka kujua
1. Visa zao unapatia wapi?
2.Ubaguzi ukoje huko?
3.Magari gani ni popular huko kusudi nisihangaike na spear parts...
Ni kawaida kwenye Mabunge mbalimbali duniani kuona Wabunge wametolewa nje au wenyewe wametoka nje lakini ni nadra sana kusikia Waziri mkuu kazingua bungeni na kusababisha Spika kuamuru atoke nje...
BRASILIA (Reuters)
Brazil's Senate voted on Thursday to put leftist President Dilma Rousseff on trial in a historic decision brought on by a deep recession and a corruption scandal that will...
Ukiwa msomaji mzuri wa kituo cha habari cha urusi cha sputink news unaweza kudhani ni Russia pekee ndie anatengeneza silaha mpya wenzie wamelala tu, kumbe sivyo, nimeitafuta habari hii ya karibu...
Jaji mmoja nchini Afrika ya Kusini amezua mtafaruku baada ya maneno yake makali aliyoyatoa kwenye mtandao wa facebook kuwekwa hadharani.
Jaji Mabel Jansen wa Afrika kusini amenukuliwa akisema...
Whats PANAMA PAPERS ?
The Panama Papers represent the latest leak of confidential documents. How much data has been leaked in the Panama Papers? A lot — the leak is said to be even larger than...
Takriban watu 50 wamefariki kufautia mafuriko na maporomoko ya ardhi yaliosababishwa na mvua kubwa katika baadhi ya maeneo Ethiopia.
Taifa hilo la upembe wa Afrika linakabiliwana ukame mbaya...
Ni kawaida kwenye Mabunge mbalimbali duniani kuona Wabunge wametolewa nje au wenyewe wametoka nje lakini ni nadra sana kusikia Waziri mkuu kazingua bungeni na kusababisha Spika kuamuru atoke nje...
WANASIASA nchini Uswisi wamepitisha sheria ya kuwalipa fidia waliokuwa watoto waliotumikishwa kazi ngumu wajulikanao kama Verdingkinder.
Chini ya sheria ambazo zilikuwapo hadi miaka ya 1980...
Nchi ya Rwanda itakuwa mwenyeji wa Mkutano wa 26 wa taasisi ya World Economic Forum(WEF) on Africa kuanzia Jumatano hii tar.11 hadi Ijumaa tar.13,May 2016. Theme ya mwaka huu ni Digital...
May 10, 2016 at 3:09 pm
By Jean de la Croix Tabaro
Kigali city Mayor Monique Mukaruriza (l) hands a plaque to Kobe city mayor
Kobe city in Japan has started recruiting over 1000 ICT engineers...
Nimekuwa nafuatilia mtanange wa UK kutaka kujitoa katika umoja wa ulaya kwa kuitisha kura ya maoni nchini mwao, Brexit.
Ingawa mpaka sasa sijajua sababu kubwa ya maana ambayo inaifanya UK...
Rais wa Zimbabwe Bw. Robert Mugabe amepigwa kibao hadharani na mkewe Grace Mugabe. Mlinzi wa rais huyo amemlaumu Grace kwa kitendo hicho cha kumpiga Mh Mugabe hadharani na kudai kuwa alipaswa...
Mchakato wa kumn'goa raisi Dilma Ruseff madarakani ulioanza tar 17 mwezi uliopita jana ulichukua sura mpya baada ya kaimu spika wa bunge la wawakilishi kubatilisha kura iliyopigwa na bunge hilo...
US President Barack Obama is to visit Hiroshima this month - the first serving president to travel to the Japanese city, which was hit by a US nuclear attack in 1945.
The visit will be part of an...
LONDON (Reuters) - British Prime Minister David Cameron was caught on camera telling Queen Elizabeth on Tuesday that leaders of some "fantastically corrupt" countries, including Nigeria and...
YANAYOENDELEA REPUBLICAN BAADA YA TRUMP KUKOSA WA KUMZUIA.(JAMAA WANADHIHIRISHA DEMOCRACY HAPA TZ WANAKUKATA JUU KWA KWAJU NA KUMUWEKA WAO)
Na:Joseph Mshinga.
1.Wapinzani wa Donald Trump...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.