Marekani inatengeneza Air Defense mpya kama ya Russia

Apr 23, 2016
67
195
Ukiwa msomaji mzuri wa kituo cha habari cha urusi cha sputink news unaweza kudhani ni Russia pekee ndie anatengeneza silaha mpya wenzie wamelala tu, kumbe sivyo, nimeitafuta habari hii ya karibu miezi miwili nyuma ili uweze kupata mantiki ya hoja yangu

Kuna mtu mmoja amerusha uzi hapa ndani nadhani jana ama leo akisifu kuwa russia imedondosha kitu kipya new air defense syystem inayoweza kushushwa na parachute ili iwalinde wanajeshi wa russia, mfano wa silaha hii imeonyeshwa kwenye siku ya victory parade moscow juzi

Sasa lengo langu ni kuwaonyesha wenye kupenda kuelewa na wale wenye mlengo wa kati kuwa silaha hii mpya ya russia tayari US ARMY ilishaitengeneza muda na sasa ipo kwenye majaribio, inaitwa Integrated Fire Protection Capability Increment 2-Intercept, hii air defense sytem kama ilivyo ile ya russia kazi yake ni kuvilinda vikosi vya ardhini na cruise missiles, aircraft, drones, na artilery fire, hivyo ni kitu kile kile, labda maelezo pekee ambayo hayakutolewa na jeshi la marekani ni ile ya russia kuwa parachuted kwa vikosi jambo ambalo linaeleweka maana karibu air defense system zote huwa mobile, unaweza kuziamisha jinsi unavyotaka

Kwa dunia ya leo hasa haya mataifa makubwa, mmoja hawezi kutengeneza kitu ambacho mwenzie hawezi labda tu awe hajaona umuhuimu wa kutengeneza

Nawashauri mjifunze kusoma habari za pande zote mtafaidika sana, media za kimarekani na kirusi zina propaganda sana ni vizuri ukawa una compare habari, zote zinaponda upande mwingine na kujisifia,

MUNGU AWAPE HEKIMA ZAIDI YA KUPAMBANUA


RANGE, N.M., April 28 (UPI) -- The U.S. Army has been conducting a series of tests on the capabilities of a new air defense system in development.

The system is called the Integrated Fire Protection Capability Increment 2-Intercept, or IFPC Inc 2-I, which is to protect soldiers from aircraft, cruise missiles, unmanned aerial systems, and artillery weapons, including rockets and mortars.

"If you go back and take a look at what has happened in terms of the threat over the last couple years you'll find that UAS systems and cruise missiles have really become a problem," said Col. Terrence Howard, program manager for Cruise Missile Defense Systems. "So we've got to introduce materiel solutions that can address multiple threats."

The IFPC Inc 2-I system under Army development is to integrate into the Army Integrated Air and Missile Defense system, or AIAMD, a networked air defense control system also currently going through testing at White Sands Missile Range in N.M., for a plug-and-fight capability using multiple systems and radars on a network to address whatever threat situation is encountered.

Several tests of IFPC Inc 2-I were held this month and last to demonstrate the system's ability to launch various missile types and its ability to connect to the AIAMD system and use its Integrated Battle Command System.

The IBCS is a computer system that allows a small number of soldiers to better manage and control a complex air defense network composed of different radars and missile systems.

"(It's about) integration of a lot of existing capability," said Tamera Adams, chief engineer with the Army's Cruise Missile Defense Systems projects. "It's kind of like if you're trying to put together a new stereo system in your house. You're buying speakers from this vendor, a turntable from another and a DVD player from another. You're trying to put them together to get the best capability for your house."

The Army's Multi-Mission Launcher, or MML, mounted onto a truck, is a visible feature of the new IFPC Inc 2-I. The launcher carries 15 modular missile launch tubes on a turret system. Tubes of the MML enable allow customization of the missile load.

During the testing of the system, Hellfire Longbow and AIM-9X Sidewinders utilizing the IBCS and sensor data from a Sentinel radar unit have been fired, The MML has also conducted a ballistic test of the Miniature Hit-to-Kill missile for use against rocket, artillery and mortar threats, the Army said.

IFPC Inc 2-I is a joint collaborative effort between the Army's Program Executive Office for Missiles and Space's Cruise Missile Defense Systems Project Office and the Army Aviation and Missile
 
Specifications zake, hiyo integrated air defense system...
Inauwezo gani wa ku intercept, maximum range ni km/miles ngapi?
 
Pastor umekua kama mkombozi kwenye jukwaa hili, tumepotoshwa kwa Muda mrefu na baadhi ya watu kwa maksudi kabisa kwa malengo ya ushabiki, nondo zako ni za uhakika na zimefanyiwa utafiti wa kina

Nimebarikiwa
Yule dogo alieleta habari ile ya Russia Mandela kwetu aliona ameleta bonge la uzi kumbe hana utafiti wa kutosha, hakujua kumbe marekani ameshatengeneza hiyo silaha na ipo kwenye majaribio

Pastor yako vizuri up stairs
 
Yule dogo alieleta habari ile ya Russia Mandela kwetu aliona ameleta bonge la uzi kumbe hana utafiti wa kutosha, hakujua kumbe marekani ameshatengeneza hiyo silaha na ipo kwenye majaribio

Pastor yako vizuri up stairs
katika air defence Russia yuko juu kuliko marekani.
Ile aliyoweka yule jamaa ni ndogo sana kulinganisha na zilizopo na pia wanaunda electronic air defence ambayo inaweza kujamm satelite na missile guidance system,bila satelite jeshi la marekani linajikuta kama mtu anayepigana huku katobolewa macho
 
The Krasuha-4 EW system. Source: Press photo
In the conditions of modern warfare, weapons on the battlefield decide a lot, but not everything. If, in the past, victory was ensured by rapid-fire rifles or cannons, now armies are equipped with systems that can incapacitate any, even the most powerful weapon, not even allowing the enemy to use it.
Electronic warfare (EW) systems are not at all inferior to direct impact weapons in terms of efficiency, but unlike cannons and missiles, they destroy not the enemy's manpower and equipment, but its "nervous system" – systems of control, guidance and surveillance.
 
kret_put_krasuhi_for_the_armed_forces_laki5054_tlc_1000.jpg
.
Krasuhi electronicwarfare system
 
Elungata teremsha mambo... naona wanazidi kuumia upande wa pili...ila angalia tu usiendenao speed kali wakaendelea kupata anxiety disorders
Huyu elungata akishaingia kwenye mada wenye akili zetu tunatoka, ni mpishi mzuri sana wa facts, anaeleza upuuzi mtupu

Ngoja tuwaache wavuta bangi waendelee
 
Back
Top Bottom