nyengo
JF-Expert Member
- Oct 27, 2010
- 454
- 185
Wakuu, ninatarajia kuhamia Lebanon(Beiruti) hivi kalibuni. Nilitaka kujua
1. Visa zao unapatia wapi?
2.Ubaguzi ukoje huko?
3.Magari gani ni popular huko kusudi nisihangaike na spear parts,
na uingizaji wa magari kutoka chi nyingine(used car) ukoje.
Magari ya zaidi ya umri gani hayaruhusiwi?(Hapa Tanzania magari zaidi ya miaka 10 hayaruhusiwi)
4. Shule zao zikoje
5.Maeneo yepi ya kuishi ni mazuri
6. Mambo yepi ya tahadhari
7. Na mengine mengine tafadhali nijulishwe