Mkutano wa World Economic Forum for Africa unafanyika Kigali-Rwanda

Ki Mun

JF-Expert Member
Oct 6, 2014
3,443
4,386
Nchi ya Rwanda itakuwa mwenyeji wa Mkutano wa 26 wa taasisi ya World Economic Forum(WEF) on Africa kuanzia Jumatano hii tar.11 hadi Ijumaa tar.13,May 2016. Theme ya mwaka huu ni Digital Transformation.

Bila shaka Rais Magufuli ana taarifa juu ya Mkutano huu muhimu kwa ajili ya kukuza mashirikiano kati ya sekta binafsi na serikali...swali langu: Je,atahudhuria au atapotezea?Na ikiwa hatahudhuria,ataendelea kuikimbia mikutano muhimu na mikubwa ya kimataifa hadi lini?

===============

Rwanda will host the 26th annual World Economic Forum on Africa starting Wednesday. Promoting innovation will be high on the agenda.

Leaders from ten African countries are expected at the forum this week in Kigali.

The goal of the World Economic Forum is to promote public-private partnership. And the theme of this year’s event in Africa is digital transformation, says forum spokesperson, Oliver Cann.

“What we are seeing at the moment is a whole change in the global economy. New technologies and new disruptive forces really have drastic effects on jobs, on businesses,” Cann says.

More than 1,500 delegates from global and regional corporations are expected to attend the May 11-13 meeting.

Cann says the top item on the forum’s “to do list” will be tackling obstacles to development.
“We need to improve education. It is not good enough. I believe the World Bank estimates that 70 percent of Africans leave school without the basic skills they need to compete. We need to create an environment where entrepreneurs can thrive and prosper. We need to tackle corruption once and for all. It is a perennial problem. It is a big one,” Cann said.

Economic slowdown

The forum comes amid a stark economic slowdown in Africa. The global drop in price of oil and other commodities have hit some countries, like Nigeria, hard.

Emmanuel Nnadozie, executive secretary of the African Capacity Building Foundation, said Africa needs to better protect itself from negative global trends.

“Well of course, the key issues will be how to ensure that African countries insulate themselves more and more from global economic shocks. In particular, when you have deterioration in the price of primary commodities, which is actually the origin of the current downturn that the continent is experiencing at this point in time,” Nnadozie said.

The International Monetary Fund reported earlier this month that growth in sub-Saharan Africa is expected to slow to a 16-year low. The Fund has called for a "substantial policy reset."

Source: voanews.com
 
Magufuli si nasikia anaenda Uganda kuhudhuria sherehe za kuapishwa m7!
 
Nchi ya Rwanda itakuwa mwenyeji wa Mkutano wa 26 wa taasisi ya World Economic Forum(WEF) on Africa kuanzia Jumatano hii tar.11 hadi Ijumaa tar.13,May 2016. Theme ya mwaka huu ni Digital Transformation.

Bila shaka Rais Magufuli ana taarifa juu ya Mkutano huu muhimu kwa ajili ya kukuza mashirikiano kati ya sekta binafsi na serikali...swali langu: Je,atahudhuria au atapotezea?Na ikiwa hatahudhuria,ataendelea kuikimbia mikutano muhimu na mikubwa ya kimataifa hadi lini?

Kwa taarifa zaidi:
World Economic Forum Opens Wednesday in Rwanda
Kaka atatumwa muwakilishi.si unajua kule kichaga hamna mwendo ni yai tu..
 
Duuh.. ila kuongoza binadamu kaz ngumu sana hawaishi malalamiko. Hata mwaka haujaisha mlikuwa mnasema JK amekuwa Vasco dagama. Sasa tumempata Rais ambaye hasafiri imekuwa tena nongwa...chaaa..kuna mijitu mingine ni zaidi ya vibuyu...:(:mad:
 
Yan world economic forum, issue sio lugha tu, inabidi vitu viwe kichwan, tena vitu vingi, sasa mkuu wetu mkemia, na mambo ya uchumi wapi na wapi, bora asiende kabisa tusije kudhalilika, kwanza hata huu urais bado mambo hajayazoea.
Kagame mwenyewe kama umeshamsikiliza ni mzoefu sana wa hizo economic forums, lakin ni kama anabebwa na experience ya muda mrefu.
 
Kwangu mimi mikutano hii ya World Economic Forum na ule wa Big Results Now naihesabu kama moja ya mikutano ya ovyo iliyowahi kufanyika hapa nchini. Iliandaliwa makusudi kwa ajili tu ya wakubwa kutengeneza pesa, haikuwa na chochote cha maana ila iliitishwa kishikaji kwa viongozi wa juu wa serikali kujitafutia ujiko.

Wakati wa mkutano wa WEF wamarekani akina Andrew Young, Jesse Jackson na wengine maarufu walijazana Dsm kibao lakini baada ya wao kuondoka sikuwahi kusikia hiyo WEF ikitajwa na Big Results Now yenyewe ilifanywa ngojera, tumeiimba wee lakini haina chochote cha maana. Yote tuliyotamanishwa yalibaki kwenye kapeti ya ukumbi wa mikutano.
 
Nchi ya Rwanda itakuwa mwenyeji wa Mkutano wa 26 wa taasisi ya World Economic Forum(WEF) on Africa kuanzia Jumatano hii tar.11 hadi Ijumaa tar.13,May 2016. Theme ya mwaka huu ni Digital Transformation.

Bila shaka Rais Magufuli ana taarifa juu ya Mkutano huu muhimu kwa ajili ya kukuza mashirikiano kati ya sekta binafsi na serikali...swali langu: Je,atahudhuria au atapotezea?Na ikiwa hatahudhuria,ataendelea kuikimbia mikutano muhimu na mikubwa ya kimataifa hadi lini?

Kwa taarifa zaidi:
World Economic Forum Opens Wednesday in Rwanda

Nn faida yake kama akienda rais au kutuma wawakilishi wake Wa masuala ya uwekezaji na uchumi?
 
Nchi ya Rwanda itakuwa mwenyeji wa Mkutano wa 26 wa taasisi ya World Economic Forum(WEF) on Africa kuanzia Jumatano hii tar.11 hadi Ijumaa tar.13,May 2016. Theme ya mwaka huu ni Digital Transformation.

Bila shaka Rais Magufuli ana taarifa juu ya Mkutano huu muhimu kwa ajili ya kukuza mashirikiano kati ya sekta binafsi na serikali...swali langu: Je,atahudhuria au atapotezea?Na ikiwa hatahudhuria,ataendelea kuikimbia mikutano muhimu na mikubwa ya kimataifa hadi lini?

Kwa taarifa zaidi:
World Economic Forum Opens Wednesday in Rwanda
WHY ATTEND? MBONA MMEKOMALIA KUHUDHULIA, YEYE SI MTAALAMU WA DIGITAL WORLD, ANATUMA WATAALAMU WAKE WANAMPA RIPOTI NA ANAFUATILIA KWENYE MAGAZETI YANAYOAMINIKA DUNIANI MAANA YATARIPOTI MKUTANO HUO.
 
Makamu wa Rais, Mhe. Samia Suluhu yupo Kigali kuhudhuria mkutano huo. Tanzania inawakilishwa vema.
 
Tutajie kwanza lugha itakayotumika.
Lugha si lolote si chochote dunia ya leo kinachoangaliwa ni content of the information delivered, kuna wakalimani kibao , mwenye shida na rersource au uwekezaji tanzania hatajali lugha. ataangalia anatafuta nini, shida yenu watanzania exposure hamna, wachina wanatembea nchi zote duniani lakin wanaongea kichina, wamekuja tanzania wakaanzisha magereji mbona mlikimbilia kupeleka magari yenu kupaka rangi, mliongea na wachina au wabongo wenzenu?? acheni hizo. Tangu tupate uhuru marais wawili ndiyo wametikisa dunia , nyerere na magufuli.Nyerere alikuwa njema kwa ngeli na magufuli je but still magufuli ameweza ku-shine akiwa hata hajavuka mipaka ya nchi yake.Acheni lojolojo hizo. Lugha haina issue ktk utendaji. Magu ni mtendaji si wa propaganda is scientist president. Shida ya watanzania wengi tuna ule ushamba wa kijijini, tangu tulipovutwa na mwalimu nyerere kuja mjini kusoma bado tunaendeleza ushamba, na hautusaidii, tutoke tukaone wenzetu wanafanya nini huko duniani, brazil wanatuuzia sukari wanajua kiingereza???, tunaingiaje mikataba nao, wajapani je???
 
Kingledha kinatupa shida na rasi simba hajamaliza mafunzo,mwanafunzi kagoma kuelewa

Ni upuuzi kuutukuza uzungu na kuukataa utamaduni wako, hawa ni sehemu ya wale wanaopeleka watoto wao intl ili wajue kingereza, wanahisi dunia inahitaji ingereza kumbe hovyoooo! nchi zote zilizoendelea (developed countries) wanatumia Lugha zao and feel proud of it (CHINA, FRANCE GERMANY ETC) akili za watanzania ziko mgongoni!
 
Back
Top Bottom