Hii ni picha chini ya Gorilla au Sokwe aliyejulikana kwa jina ,,Bantu" huko nchini Mexiko amefariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo!
Hahaha Wazungu bhana yaani katika majina yooote wameamua kumpa huyu...
Wakuu,
Baada ya sikuku ya wenzetu waislam nimekuwa nikifirkia hichi kitu kwa muda mrefu...
Hivi kuna faida gani kwa nchi zetu za Africa kuwa wanachama kwenye UN?Matatizo mengi tuliyonayo Africa...
Since its commercial introduction in 2007, the Airbus A380 has brought a long-lost sense of glamour back to travel. Its first-class cabins feature private showers and buttery leather armchairs. It...
Wengi walikuwa wakisafiri baada ya mwisho wa mfungo wa Ramadhan
Watu 12 wamefariki nchini Indonesia kutokana na foleni ya magari iliyosababisha mamilioni ya watu kukwama barabarani siku kadha...
Pound Overtakes Argentine Peso to Become 2016’s Worst Performer
Marianna Duarte De Aragao aragaomarianna
July 8, 2016 — 12:51 PM AST Updated on July 8, 2016 — 6:58 PM AST
British Pound Stops...
Europe's banks have been a focal point of investor skittishness since Britons voted to leave the European Union, but reasons to be worried about financial firms pre-date the referendum.
Whether...
Hili wimbi la kufanyia vitendo vya chuki na kuuwa watu weusi linaendelea, kutoka India, hadi Marekani na sasa Italia
Polisi nchini Italia wamemtia mbaroni mwanamme mmoja anayeshukiwa kumpiga...
Mamia ya watu watavua nguo zao na kupigwa picha wakiwa tupu kusherehekea utamaduni katika mji wa Hull, Uingereza. Tukio hilo litakuwa la kusherehekea mji huo kama Mji wa Utamaduni. Washiriki...
Hatimaye Tume ya Uchunguzi chini ya Sir John Chilcot, imemtia hatiani Tony Blair kwa kuliiingiza vitani taifa la Uingereza kwa misingi hafifu na ya uongo.
Chilcot Report imesema
1 Hakukuwa na...
Mameya wawili wa zamani wa Rwanda wamehukumiwa kifungo cha maisha jela mjini Paris kutokana na kuhusika kwao na mauaji ya kimbari yaliyotekelezwa mwaka 1994.
Octavio Ngenzi na Tito Barahira...
BOMBA la Mafuta la Afrika Mashariki kutoka Kabale, Uganda mpaka Bandari ya Tanga, litafanya kazi kwa miaka 27 bila kusimama hata kama kiasi zaidi cha nishati hiyo hakitagundulika, imefahamika...
Muhammadu Buhari wa Nigeria
Alisoma Shule ya msingi Daura na Mai’adua huko Katsina State, Nigeria Kaskazini. Na kisha kujiunga na shule ya Katsina Model mwaka 1953, na badae sekondani ya...
This poor woman is one of about 20 people now in prison in Hong Kong after being tricked by the Nigerian Drug Gang operating at Dubai Airport (June 28)
She hopes her story will help prevent...
wale washabiki wa Hillary soma hapa
Posted on Jul 5, 2016 @ 12:34PM
Hillary Clinton was so worried about having her dirty laundry aired out during her time as Secretary of State, the...
Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu has denied any knowledge of an assassination attempt on his life during his visit to Kenya.
Speaking while in Addis Ababa, Netanyahu stated that he...
Mahakama moja nchini Italia imewaachia huru waandishi wawili wa habari za uchunguzi waliokuwa wakishitakiwa kwa kuchapisha nyaraka za siri zilizoibwa zinazohusiana na kashfa ya rushwa katika makao...
D.Trump!
Mpaka sasa hvi D.Trump anaongoza kwenye kura zote za maoni huko USA hivyo kuna dalili kwamba atashinda uchaguzi kwani Wamarekani wameshachoka na Uongozi wa kisanii wa akina Obama...
Hofu, woga, ubabe ndio maisha ya dunia yetu ya sasa, asietakiwa kupata haki kaekewa ukuta wa kuzuia haki isimfike, na mwenye kujiona ana haki kajizingirishia ukuta ili haki isitoke, ila kiukweli...