Yusomwasha
JF-Expert Member
- Dec 5, 2014
- 2,092
- 838
Kuna duru zinadai.kuwa israel ilihusika kwa namna zote katika mashambulizi ya kigaidi yalotokea madina
kwa nini hawa jamaa wanatupiana shutuma badala ya kutafuta suluhisho la kudumu?Kuna jambo lolote baya likitokea Muslim kaacha kumsingizia Muisrael? Jibu Hakuna
kwa nini hawa jamaa wanatupiana shutuma badala ya kutafuta suluhisho la kudumu?
Mimi katika Maisha nimejifunza kwamba usitafute Mchawi bali tafuta njia Bora ya kutatua tatizo bila kutoa shutuma kwa mwenzako.
Hiyo ndiyo njia Bora ya kutatua tatizo.
another marijuana smokerUkiwa tu mwislamu tayari umepata cheti cha kulalama ovyo,Na ukipata tatizo hutaacha kulaumu Marekani,Au wanakombilia sasa hivi kwenye nchi wanazoziita wao MAKAFIRI Ambako wanafata maisha bora(nchi za magharibi),Israel au Wakristo hawawezi kuacha visingizio.ishakuwa desturi zao nasikia siku hizi wanaitwa WAZEE WA KULALAMA
Duru gani izo?..Na kwa nin i washambulie saudia?..for what sensible reason any way?Kuna duru zinadai.kuwa israel ilihusika kwa namna zote katika mashambulizi ya kigaidi yalotokea madina
na iraqKuna duru zinadai.kuwa israel ilihusika kwa namna zote katika mashambulizi ya kigaidi yalotokea madina
Mkuu hayo ni mapungufu yetu tivumiliane sawa bossUkiwa tu mwislamu tayari umepata cheti cha kulalama ovyo,Na ukipata tatizo hutaacha kulaumu Marekani,Au wanakombilia sasa hivi kwenye nchi wanazoziita wao MAKAFIRI Ambako wanafata maisha bora(nchi za magharibi),Israel au Wakristo hawawezi kuacha visingizio.ishakuwa desturi zao nasikia siku hizi wanaitwa WAZEE WA KULALAMA
Kuna duru zinadai.kuwa israel ilihusika kwa namna zote katika mashambulizi ya kigaidi yalotokea madina