Gorilla 'Bantu' dies in Mexico!

Gorilla 'Bantu' dies in Mexico!

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,584
Reaction score
27,838
Hii ni picha chini ya Gorilla au Sokwe aliyejulikana kwa jina ,,Bantu" huko nchini Mexiko amefariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo!

Hahaha Wazungu bhana yaani katika majina yooote wameamua kumpa huyu Sokwe jina la ,,Bantu", sasa kwa nini? Na huyu alikuwa ni Sokwe maarufu Mexiko nzima!

Marehemu Gorilla ,,Bantu" pichani
gorillaArtikelbild.jpg
Gorilla ,,Bantu" enzi za Uhai wake huko Mexico City!
r


Bantu the gorilla dies from cardiac arrest in Mexico City zoo
 
Back
Top Bottom