Mamia kupigwa picha za utupu Uingereza

M

MAGUFULI JEMBE

Member
Joined
Aug 23, 2015
Messages
89
Likes
39
Points
25
M

MAGUFULI JEMBE

Member
Joined Aug 23, 2015
89 39 25
Mamia ya watu watavua nguo zao na kupigwa picha wakiwa tupu kusherehekea utamaduni katika mji wa Hull, Uingereza. Tukio hilo litakuwa la kusherehekea mji huo kama Mji wa Utamaduni. Washiriki watapakwa rangi ya samawati Jumamosi na kisha wapigwe picha wakiwa katika maeneo mashuhuri jijini humo kama sehemu ya mradi uliopewa jina Sea of Hull.

Mradi huo unatekelezwa na mpiga picha Spencer Tunick na unadhaminiwa na taasisi ya Sanaa ya Ferens Art Gallery. Picha zitakazopigwa zitawekwa na kuoneshwa kwa umma wakati wa tamasha ya sanaa ya 2017 itakayoendelea kwa mwaka mmoja. Tunick, anayetoka New York, amewahi kufanya kazi kama hiyo kwingine.

Amewahi kupiga picha za watu wengi wakiwa uchi Sydney Opera House, Place des Arts mjini Montreal, Mexico City na mjini Munich nchini Ujerumani Germany. Bw Tunick amesema kazi zake “hugusia historia ndefu ya Sanaa ya utupu”. "Mavazi ni Sanaa ya mtu mwingine,” anasema. “Fashoni ni Sanaa.

Kwa kuondoa hilo (mavazi), nitakuwa nafanya kazi na usawa na maumbile katika umaridadi wake.” Watu karibu 2,000 wamejiandikisha kupigwa picha tangu wazo hilo litangazwe mwezi Machi. Baraza la mji wa Hull limesema baadhi ya barabara zitafungwa wakati wa shughuli hiyo Jumamosi asubuhi.

Chanzo: BBC

160331060700_tunick_bugil_640x360_afp_nocredit.jpg

Mamia ya watu watavua nguo zao na kupigwa picha wakiwa tupu kusherehekea utamaduni katika mji wa Hull, Uingereza.

Tukio hilo litakuwa la kusherehekea mji huo kama Mji wa Utamaduni.

Washiriki watapakwa rangi ya samawati Jumamosi na kisha wapigwe picha wakiwa katika maeneo mashuhuri jijini humo kama sehemu ya mradi uliopewa jina Sea of Hull.

Mradi huo unatekelezwa na mpiga picha Spencer Tunick na unadhaminiwa na taasisi ya Sanaa ya Ferens Art Gallery.

Picha zitakazopigwa zitawekwa na kuoneshwa kwa umma wakati wa tamasha ya sanaa ya 2017 itakayoendelea kwa mwaka mmoja.

Tunick, anayetoka New York, amewahi kufanya kazi kama hiyo kwingine.

Amewahi kupiga picha za watu wengi wakiwa uchi Sydney Opera House, Place des Arts mjini Montreal, Mexico City na mjini Munich nchini Ujerumani Germany.

Bw Tunick amesema kazi zake “hugusia historia ndefu ya Sanaa ya utupu”.

"Mavazi ni Sanaa ya mtu mwingine,” anasema.

“Fashoni ni Sanaa. Kwa kuondoa hilo (mavazi), nitakuwa nafanya kazi na usawa na maumbile katika umaridadi wake.”
120623141938_tunick_ring8_976x549_ap.jpg

Watu karibu 2,000 wamejiandikisha kupigwa picha tangu wazo hilo litangazwe mwezi Machi.

Baraza la mji wa Hull limesema baadhi ya barabara zitafungwa wakati wa shughuli hiyo Jumamosi asubuhi.

maringeni

maringeni

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2013
Messages
3,010
Likes
3,331
Points
280
maringeni

maringeni

JF-Expert Member
Joined Oct 8, 2013
3,010 3,331 280
Katika habari zooote umeona hii ndio habari !!
Jitathmini na imani yako ya dini kama ipo
 
chinchilla coat

chinchilla coat

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2016
Messages
3,708
Likes
7,297
Points
280
chinchilla coat

chinchilla coat

JF-Expert Member
Joined May 16, 2016
3,708 7,297 280
160331060700_tunick_bugil_640x360_afp_nocredit.jpg

Mamia ya watu watavua nguo zao na kupigwa picha wakiwa tupu kusherehekea utamaduni katika mji wa Hull, Uingereza.

Tukio hilo litakuwa la kusherehekea mji huo kama Mji wa Utamaduni.

Washiriki watapakwa rangi ya samawati Jumamosi na kisha wapigwe picha wakiwa katika maeneo mashuhuri jijini humo kama sehemu ya mradi uliopewa jina Sea of Hull.

Mradi huo unatekelezwa na mpiga picha Spencer Tunick na unadhaminiwa na taasisi ya Sanaa ya Ferens Art Gallery.

Picha zitakazopigwa zitawekwa na kuoneshwa kwa umma wakati wa tamasha ya sanaa ya 2017 itakayoendelea kwa mwaka mmoja.

Tunick, anayetoka New York, amewahi kufanya kazi kama hiyo kwingine.

Amewahi kupiga picha za watu wengi wakiwa uchi Sydney Opera House, Place des Arts mjini Montreal, Mexico City na mjini Munich nchini Ujerumani Germany.

Bw Tunick amesema kazi zake “hugusia historia ndefu ya Sanaa ya utupu”.

"Mavazi ni Sanaa ya mtu mwingine,” anasema.

“Fashoni ni Sanaa. Kwa kuondoa hilo (mavazi), nitakuwa nafanya kazi na usawa na maumbile katika umaridadi wake.”
120623141938_tunick_ring8_976x549_ap.jpg

Watu karibu 2,000 wamejiandikisha kupigwa picha tangu wazo hilo litangazwe mwezi Machi.

Baraza la mji wa Hull limesema baadhi ya barabara zitafungwa wakati wa shughuli hiyo Jumamosi asubuhi.
 
M

mwayena

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2016
Messages
1,530
Likes
1,373
Points
280
M

mwayena

JF-Expert Member
Joined Apr 21, 2016
1,530 1,373 280
dunia ina mambo!!!!
 
B

bumboshabani

Member
Joined
Jun 14, 2016
Messages
12
Likes
7
Points
5
Age
42
B

bumboshabani

Member
Joined Jun 14, 2016
12 7 5
Jamani hizi tamaduni zingine tuziangalie na athari zake kwani Dunia ss ipo kiutandawazi kwani zamani watu wazima wakiwa watupu kulikua hakuna shida hawakujua kinachoendelea na hata walijua lkn walikua wanafanya kwa nidhamu ya hali ya juu sana enzi zile.
 
Sexer

Sexer

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2014
Messages
4,224
Likes
2,534
Points
280
Sexer

Sexer

JF-Expert Member
Joined Oct 22, 2014
4,224 2,534 280
imageuploadedbyjamiiforums1467982002-753511-jpg.364213

Tunick anasema hiyo ni sanaa halisi
Mamia ya watu watavua nguo zao na kupigwa picha wakiwa tupu kusherehekea utamaduni katika mji wa Hull, Uingereza.
Tukio hilo litakuwa la kusherehekea mji huo kama Mji wa Utamaduni.
Washiriki watapakwa rangi ya samawati Jumamosi na kisha wapigwe picha wakiwa katika maeneo mashuhuri jijini humo kama sehemu ya mradi uliopewa jina Sea of Hull.
Mradi huo unatekelezwa na mpiga picha Spencer Tunick na unadhaminiwa na taasisi ya Sanaa ya Ferens Art Gallery.
Picha zitakazopigwa zitawekwa na kuoneshwa kwa umma wakati wa tamasha ya sanaa ya 2017 itakayoendelea kwa mwaka mmoja.
Tunick, anayetoka New York, amewahi kufanya kazi kama hiyo kwingine.
Amewahi kupiga picha za watu wengi wakiwa uchi Sydney Opera House, Place des Arts mjini Montreal, Mexico City na mjini Munich nchini Ujerumani Germany.
Bw Tunick amesema kazi zake “hugusia historia ndefu ya Sanaa ya utupu”.
"Mavazi ni Sanaa ya mtu mwingine,” anasema.
“Fashoni ni Sanaa. Kwa kuondoa hilo (mavazi), nitakuwa nafanya kazi na usawa na maumbile katika umaridadi wake.”
imageuploadedbyjamiiforums1467982043-447949-jpg.364214

Watu wakipigwa picha wakiwa uchi New York
Watu karibu 2,000 wamejiandikisha kupigwa picha tangu wazo hilo litangazwe mwezi Machi.
Baraza la mji wa Hull limesema baadhi ya barabara zitafungwa wakati wa shughuli hiyo Jumamosi asubuhi.
 
Ghosryder

Ghosryder

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2014
Messages
9,346
Likes
2,310
Points
280
Ghosryder

Ghosryder

JF-Expert Member
Joined Jul 6, 2014
9,346 2,310 280
Kwani kwenu huko? Waacheni watu na maisha yao so far hawajakulazimisha na wewe uvue nguo. Hapo utawasikia wale wafuga ndevu wanalalamika wakati sio kwao.
 
Jay One

Jay One

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2010
Messages
12,010
Likes
6,138
Points
280
Jay One

Jay One

JF-Expert Member
Joined Nov 12, 2010
12,010 6,138 280
Nzuri sana hii kuchagua mchumba.. sbb hutauziwa mbuzi kwenye gunia..!!
 
SHAMMA

SHAMMA

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2015
Messages
27,112
Likes
77,234
Points
280
SHAMMA

SHAMMA

JF-Expert Member
Joined May 23, 2015
27,112 77,234 280
Kwani kwenu huko? Waacheni watu na maisha yao so far hawajakulazimisha na wewe uvue nguo. Hapo utawasikia wale wafuga ndevu wanalalamika wakati sio kwao.
Hahaha mnapenda kuvimba na visivyo wahusu, kwani nimewazuia?
 
Forum statistics

Threads 1,239,181
Members 476,441
Posts 29,344,923