masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,196
- 13,837
Hatimaye Tume ya Uchunguzi chini ya Sir John Chilcot, imemtia hatiani Tony Blair kwa kuliiingiza vitani taifa la Uingereza kwa misingi hafifu na ya uongo.
Chilcot Report imesema
1 Hakukuwa na Weapons of Mass Destruction, au silaha za maangamizii
2 UN , Umoja wa Mataifa haikukubaliana au kutoa kibali kuivamia Iraq
3 Iraq wakati huo haikuwa tishio kwa nchi za magharibi
4 Majeshi na vyombo vyabusalama vya UK havikuwa na matayarisho ya kuyosha kuingia vitani
5 Vita hiyobimesababisha vifo vya wanajeshi na raia karibia 400 wa Uingereza, raia 150,000(ni zaidi) wa Iraq wameuwawa na wengine milioni moja wamepoteza makazi.
Mbaya zaidi ripoti yenyewe imesema malengo ya vita hiyo hayakufikiwa na huko Mashariki ya kati pamekuwa mahali hatari zaidi binadamu kuishi.
Huko Uingereza wananchi waliofiwa huko Iraq wanataka Tony Blair ashitakiwe su apelekwe ICC.
My Take
Funzo kubwa sana la kujifunza katika maamuzi ya kiserikali, maamuzi yanayoweza kusahihishwa tu kwa kuweka mambo wazi.
Pili, imeonekana wazi jjjinsi ubeberubunavyoweza kuyumika vibaya kuzima nchi zinazojenga uwezo wa kuujiamini na kukua kijjeshi.
Ni vema Tanzania tulijue somohili.