Mameya wawili Rwanda wahukumiwa

Mameya wawili Rwanda wahukumiwa

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
6,623
Reaction score
8,427

140407235853_rwanda_genocide_commemoration_512x288_getty.jpg

Mameya wawili wa zamani wa Rwanda wamehukumiwa kifungo cha maisha jela mjini Paris kutokana na kuhusika kwao na mauaji ya kimbari yaliyotekelezwa mwaka 1994.

Octavio Ngenzi na Tito Barahira walikutwa na hatia ya uhalifu dhidi ya binadamu na pia kusaidia na kupanga mauaji ya watu wa jamii ya watutsi katika vijiji vyao upande wa Mashariki mwa Rwanda.

Ni kesi ya pili kuamuliwa nchini Ufaransa dhidi ya watu wanaotuhumiwa kushiriki katika mauaji hayo ya kimbari.Octavien Ngezi alikuwa Meya wa Kabarondo. Tito Barahira alikuwa mtangulizi wake katika nafasi hiyo.

Katika hukumu ndefu na ya kuchosha, wanasheria wa Ufaransa walifikia muafaka kuwa wanaume hawa wawili walichangia pakubwa katika mauaji ya kimbari katika eneo la Kabarondo mwezi wa April mwaka 1994.

Katika mauaji yaliyotekelezwa kwa ukatili mkubwa mamia ya wanaume, wanawake na watoto walichinjwa baada ya kutafuta hifadhi katika kanisa la kijiji.

Kwa miaka 22 Kesi ilikuwa ikiegemea katika ushahidi wa watu walioshuhudia, na upande wa utetezi ulijitetea kwa kusema kuwa baada ya kipindi hicho kirefu kumbukumbu zilikuwa si za kuaminika tena na kwa hivyo ushahidi huo si wa kufaa.

Watuhumiwa hao wawili muda wote waliendelea kusema kuwa walikuwa watazamaji wa tukio ambalo wasingeweza kusaidia lolote katika kilichotokea. Lakini mwisho mahakama ikahukumu kuwa walishiriki katika kupanga na kutekeleza mauaji yaliyolenga kumaliza watu wote wa jamii ya watutsi.

Sheria za ufaransa zinazipa haki mahakama za ufaransa kuhukumu makosa dhidi ya ubinadamu na mauaji ya kimbari hata kama makosa hayo yalitendeka nje ya ufaransa.

Miaka miwili iliyopita sheria hii ilitumika kwa mara ya kwanza kwa kumuhukumu mnyarwanda mwingine Pascal Simbikangwa afisa wa usalama ambayae naye alikutwa na hatia ya kushiriki katika mauaji ya kimbari.

Chanzo: BBC
 
jMali
 
Safi sana hatimaye haki imetendeka.
 
Mie wala sijakimbia... jana nilikuwa naangalia press conference ya Kagame na Netanyahu. Rais wenu alipigwa swali kuhusu demokrasia nikaona anajikanyaga kanyaga.
Wacha bwana. What is Democracy to you? Labda tuanzie hapo
 
Unaniuliza mimi tena.! Hilo swali aliulizwa rais wako akabakia kuweweseka tu mara mmmh... ahh... nakuanza kuelezea nchi zingine zinazomtuhumu kuuwa demokrasia nchini Rwanda.
Nimekuuliza wewe unaejua democracy utuelimishe sisi tusiojua
 
Mbona unakwepa? Angalia rais wako alivyonikanyaga hapo. Bahati nzuri aliyeuliza swali alikuwa ni muisraeli, angekuwa mnyarwanda habari ingekuwa nyingine sasa hivi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mbona unakwepa? Angalia rais wako alivyonikanyaga hapo. Bahati nzuri aliyeuliza swali alikuwa ni muisraeli, angekuwa mnyarwanda habari ingekuwa nyingine sasa hivi.
Simple question..dumb answer. Kama kawaida manake unaogopa debate. Tumeshakuzoea.
 
Wewe huwa nakuita Comical Ali
Comical Ali tena? Sisi tumeshamdhibiti paka, atawanyanyasa haohao aliowazoea. Kila mahali sasa ni shwari kabisa. Wakati mwingine wanapofungwa na kunyanyaswa viongozi wa zamani wa Rwanda ya Habyarimana, sisikitiki maana wanajitakia hayo yote.
 
Kwani ni debate hii? Nimekwambia muangalie rais wako alivyoshindwa kujibu swali la mwanahabari. Halafu zile IDs zako leo umezipumzisha?
Interahamwe wenzako wamepigwa life naona inakuuma unaanza kusingizia IDs za watu, Kagame hana haja ya kujibu unachotaka kusikia especially interahamwe like you
 
Back
Top Bottom