North Korea Special Forces martial arts training

Hebu angalia hawa ndiyo US MARINE SPECIAL FORCES wanadaiwa kuwa ndiyo THE BEST.
Kabondwa na CUBAN COMMANDO hadi basi, kibaya zaidi yeye ni Military instructor.
Teh!teh!teh! HollyWood makes some people really dumb.

Kipigo kingine cha mbwa mwizi kwa US MARINE COMMANDO hiki hapa. Kimetoka kwa COMMANDO mwenye asili ya Kirusi.

Hapa ndipo komando wa USA kapigwa vibaya sasa na Huyu wa British Royal Navy.
 
Aisee...
 
Hawa North Korea noma! Nahis hata Commando wa kibongo akiwaona anajificha!
Acha uongo wewe, hizo taikondo za hao vijana ndio znakuchanganya!? Tanzania ina maCDOs walioiva kwenye hand to hand kombat, pia wamejengeka na kukaa kikomandoo. We train with Israel special forces, Chinese tiggers, spetnaz, and cuban Commandos, lakini elewa kuwa mfumo wa mafunzo ya ukomandoo umekaribiana sana kwa nchi nyingi kwani level ya ukomandoo huwa ni ya joint training hivyo ubora hutegemeana na mfumo wa kijeshi wa nchi husika.

Kwetu hapa we train for level 3 ili kuwapata asikari watakaofuzu na kuingia ngazi ya kwenda nje kupata mafunzo ya pamoja na asikari wa nchi zingine.
NB: kigezo kikubwa cha kufuzu mafunzo ya CDO (commando) lazima ufuzu unarmed kombat martial arts za aina mbalimbali kutegemea na nchi mnayofanyia training.
 
Back
Top Bottom