aminiusiamini
JF-Expert Member
- Aug 25, 2011
- 3,577
- 2,224
Wakuu,
Baada ya sikuku ya wenzetu waislam nimekuwa nikifirkia hichi kitu kwa muda mrefu...
Hivi kuna faida gani kwa nchi zetu za Africa kuwa wanachama kwenye UN?Matatizo mengi tuliyonayo Africa yanatokana na UN na tasisi zake ndogo ndogo au nisema tasisi zilizoko kwenye migongo yake kwa mfano WB,WHO etc.
Nashindwa kuelewa uthubutu wa viongozi wetu wa kiafrica katika kufanya mambo kwa ajili ya vizazi vyetu ila wamekuwa vibaraka wa wazungu,je hili tunalionaje?Kuna mambo mengi tunayajua ambayo yameshatokea au yanatokea lakini viongozi wa kiafrica wapo kama hawapo hivi.
Nawakilisha hoja.