Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
D.Trump!
Sasa siajabu vyombo vya habari vya USA ambavyo vingi ni anti Trump vikatumia hili tukio kama chanzo cha kujaribu kummaliza kumuhusisha D.trump kwa namna moja au nyingine, kwamba yeye ni mbaguzi na anahusika na hayo mauaji, tutege masikio tutasikia mengi, kwani maelite hawataki D.Trump awe raisi wa USA, kwani D.Trump ameahidi kuzuia One World Governament project na kuiondoa USA NAFTA, kuondoa majeshi ya USA mahali ambapo hayahitajiki kuwepo, ameahidi kuitokomeza Isis mara moja, Isis kama ilivyo Al jkaida, Alshabaa, J.Koni, Boko haramu ambao wameundwa na kufadhiliwa na maelite wa USA kwa lengo la kudestabilize Dunia ili ajenda zao zifanikiwe!
Lyaikini Wamarekani wameshaamua wamechoshwa na uongozi wa kiisanii wa akina Obama, Clinton na sasa wanamtaka D.Trump!