Aliko Dangote, mtu tajiri zaidi barani africa, ana mpango wa kuinunua klabu ya Arsenal kutoka nchini Uingereza katika kipindi cha miaka minne
Dangote ambaye ni raia wa Nigeria ana thamani ya...
Mtandao wa Yahoo umethibitisha kuwa wadukuzi wamedukua taarifa za zaidi ya watumiaji milioni mia tano katika akaunti zake za watumiaji.
Hata hivyo Yahoo imesema inaamini kuwa shambulio la...
Kiongozi wa zamani wa waasi DRC anakabiliwa na mashtaka 18
Aliyekuwa kiongozi wa waasi katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Bosco Ntaganda ameanza kula baada ya kugoma kwa takriban wiki mbili...
One of Hollywood's highest profile marriages is over.
Angelina Jolie has filed for divorce from husband Brad Pitt, a source familiar with the filing confirmed to CNN.
Pitt and Jolie got married...
Mwalimu mmoja nchini Marekani anashutumiwa kwa kufanya mapenzi na mwanafunzi wake wa kiume mwenye umri wa miaka 14.
Richa ya mwalimu huyo kuwa mke wa mmoja ya mabosi wa taasisi hiyo ya elimu...
Wanawake kadhaa wamavua nguo zao nje ya bunge la ikiwa ni njia ya kupinga mapingamizi kadhaa dhidi ya wanawake.
Wanawake wanne walisema kuwa wanafanya kitendo hicho ili kushinikiza kuwepo kwa...
Rais wa Botswana kushoto Ian Khama na mwenzake wa Zimbabwe Robert Mugabe
Rais wa Botswana Ian Khama amemtaka mwenzake wa Zimbabwe Robert Mugabe kujiuzulu mara moja kulingana na chombo cha habari...
This is the largest corporate cash buyout in history. Mega-giant Bayer put US $ 66 billion on the table, and Mega-giant Monsanto said yes.
When you think of this merger, take into consideration...
Takriban watu 17 wamefariki nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kufuatia maandamano yanayomtaka rais Joseph Kabila kujiuzulu.
Watatu kati yao walikuwa maafisa wa polisi ambao mmoja wao...
Runinga ya taifa la Misri imempiga kalamu mkuu wa idara ya habari, Mostafa Shehata, baada ya mazungumzo yake na Rais Addul Fattah Al- Sisi kuonyeshwa kwa bahati mbaya, shirika la habari la AFP...
Wale wapenzi wa Mugabe mnaoshinda JF kumsifu hatimaye wazimbawe kila kukicha maandamano. Wanzibabwe wamemchoka Mugabe.Uchumi umeporomoka kwa kiwango cha "lami". Serikali taabani hadi kupunguza...
The Revenue Mobilization Allocation and Fiscal Commission, RMAFC, on Tuesday frowned on proposals by some prominent Nigerians for the federal government to sell the multi-billion dollar Nigeria...
Africa’s richest man, Aliko Dangote, has enumerated ways Nigeria can come out of the current recession ravaging the economy.
The business mogul in an interview with CNBC Africa, urged the Federal...
Rais wa Botswana Ian Khama amemshauri Rais Robert Mugabe kuachia ngazi bila kupoteza muda na kuruhusu uongozi wenye damu mpya uchukue madaraka.
Amesema kuwa uchumi wa Zimbabwe umekuwa kwenye...
Foster City residents Jon and Linda Grant stood outside the Tanzanian Embassy in Washington on Tuesday, warning others of their experience in the country and pleading with the Tanzanian ambassador...
Aliyekuwa rais wa zamani wa Marekani kupitia tiketi ya chama cha Republican George HW Bush amesema kuwa atampigia kura mgombea wa urais kupitia tiketi ya Democrat Hillary Clinton .
Bwana Bush...
1. North Korea ni kinyume na sheria kusoma biblia au quraan, na atakayefumwa akisoma vitabu hivyo vitakatifu adhabu yake ni kifo.
2. Hayaruhusiwi maongezi ya kawaida, baina ya mwanaume na...
Wa salaam wanajamvi.
Swali langu ni hili: Kwanini wamarekani weusi hulalamika wanapo kojolewa na wamarekani weupe, Ikiwa wao wenyewe hunyeana?
Hivi punde kumetokea mauaji ya kijana mweusi huko...
Samsung imeanza mchakato wa kuwafidia wateja walionunua simu hatari za Galaxy Note 7, kazi hiyo imeanza Uingereza na Ireland
Kampuni hiyo imedai kuwa imerekebisha tatizo la berti katika simu...