International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Raia wa USA walizoea kuangalia tu kwenye TV jinsi Jeshi lao linavyosurubu raia wa nchi nyingine oversees, sasa kama wenyewe wasemavyo chickens coming home to roost, baada ya raia wa USA aliyetokea...
2 Reactions
118 Replies
9K Views
Mahakama ya Gabon 'yahalalisha' ushindi wa Bongo Mahakama ya Katiba ya Gabon imeuthibitisha ushindi wa Rais Ali Bongo, ikitupilia mbali hoja ya mpinzani wake, Jean Ping, kwamba kiongozi huyo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Rais wa Zimbabwe akihutubia Mkutano kwa wajumbe wa UN Jana ameziomba nchi za Marekani,Uingereza na marafiki zao kwa ujumla kuondoa vikwazo vya kiuchumi na fedha kwa Wazimbabwe wanaoumia kila...
3 Reactions
41 Replies
4K Views
Polisi wamelinasa gari la aina yake linaloshukiwa lilitumika kurusha dawa za kulevya kutoka upande mmoja wa mpakani hadi mwingine, kati ya Arizona na Mexico. Kutokana na uimarishaji wa msako...
2 Reactions
21 Replies
5K Views
Kombora lililofyatuliwa na wanamgambo wa Islamic State dhidi ya kambi ya jeshi la Marekani nchini Iraq lilikuwa na kemikali, jeshi la Marekani limethibitisha. Hakuna aliyejeruhiwa katika...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Marekani yaomba msamaha kwa rais wa Syria kutokana na mauaji ya askari wa Syria waliouwawa na mashambulizi ya ndege zinazoongozwa na washirika wa Marekani. =========================== Meanwhile...
0 Reactions
0 Replies
998 Views
'Don't shoot!' wife tells Charlotte police in video - 'Don't shoot!' wife tells Charlotte police in video - BBC News
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Marekani imesema ndege za kivita za Urusi zilihusika kushambulia msafara wa misaada nchini Syria siku ya Jumatatu na kusababisha vifo. Maafisa wa Marekani wameiambia BBC ndege mbili za...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Ted Cruz endorsed Donald Trump for the presidency Friday afternoon, a stunning turn of events after a contentious primary filled with nasty personal attacks and a dramatic snub at the Republican...
0 Reactions
2 Replies
827 Views
Mgombea uraisi wa Marekani wa chama cha Republican bwana Donald Trump sasa amekiri kwamba anakubali raisi Barack Obama ni raia halali wa kuzaliwa wa Marekani. Cheti halisi cha kuzaliwa cha raisi...
4 Reactions
54 Replies
8K Views
Boti iliyokuwa imebeba wahamiaji haramu wapatao 600 imezama katika pwani ya Misri na kupelekea kwa uchache watu 29 kufariki dunia. Ripoti zinasema kuwa, boti hiyo ilikuwa imewabeba abiria...
0 Reactions
7 Replies
914 Views
Maafisa waandamizi wa Misri wamesema jumla ya miili 148 itolewa katika maji katika Pwani ya nchi hiyo, ikiwa ni siku chache baada ya mamia ya wahamiaji kuwa safarini kuelekea Ulaya. ========...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Philippines President to extend violent war on drugs for six more months Philippine President Rodrigo Duterte has said his country's drug problem was far worse than he anticipated when taking...
0 Reactions
26 Replies
2K Views
Naomba kujua historia ya aliyekuwa Rais wa Ghana Jerry Rawlings.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wimbi la askari wa marekani kuwaua wamarekani weusi bado linaendelea ambapo askari mmoja wa kike mweupe kamuua mtu mmoja mweusi ambae hakua na silaha. Binafsi naona sehemu kubwa ya weusi...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
illary Clinton aongoza kura za maoni Hillary Clinton WASHINGTON, Marekani KURA za maoni za taifa za urais Marekani zimekuja na habari njema kwa kambi ya mgombea urais wa Chama cha...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Aliko Dangote, mtu tajiri zaidi barani africa, ana mpango wa kuinunua klabu ya Arsenal kutoka nchini Uingereza katika kipindi cha miaka minne Dangote ambaye ni raia wa Nigeria ana thamani ya...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Mtandao wa Yahoo umethibitisha kuwa wadukuzi wamedukua taarifa za zaidi ya watumiaji milioni mia tano katika akaunti zake za watumiaji. Hata hivyo Yahoo imesema inaamini kuwa shambulio la...
1 Reactions
1 Replies
958 Views
Kiongozi wa zamani wa waasi DRC anakabiliwa na mashtaka 18 Aliyekuwa kiongozi wa waasi katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Bosco Ntaganda ameanza kula baada ya kugoma kwa takriban wiki mbili...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
One of Hollywood's highest profile marriages is over. Angelina Jolie has filed for divorce from husband Brad Pitt, a source familiar with the filing confirmed to CNN. Pitt and Jolie got married...
1 Reactions
79 Replies
10K Views
Back
Top Bottom