bongo-live
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 1,733
- 2,297
Africa inazidi kutisha kwa kasi ya maendeleo hasa kimiuondomsingi. Hizi treni mpya zinapiga ruti toka mji wa lobito hadi mji mkuu wa Luanda.
Kama za bongo??Kama za bongo hizo
Ethiopia wanazo labda somaliEthiopia nao wataweka soon
kuna taarifa flani niliona, basi itakua ni nyingine inatengenezwa, ethiopia wako juu sana kiutajiri mkuuEthiopia wanazo labda somali
Inawezekana ndio hao hao..kuna taarifa flani niliona, basi itakua ni nyingine inatengenezwa, ethiopia wako juu sana kiutajiri mkuu
Bongo cc tumekazana ubabe tuAfrica inazidi kutisha kwa kasi ya maendeleo hasa kimiuondomsingi. Hizi treni mpya zinapiga ruti toka mji wa lobito hadi mji mkuu wa Luanda.
View attachment 401079View attachment 401080View attachment 401081View attachment 401082View attachment 401083View attachment 401084View attachment 401085View attachment 401086View attachment 401087View attachment 401088View attachment 401089View attachment 401090View attachment 401091View attachment 401092View attachment 401093
Ndo cha kujivunia hiki?
hii ni ile mpya kutoka india au nimekosea?😉
kuweka hii umeniharibia siku