Angelina Jolie files for divorce from Brad Pitt

Malcolm X5

JF-Expert Member
Jun 3, 2013
1,628
2,720
One of Hollywood's highest profile marriages is over.

Angelina Jolie has filed for divorce from husband Brad Pitt, a source familiar with the filing confirmed to CNN.

Pitt and Jolie got married in 2014 but their relationship became the subject of speculation in 2004, when they co-starred in "Mr. & Mrs. Smith." At the time, Pitt was married to actress Jennifer Aniston.

In January 2005, Pitt and Aniston announced they were splitting and Aniston filed for divorce a few months later.

In April 2004, photos surfaced of Pitt, Jolie and her adopted son Maddox in Kenya.

Jolie later adopted daughter Zahara from Ethiopia and in early 2006 she announced that she and Pitt were expecting a baby. Shortly thereafter, Pitt was granted the right to legally adopt Maddox and Zahara.

Their daughter Shiloh was born in May 2006 and son Pax was adopted from Vietnam in March 2007. Jolie gave birth to twins Vivienne and Knox in July 2008.
The couple announced their engagement in 2012.
In 2014 the parents of six children were married in a small, private ceremony in a chapel at Château Miraval in the village of Correns.

Source: CNN

Wacheza filamu maarufu duniani bwana Brad Pitt na bibi Angelina Jolie mchana huu wametangaza kuachana na kuanza taratibu za talaka.

Wasanii hao wawili ambaop wamekuwa pamoja tangu mwaka 2004 walioana rasmi miaka miwili iliyopita.

Bibie Angelina aliweka ombi la kutaka talaka mahakamani tarehe 15 mwezi huu na akielezea sbabu kuwa ni kutofautiana mawazo au "irreconcilable differences".

Angelina pia katika maombi hayo ya talaka anadai kubakia na watoto wote sita Maddox, 15, Pax, 12, Zahara, 11, Shiloh, 10, pamoja na mapacha Knox na Vivienne ambao wana miaka minane.

Pia Angelina amemwomba hakimu amruhusu Brad kuwatembelea watoto muda watakaokubaliana.

angelina-wed-z.jpg

Brad and Angie walifunga ndoa mwezi August mwaka 2014 (Picha: Jarida la Hello!)
Angelina anawakilishwa na mwanasheria maarufu wa masuala ya ndoa na familia bi Laura Wasser.

Uamuzi wa bi Angie kudai talaka umekuja baada ya kuona haridhishwi na mwenendo wa Brad katika kuwatunza watoto, na anachukizwa na njia anazotumia kuwadhibiti watoto.

Hata hivyo kuachana huku hakuhusiani kabisa na kuwepo kwa mtu wa tatu katika ndoa ya watu hawa wawili.

ad_220036512-e1474382778986.jpg

Brad Pitt na Angelina Jolie katika filamu ya Mr & Mrs Smith.

Brad aliwahi kuoa huko nyuma mcheza filamu maarufu Jeniffer Aniston ambae alikuwa mmoja wa nyota wa kipindi cha vickekesho cha Friends kilichovuma kwenye miaka ya 90.

Brad na Angi walikuatana mwaka 2004 walipokuwa wakishiriki kucheza filamu maarufu ya Mr and Mrs Smith ambapo Brad akikiri kumdondokea mwanadada huyo na wakaendelea na uhusiano huku Angelina akiwa na mwanae wa kwanza wa kumlea Maddox.

Mwaka 2006 wapendanao hawa walitangaza kutarajia ujio wa mtoto wao wa kwanza.

Mwaka jana walicheza tena filamu ya pamoja iitwayo By The Sea ambayo iliongozwa na Angelina Jolie mwenyewe.

@ Richard na vyanzo mbalimbali.
 
Ex wa Brad atafurahi kusikia jambo hili maana Angela alipora bwana wa mtu. Money doesn't buy everything.
surething,breakups kwa celebrities limekuwa jambo la kawaida sana siku hzi,ni jambo la muda tu,mnabebana kwa muda,kikitimia,kwishnehi,jeniffer aniston mrembo alikuwa
th
 
Tiger woods aligawana mali pasukwapasu na mtalaka wake. Inalipa sana divorse kwa wanawake walioolewa na matajiri ulaya
kweli,ila tiger woods alioa nanny,its pretty much obvious you can tell,ila hawa wote viburi wa pesa
 
surething,breakups kwa celebrities limekuwa jambo la kawaida sana siku hzi,ni jambo la muda tu,mnabebana kwa muda,kikitimia,kwishnehi,jeniffer aniston mrembo alikuwa
th
Yap! Huyu dada aliumizwa sana na kitendo kile! Lakini maisha yaliendelea
 
Tiger woods aligawana mali pasukwapasu na mtalaka wake. Inalipa sana divorse kwa wanawake walioolewa na matajiri ulaya
Ule ni mchezo walimfanyia
Kumbuka jamaa mkewe mzungu yeye mweusi
Target yao ni ilikua kumfilisi kabisa
OGOPA SANA WAZUNGU
 
Wacheza filamu maarufu duniani bwana Brad Pitt na bibi Angelina Jolie mchana huu wametangaza kuachana na kuanza taratibu za talaka.

Wasanii hao wawili ambaop wamekuwa pamoja tangu mwaka 2004 walioana rasmi miaka miwili iliyopita.

Bibie Angelina aliweka ombi la kutaka talaka mahakamani tarehe 15 mwezi huu na akielezea sababu kuwa ni kutofautiana mawazo au "irreconcilable differences".

Angelina pia katika maombi hayo ya talaka anadai kubakia na watoto wote sita Maddox miaka 15, Pax miaka 12, Zahara miaka 11, Shiloh miaka 10, pamoja na mapacha Knox na Vivienne ambao kwa pamoja wana miaka minane.

Pia Angelina amemwomba hakimu amruhusu Brad kuwatembelea watoto muda watakaokubaliana.

angelina-wed-z.jpg

Brad and Angie walifunga ndoa mwezi August mwaka 2014 (Picha: Jarida la Hello!)

Angelina anawakilishwa na mwanasheria maarufu wa masuala ya ndoa na familia bi Laura Wasser.

Uamuzi wa bi Angie kudai talaka umekuja baada ya kuona haridhishwi na mwenendo wa Brad katika kuwatunza watoto, na anachukizwa na njia anazotumia kuwadhibiti watoto.

Hata hivyo kuachana huku hakuhusiani kabisa na kuwepo kwa mtu wa tatu katika ndoa ya watu hawa wawili.

ad_220036512-e1474382778986.jpg

Brad Pitt na Angelina Jolie katika filamu ya Mr & Mrs Smith.

Brad aliwahi kuoa huko nyuma mcheza filamu maarufu Jeniffer Aniston ambae alikuwa mmoja wa nyota wa kipindi cha vickekesho cha Friends kilichovuma kwenye miaka ya 90.

Brad na Angi walikuatana mwaka 2004 walipokuwa wakishiriki kucheza filamu maarufu ya Mr and Mrs Smith ambapo Brad alikiri kumdondokea mwanadada huyo na wakaendelea na uhusiano huku Angelina akiwa na mwanae wa kwanza wa kumlea Maddox.

Mwaka 2006 wapendanao hawa walitangaza kutarajia ujio wa mtoto wao wa kwanza.

Mwaka jana walicheza tena filamu ya pamoja iitwayo By The Sea ambayo iliongozwa na Angelina Jolie mwenyewe.

@ Richard na vyanzo mbalimbali.
 
Mzimu wa Jennifer Aniston umefufuka. ..hizi ndoa hizi hazina formula walahi!
 
Back
Top Bottom